Ndoa ya King Ali Kiba ilikuwa gumzo la kutisha ndani ya mji wa Mombasa na viunga vyake. Wakazi na wahamiaji wa mji huo wakajikuta wakisherehekea harusi ya King Ali Kiba. Hebu jumuika nao upate kufurahi pia.
Пікірлер: 77
@thabitbakari67333 жыл бұрын
Masha Allah, Ally kiba basata wanachelewa kukupatia tunzo za hekma, maana unastahiki kupata zawadi kwani, wewe ni kioo Cha jamii kiukweli🤲🤲🤲🤲🤲 Allah ibarik
@swahili2worldtvАй бұрын
Ilipendeza Sana, watu wa MOMBASA tulifurahi sana
@FatimaAli-ln7fs5 жыл бұрын
Mashaalah ilipendez sana twataman n ss tupate waume wazur km hao
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Walodislike watakua walozalishwaa wameachwaa kwenye mataa🤣🤣🤣KIUKWELI ILINOGAAA.AMINA MZURI BANA .BI AMINAA SMIle🤗MC ULIJUa KUNOGESHA SALUTE
@user-xb5cf8dz3d Жыл бұрын
Nivyema mwanamke wa kiislam akijistiri angejistiri nyele zake angependeza Zaidi kama mwanzo mbarikiwe maisha mema duniani na kesho akhera inshaallah
@KhadijaHamis-sz3dp6 ай бұрын
Hi,hongera sn kwakweli Ali kiba ulifanya kitu cha maana Allah aibariki ndoa yenu insha'Allah
@musawakidongo9206 ай бұрын
sio ndoa ilivunjika
@aminajuma29815 жыл бұрын
Mashaalla kikiba mungu akuondolee usuda mbaya katika ndoa wako
@maxwellokinda5349 Жыл бұрын
Amen
@bethshebawasike30987 ай бұрын
Congratulations Kiba 🎉🎉🎉🎉 my own artist ❤
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Mabrooq Alf Mabrooq, ilinoga Kweli Maa Shaa Allah.
@faizabaishe51725 жыл бұрын
Nawaombea kila la heri Kwa ndoa ya Ali kiba na Amina