Yan nakuelewaga sana shehe wng...baba angu waiman..nakupenda sna kwajili ya allah..mungu akujalie kila la heri
@Elmitv682 ай бұрын
Aamin. Allaah akupende zaidi
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Baba angu nakupenda sana sana sana kwajili ya mwenyezimungu...na mwenyezimungu akupe mwisho mwema akubaliki na atukutanishe pepon baba angu shehe wang...yani nakupenda sana . mashalah unajuwa sana kufundisha mawaiza ...yan nakupenda sana shehe wang kwajili ya mungu...mungu akujalie kila lenye heri na akulinde akurehem na atusamehe mazambi yetu..