#AdilTV #sheikhmselembinaly • KISA CHA NABII MUSA NA...
Пікірлер: 19
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Maa shaa Allah. Sheikh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah.
@taratibu11 ай бұрын
Shukran sheikh, Allah akulipe kheri yake inshallah
@abdulbasitkombo Жыл бұрын
Unajuwa waislamu tunapata changa moto san ktk juu ya ulinganiaji wetu ila tusichok ktk kumtaja allha s.w na mtume wak muhammad s.w ata watakap sema na machafu wacheni waongee wamal hayatu dunia ila mataau l'hurur ❤
@bellasi349 Жыл бұрын
Wekeni visa vya watoto 7 wa mtume wenu na jinsi walivyokufa au kifo chake manda gan y’a tu watu na visa havina maana sema mle kwenye kaaba ndani kuna nini au lile jiwe jeusi lilitoka wapi au kabba kwanini ilibomolewa mara 4 unaweka visa vya kijinga kisa hatujui kiarabu
@user-yv7xf8hs6w11 ай бұрын
Allah akupe kila la kheri akuepushie na shari
@yusufyusuf-br5qk5 ай бұрын
Allah hafidh
@stevenmichaelmaganga482810 ай бұрын
Mashaalah He's best quraan translator in the country
@fatumaramadhani117011 ай бұрын
Masha,Allah
@AmryKatigili-br8sz Жыл бұрын
Bingwa wa tafsir ya quran africa masharik na kat mash-allah:
@justmustafa53285 ай бұрын
❤❤❤❤
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Hio style yakuweka picha kwenye thumbnail sio sahihi.. kwani mkiandika tu title ya video tutashindwa kuelewa.. ?
@jumaothman441111 ай бұрын
Maidha mazuri ila aya masanam na mapicha mengn yasio ya msing yanafanya kupunguza iman kwasabab din inaonekan kuana makatuni
@hamadsuleimaan802 Жыл бұрын
Adil naomba utuwekee kichwa cha habari kinachoeleza ni tafsir ya sura gan na aya ya ngapi ili tunaofatilia tusipate tabu
@omaar5693 Жыл бұрын
mi naomba wamuondoe hugo nabi musa wa mchongo kunako thumbnail
@bellasi349 Жыл бұрын
Wewe unakalia visa visa acha uongo wako Nabii musa wewe ulikiwako na nani aliandika icho kisa ujinga mtupu kasonge ugali ule sasa unamwambia nani eti Mungu kaotesha mimea huna la kuongea
@othmanbinhajji7782 Жыл бұрын
Inshaallah ipo cku utajua ukweli wa hayo mamb saiv ujana unakusumbua
@yusuphjuma806611 ай бұрын
Wacha upumbavu ww kwn km hutaki c ubaki nalo moyoni mwko kuna ulazima gn w kutukana watu ayo yote ymo kwny Qura'an km waijua kwli kaangali
@yusuphjuma806611 ай бұрын
Wacha upumbavu ww kwn km hutaki c ubaki nalo moyoni mwko kuna ulazima gn w kutukana watu ayo yote ymo kwny Qura'an km waijua kwli kaangali