huu utabir sio kwa hii yanga ya pacome na Aziz ki😂😂😂
@lorelore2930Ай бұрын
Huu utabiri n wa uongo
@samsonkulabamaganga2 ай бұрын
Hii mbona kama chai, tarehe 5 mbona Simba alikula khamsa na hesabu ya Yanga haikuwa inagawanyika.
@novatusg.mwenge8485Ай бұрын
Mmmmmh!Hivi huo ni uislamu au ushirikina?Hakika huyo baba anajitahidi kuwadanganya walioharibikiwa ubongo...!
@piustbosco.mwereria51934 жыл бұрын
All welcomef
@abdulmananhaxxan76343 жыл бұрын
Nafatilia sana mafunzo nimeyapenda
@OlivaBalija-jt2cv10 ай бұрын
Ninafatilia San unasaidia mzee wang
@mwesigwaprotase22234 жыл бұрын
Kaz nzur
@kelvinjohn5914 жыл бұрын
Mwesigwa Protase raivani
@jackjosseph56642 жыл бұрын
Hii mbn ina danganya sana
@msuo7215 Жыл бұрын
Vip kuhusu draw
@noelsanga68533 ай бұрын
Uongooo mtupu ushirikina mtupu
@MRPREDICTION218 ай бұрын
what about draw??
@AhmedMohamed-un4zh Жыл бұрын
Dhambi kubwa na ushirikina Mungu atusamehe
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Fanya wende ukasome dini! Ushirikina uko wapi hapo wee juha
@mariamhamis18793 жыл бұрын
Haujui kutabiri
@Tariq60Na13 жыл бұрын
Elimu iliyopotea lakini Sheikh anajaribu kuirudisha.Elimu nzuri iliyo na manufaa makubwa
@rahurselektor98506 жыл бұрын
Tariq Abdulaziz VIP HALI ABDULAZIZ? HIYI ELIMU UNAYIJUA?
@mustafajumajuma22263 жыл бұрын
Hakuna ukweli tungelikuwaga matajiri sote
@salummzee9739 Жыл бұрын
Shirki hii
@williamagustino30782 жыл бұрын
Mimi naitaji namba za babu niongee nae
@user-mh7el3tl7q5 ай бұрын
VIP kuhusu bili bila
@alimatambwe88646 жыл бұрын
Samahani Sheikh,numbers za kugawanika unazitambuwa je?
@lillianlusako9855 жыл бұрын
mmmmh mbona hajaongelea droo mzee r.i p though
@majormajomjohn3775 Жыл бұрын
Njoo inbox nikufundishe kupats droo
@MusaMwasenga-dd5cc8 ай бұрын
@@majormajomjohn3775😮
@athmanridhwan50392 ай бұрын
@@majormajomjohn3775nifunze kuhusu draw
@abbykagnj94832 жыл бұрын
tumejaribu sana but no
@faustinecasmir8818 Жыл бұрын
Na vp kuhusu sare
@user-ji5tk9cv4x8 ай бұрын
Na
@izaquehaine Жыл бұрын
Shikamu ze? Kama pila ukicheza leo nifanhe ivoivo
@mustafajumajuma22263 жыл бұрын
Sio kweli
@amanistephano52082 жыл бұрын
Nikweli labda wewe ndio hujui kujumlisha
@BitainoTwendege-pt2kh3 ай бұрын
Sio kwel hata mm nimejalibu lakini uongo mtupu
@mpingampinga20646 жыл бұрын
mbona hapo hujazungumzia droo shekh
@namelessnameless48683 жыл бұрын
Wale wa mikeka inawahusu hii video
@rahurselektor98506 жыл бұрын
IKIWA HAKUNA TEAM ITASHINDA BITAENDEKA AJE? NA IKIWA KWA MPANGO HAKUNA PENALTY
@ombenimihwela50026 жыл бұрын
Mzeee upo vizuri
@aminiyasini72712 жыл бұрын
Achane ushirikina allah anawaona hakuna elimu ya nyota katika uislam!!!!
@kiutuuzima44118 ай бұрын
Kuna vitu vya kuzingatia katika kutabiri.. UDONGO 2,6 HEWA 3,7 MOTO 1,5,9 MAJI 4,8 Hyoo n misingi ya kuweza ku-predict. Na kuna zile namba za witiri/tasa na shufwa.. Na kuna siri za namba ambazo unatakiwa uweze kuzijua.. Yaani namba fulan na fulan wakikutana je nani anashinda au nani atapigwa.. SOMO LA KUTABIRI INAHITAJI UWEZE KUJUA NAMBA.. NA PIA VILE VILE KUNA MITEGO YA KUWEZA KUTEGUA.. MPAKA UJUE NAMBA.. Ila kamaa haujui namba kuna kuna Option mbili za kuweza ku-predict.. Yaani kwa mfano.. Katk majib ya mwisho unapo piga namba Mfano.. ARSENAL VS MANCHESTER UNITED.. Ukapata labda Arsenal anayo 9 na Manchester anayo 3.. Unaweza kuona kuwa 9 ambayo ni Moto na 3 Ambayo ni hewa.. Tunaona kuwa 9 Moto atapigwa na 3 Hewa.. Ukiijua misingi unaona kuwa n Ezzzzy. Ila kama kwa wale wa mikeka unaweka Dc kwa ambay anashinda au Both Team Score
@MusaMwasenga-dd5cc8 ай бұрын
Tuwasiliane please
@princepm128 ай бұрын
Utabiri wa game ya juzi simba vs yanga kwa hesabu za shekh yahya zimekataa apo we unaonaje mzee.