Movie nzuri inayofundisha good work from butterfly movie production
@zulachama10672 жыл бұрын
Myamwezi na mzaramu washapatana watani wa jadi mmyakusa kapigwa na chini,duuuh.
@zulachama10672 жыл бұрын
Nauko sio kupanda mmyakusa uko nikuporomoka,uliyata mwenyewe mdomo ulikuponza
@zulachama10672 жыл бұрын
Rayuu endelea kuwapa dozi walemavu wa ndoa wajifunze maisha ya ndoa.
@markismzurisana59942 жыл бұрын
Rayuu mungu anakuona
@zulachama10672 жыл бұрын
Rayuu duuuh,huyu demu ni hatari sana anajua kucheza karata B.ongera.
@zulachama10672 жыл бұрын
Namini kweli hule msemo mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake kwa mikono miwili, nyakusa mzaramu amekutega hakili na ukategeka,duuuh. Tupishane mlangoni kutoka nihingie,Rayuu kama nakuona vile cheza kama pele
@markismzurisana59942 жыл бұрын
Adili toa dude la kichawi bc angalau tupoozee macho
@martinmuthii19002 жыл бұрын
Vichwa vyote vimeota nywele🤭wee mnyamwezi fudi👏👍
@jumakandy20752 жыл бұрын
Nawakubali movie poa sana big up
@ramadhanabas66072 жыл бұрын
Me Hawa t jmn Kama vp nipe namba yake bac
@masikaabdallah2922 жыл бұрын
Rayuu duuh!weeeh Noma sana 👌👌👌 ama qwel ukisema wa nini mwnzko anawaza atampata lini,💖💖💖💯
@wardatabdallah85962 жыл бұрын
Hongereni wapenz hamna mbaya ❤️❤️🥰👏👍
@mwanamiskhamis45582 жыл бұрын
Rayuuu ampe ushauri mwenzio mzuri🤔🤔🤔 movie nzuri hongereni