KILIMO CHA CHIKICHI - MASOKO NA MCHANGANUO WA MAPATO

  Рет қаралды 479

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

6 ай бұрын

Je kilimo Cha chikichi kinalipa? Katika ekari 1 ya chikichi ninaweza kupata sh ngapi kwa kuuza mikungu ya chikichi? Nawezaje kuongeza faida badala ya kuuza mikungu ya chikichi niuze mafuta ya mawese na mise ? Bei zikoje? Mashine za kusindika chikichi ili kupata mafuta na mise zipo wapi na gharama zake zikoje ? Na je naweza kupata wanunuzi wa jumla wa mafuta na mise kwenye masoko ya ndani na ya nje ? Nifanyeje kuyafikia MASOKO hayo? Kwa ujumla ndani ya ekari 1 ninaweza kupata mafuta kiasi gani Kwa mwaka ? Na hivyo ni sawa na shilingi ngapi ?
Maswali haya na mengine nitayajibu kwenye makala hii maalum ambayo itakufungua fikra kutoka kuwaza tikiti na kuanza kuwaza chikichi, nitakuonesha mbinu zote za kuongeza thamani katika zao la chikichi na kupiga pesa. Kaa nami hadi mwisho wa kipindi hiki,na kama ndio mara yako ya kwanza tafadhali SUBSCRIBE na bonyeza alama ya kengere ili usipitwe vipindi vingine vingi vijavyo kutoka mashambani.
#kilimobiashara #ajefarms #mashambayanayotyembea #kilimobiashara#smartagriculture #travel #tanzania #animals #africa #chikichiki #mafuta #sukari #umwagiliaji

Пікірлер: 15
@GuzuraGuzura
@GuzuraGuzura 2 ай бұрын
Asante sana kwakutuhamasisha.....!!!
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 ай бұрын
Ahsante kwa kutambua mchango wetu katika jamii. Tunakusihi uSUBSCRIBE na share video hii ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@adambawa9108
@adambawa9108 6 ай бұрын
Asante kwa taarifa muhimu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 6 ай бұрын
Karibu sana AJE-FARMS , tafadhali SUBSCRIBE na sambaza video hii. Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA CHIKICHI kwa TZS 3,000 ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE.
@lemmart5507
@lemmart5507 Ай бұрын
Asante kwa nakala nzuli naomba kujua miche ya mchikichi ni bei gani ya muda mfupi na kwenye hekali inaingia miche mingapi asante
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Ай бұрын
Katika ekari moja inaingia miche 57 ya chikichi ,bei ya kila ni TZS 5,500 kwa oda kabla ya msimu wa kupanda ambao ni mvua zinapoanza kunyesha. SUBCRIBRE na bonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi. Ili kupata mwongozo kamili wa KILIMO CHA CHIKICHI ambao utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya KILIMO CHA CHIKICHI tutumie ujumbe kwa WhatsApp:0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@lemmart5507
@lemmart5507 Ай бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 Asante kiongozi
@peterlutemela9874
@peterlutemela9874 6 ай бұрын
Nasubilia video iluhusiwe nione mchanganuo.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 6 ай бұрын
Sawa, muda si mrefu itaruhusiwa. Ni video uliomba tangu wiki iliyopita?
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 6 ай бұрын
Ni kiwanda gani hapa Tanzania kinachofanya utakasishaji wa mafuta ya mawese na je mkulima anaweza kwenda kusafishiwa maguta yake kwa bei gani?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 6 ай бұрын
Tanzania hamna kiwanda cha kusafisha kwa ajili ya wakulima tofauti na huduma ya kukamua mafuta ya mise ,kubangua mise na huduma ndogo ndogo. Viwanda vingi vya kusafisha mafuta ya mawese vipo kibiashara ,vinanunua mafuta ya mawese ambayo hayajasafishwa na kuyasafisha kwa brand zao wenyewe. Njia pekee ya kusafisha mafuta ya mawese ni kwa kutumia njia za asili za kuchemsha mafuta na kuyaongezea viungo kwa utaratibu maalum.
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 6 ай бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 ni kiwanda gani nchini kinachonunua mafuta ya mawese (CPO) na Mise (PKO) kwa ujumla kutoka kwa wakulima?
@mgalulamasoudlyobah
@mgalulamasoudlyobah 6 ай бұрын
asante kwa wasilisho zuri, nimepata mwanga mkubwa wa zao hili, hata hivyo rekebisha kidogo kwenye bei ya mikungu iwe 1140 X 2000 ni karibu 2.8m na sio laki 2.8.Hata nataka kujua kwa nini bei ya badhaa za chikichi kuwa kubwa Kigoma na Burundi tofauti na Dar es salaam??
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 6 ай бұрын
Ahsante sana kwa feedback yako kwa kuweka takwimu sahihi mahali ulimi ulipoteleza badala ya milioni 2.8 na kuweka 280,000. Bei Kigoma na Burundi zipo juu ni kwa sababu hizi bidhaa zina bei nzuri sana Burundi.Kuna mwekezaji mkubwa Burundi anachukua sana haya mafuta kwa bei nzuri na kwa masharti nafuu. Mwekezaji huyu ndiye hutumia mara nyingi mawakala kununua mafuta haya Kigoma kwa bei ya ushindani.Tutashare Jina la hicho kiwanda hapa kwa wale ambao mnahitaji linkage ya soko hilo.
@mgalulamasoudlyobah
@mgalulamasoudlyobah 6 ай бұрын
asante@@aje-farmsmashambayanayotem7392
WADUDU 9 PASUA KICHWA KTK KILIMO CHA NYANYA/BUSTANI - NAMNA YA KUWATAMBUA NA KUWATEKETEZA
30:28
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO -PART 6 : HATUA ZOTE ZA USIAJI MBEGU YA NYANYA
38:34
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 280
MBOGAMBOGA AMBAZO  NI DAWA PIA  / CHAKULA ALAFU NI DAWA !
2:29
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 80
HII NDIO SUKARI ILIYOTUMIWA NA MABABU ZETU KABLA YA KUGUNDUA SUKARI YA KISASA
3:44
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 65
ASANTE KWA KUJA - MAONESHO YA USHIRIKA - SUD 2024, TABORA
1:25
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН