Kisa hichi kimetokea MAKKA mji ambao hauruhusi kukata mti,kuwakera wanyama ,na ukiokota kitu unamtafutia mwenyewe
Пікірлер: 94
@muhidinsultan2049 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Aalim Othman Maalim,Wewe umeletwa kwa ajili ya Kuuweka sawa ulimwengu sema basi tu Nchi haiendeshwi kiislam.ALLAH akudumishe ktk kher hizi inshaallah🙏🙏
@alhilaltvonline Жыл бұрын
Allah ampe umri kipenzi chetu, Sheikh wetu
@jumaramadhanirajabu1938 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah kisa kinamafundisho mazuri sana Ahsante
@hanifaally4694 Жыл бұрын
ALLAH (s.w) akuweke sheikh Othman Maalim uzidi kutupa dawaah ❤
Kipenz chang Allah akuhifadhi kwaajili ya Ummat Mohamammad
@nasraalbusaidi3668 Жыл бұрын
1
@pilimakundalongoilongoi3386 Жыл бұрын
ALLAH akupe umri mrefu INSHALLAH uzidikuwapa elimu zaidi waislam
@rehemakigarimbwe1122 Жыл бұрын
Jazakallahu kheir
@ummohammed8380 Жыл бұрын
Subhana allah Hakuna kitu kama uaminifu
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
sahih ametakasika mola wa viumbe wot, na uamnf ni sera ni nzr ktk maisha
@rizikishahari694810 ай бұрын
Maa shaa Allah 💜 Allaahu Akbar!!!
@NurdinMwatondo Жыл бұрын
Uislam raha wallah
@MohamedAhmed-ns5mi Жыл бұрын
Mashallaha Allah akujazi
@rashidbashir1995 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah sheikh
@aishasaid7138 Жыл бұрын
maashaallah tabaraka lllah🥰😘
@AaSs-sn8fc Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuifadhi Inshaallah
@halimandune7317 Жыл бұрын
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Hapo kwa tabia mbaya ndo wengi.Ususani huku Saudia huwa watu wengi wamechukia dini.Tafadhali wafamisheni hawa kunyima hdi chakula!.
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Waleykum Salam, swadakta
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Allah atusameh
@bamkalidollar777 Жыл бұрын
Masha Allah
@BudaTalibu-mw8zy Жыл бұрын
Alhamdullilah
@abdouljabbar9835 Жыл бұрын
Jazakallah khair
@kadoditsa3805 Жыл бұрын
MashaaAllah ❤❤❤❤
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Mashallah kisa kizuri ❤❤
@fahmiabdulla7690 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH INSHAA ALLA KHEIR
@hedayamohammed2781 Жыл бұрын
Mashaallah 😍
@lemmyodanga2519 Жыл бұрын
Wow! Umenena Sheikh.
@jamaliabdallahjamco9604 Жыл бұрын
Mashaallah
@rsautoservice984 Жыл бұрын
Mashallah
@khalidmohammed-kg9mz Жыл бұрын
Tabaaraka Allah
@rayaalkhayfy2026 Жыл бұрын
Shukran sheikh Allah akuzidishie ILmu ameen
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Allah akbar
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah
@ahmedsdk6736 Жыл бұрын
Alieshindw kuingia Peponi wakati huo Basi Tena..!!
@samirasadasalum5974 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@qatartrender5834 Жыл бұрын
Nipo Makka❤
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
🥰🥰🥰
@matolasalimo6630 Жыл бұрын
Wew unauliza visa anatoa wapi? Kama unataka kujuwa mashee wapo wengi , au soma dini ya kislamu.
@emmanuelogorenisanafocus8016 Жыл бұрын
🙏🙏
@user-pd1hm5lq9n Жыл бұрын
Alla atukubal
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
raha tu,,tartibu
@issarashid7707 Жыл бұрын
Nilishawah kukuskia kwa Kishki ichi kisa miaka Mingi Nyuma
@mlossisaidi529 Жыл бұрын
Kesho utakisikia tena kwa sheikh mwingine ni kawaida, mana vitabu vinasomwa na wote. Ni kama vile vile Qur'an au hadith leo na kesho utaizisikia hizo hizo kwa watu tofauti...shukran
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Swadaqta
@najmahnajmah4350 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
WATU WA VISA KAMA OTHMAN MAALIM,WALIKUWA WAKATI WA ZAMA ZA AMIR LMUUMINUUN UMMAR BIN LKHATTWAAAB,WALIKUWA WAKICHARAZWA BAKORA ZA KUTOSHA!!
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Nenda kamchalaze na wewe uyo shehe siyupo, kwani wewe hapo umelewanini hapo kwa usomi wako acha roho mbaya yani waislam kwa waislam munakosoana pahali pasipofaa kukusoana, dunia hii kweli imeisha, kwani kihsa kina hasali gani katika mafundisho au ibada.
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Huyu hamza ni wale mtume s a w alisema kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni wake ndio hawa usitafute wangine huyu wahabi
@bibielroybibielroy8710 Жыл бұрын
Sheikh Othman mawaidha yakoa na khadith nazikubali nahitaji no yako kuna jambo nataka kuuliza
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Huyu anatoaga wapi habari hizi? Kwa nini anatumia nguvu kubwa kuwaburudisha wasikilizaji badala ya kuweka barnamij ya kielimu afundishe waislamu? Tunaburudika tu na VISA VISIVYOJULIKANA ITHBATI YAKE, badala ya kutufundisha nusuusi za kisheria, Allahu almustaan
@rachidemomademomaderachide5897 Жыл бұрын
Kusoma na wewe soma kuma
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
@@rachidemomademomaderachide5897 ALAA, KUMBE HADI WALEVI WAMO KUBURUDIKA NA VISA!!
@yammuhamed736 Жыл бұрын
@@rachidemomademomaderachide5897ankera ndio ila usimjubu ivyo
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Sasa kushajua havina ithbati wewe uliitwa na nani huku kuja kusikiliza mpuuzi mkubwa wewe
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
@@alhimnamussasaid3619 mashekh zenu wanahimiza hikma kwenye maongezi, mpaka wakikosolewa kwa haki na kuwekwa sawa wanajitetea "MAWAHABI HAWANA HEKIMA" sasa nyinyi mnaoropoka kauli chafu hizo NDIYO HEKIMA?