KISHERIA 'LAMECK LAWI' NI MCHEZAJI WA TIMU HII • DILI LAKE LA KWENDA NJE YA NCHI LIMEKAA HIVI.

  Рет қаралды 14,023

Salamba tv

Salamba tv

Ай бұрын

Salamba Tv.
Link ya Telegram:
Njia rahisi zaidi ya kupata kifurushi:
t.me/salambatv_bot
Link ya kujiunga na Whatsapp Channel yetu,
JAMVIKA NA SALAMBA.
whatsapp.com/channel/0029VabT...
Tunatoa huduma ya Ubashiri wa matokeo ya mechi,
Tunatoa mikeka kwa njia ya sms za kawaida zinazowafikia watumiaji wa huduma zetu kila siku,
Kuanzia:
Saa 5:30 asubuhi : KIFURUSHI CHA PREMIUM
Saa 7:30 mchana : KIFURUSHI CHA V.I.P
JAMVIKA NA SALAMBA
JAMVI LA ALHAMISI
Atalanta vs Marseille (EUROPA LEAGUE) : 1X ✅
Leverkusen vs Roma (EUROPA LEAGUE) : 1X ✅
Azam vs Simba (TANZANIA) : Ov1.5 ✅
Pyunik vs Van (ARMENIA) : Ov1.5 ✅
Bayern W vs Wolfsburg W (GERMANY) : Ov1.5 ✅
Umea vs IFK Stocksund (SWEDEN) : 1X ✅
Union St. Gilloise vs Royal Antwerp (BELGIUM) : Ov0.5 ✅
Stroemsgodset vs Lillestrom (NORWAY) : Ov1.5 ✅
Al Sadd vs AL Markhiya (QATAR) : 1X ✅
Al Khdoud vs Al Nassr (SAUDIA) : Ov1.5 ✅
Friska Viljor vs Assyriska (SWEDEN) : X2 ✅
--Total Odds: 5.01
BONUS TIPS vs () :
Pyunik vs Van (ARMENIA) : Ov1.5 ✅
Azam vs Simba (TANZANIA) : Ov0.5 ✅
Aarau vs Sion (SWITZERLAND) : X2 ✅
Al Fayha vs Al Fateh (SAUDIA) : Ov1.5 ✅
Hapoel Beer Sheva vs Maccabi Bney Rein (ISRAEL) : 1X ✅
Olympiacos vs Aston Villa (EUROPA C. LEAGUE) : Ov1.5 ✅
CfR Pforzheim vs FV Ravensburg (GERMANY) : 1X ✅
--Total Odds: 2.12
JAMVI SPECIAL
2024-05-07
Pyunik vs Van (ARMENIA) : 1X ✅
Azam vs Simba (TANZANIA) : Ov1.5 ✅
Atalanta vs Marseille (UEFA EUROPA LEAGUE) : 1X ✅
Al Khdoud vs Al Nassr (SAUDIA) : Ov1.5 ✅
Olympiacos vs Aston Villa (UEFA CONFERENCE LEAGUE) : Ov1.5 ✅
--Total Odds: 2.05

Пікірлер: 83
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 Ай бұрын
Hujui mpira slamba
@godsonmolla1594
@godsonmolla1594 Ай бұрын
😂😂😂Hakuna mchambuzi hapo, Utopolo mtupu.. ngoja tumsubiri Mbwaduke tu, bro kauze samaki huujui mpira
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms Ай бұрын
Tatizo la wachambuzi mnajifanya mnayajua mambo zaidi ya wenye matatizo mwisho wa siku mnakuwa waongo mkasome basic law
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga 25 күн бұрын
Salamba kumbewewe nifala nilikuwa sijui
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 Ай бұрын
Mchezajia alisaini na Timu pia ilisaini, kilichobakia ni pesa na pesa nusu walikuwa wameshapewa. Huna point, huwezi kuwa profesa
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u Ай бұрын
Kumbe unatumia akili yako hapo nimekuelewa
@josephsiame5373
@josephsiame5373 Ай бұрын
Baadhi ya wachambuzi mnatiaaibu jaribuni kuwa makini kusikiliza pande zote mbili ndio mchambue
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 Ай бұрын
Kwa mfano Lameck Lawi akimua kurudi Coast Union, hizi kelele hautazisikia. Hapo Utopolo wanatafuta kiki
@HenrySatoMassaba
@HenrySatoMassaba 17 күн бұрын
Kwenye hili maoni yako kuna mushkeli sana. Uchambuzi wa matukio sio taratibu za kimkataba.
@khalifamaliki4179
@khalifamaliki4179 Ай бұрын
Uyo jamaa fala tu Kama Simba aikuongeya na kost Simba walilipaje pesa acha ujinga
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Ай бұрын
We inawezekana huo uprofesa uliiba vyeti vya Watu Yani mtu amesha Saini Kila kitu why na viongozi wao wamesaini why baadae ukatae Saini Yako jibu ulikubali
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Ай бұрын
Hata wewe professor unanunuliwa,kupotosha ukweli mhh!
@AbuuSumaiyah
@AbuuSumaiyah Ай бұрын
Upo sahihi Salamba
@KakeSimba
@KakeSimba Ай бұрын
Salamba we msenge kumamako acheni uyanganyinyi machoko
@harunkaluona7779
@harunkaluona7779 Ай бұрын
Huna unachojua naona unasimulilia mambo ya mtaani.hutoi fakti yoyote
@thomaslyimo9556
@thomaslyimo9556 Ай бұрын
salamba { professor} wa ,,,,,, unaupiga mwingii
@emanuelyngailo6807
@emanuelyngailo6807 Ай бұрын
Salamba tunza maneno yako brother.Unajidhalilisha na mpira huujui na hicho kionline chako kitakufa
@user-ph7xf6hi8s
@user-ph7xf6hi8s Ай бұрын
Upo sawa kk
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale Ай бұрын
Je mkisikia imekamilika mtachambua nin kuhus lawi
@imanmasawe749
@imanmasawe749 Ай бұрын
Kuna mkono wa mwiko nyuma hapaa
@erickprotace9463
@erickprotace9463 3 күн бұрын
Watangazaji tulishajua kuwa makubaliano ya SIMBA, COASTAL na LAMECK yalikuwepo na yalifanyika vip, kilichobaki tuelimisheni sis namna ya kuvunja mkataba unafata taratibu zipi?... Make mkataba ulifungwa shida ikaja malipo,sawa usipolipwa unatakiwa ufanye nin ili uvunje mkataba?.. sis ndicho tunataka tuelimishwe ili kujua ukweli. Maana jambo la kimaandishi navojua haliishi bila kuyafuta maandishi hayo, kwa mdomo unaweza kufuta swala la maandishi?..
@HenrySatoMassaba
@HenrySatoMassaba 17 күн бұрын
Hapa umeongopa maana pande mbili wanakubali hadharani kuna mkataba tayari. Malalamiko ni kuwa mkataba haujafuatwa.
@kamazimamuganyizi6932
@kamazimamuganyizi6932 Ай бұрын
Ww unatuletea Uyanga ukichanganya kazi na ushabiki yatakushida broo
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Wewe ni mjinga siyo mchambuzi
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 Ай бұрын
Profesa hana hoja ...pengine ...pengine nyinhi
@MajaliwaJsalumu
@MajaliwaJsalumu Ай бұрын
Una rorotr
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Ай бұрын
Mbona hazungumzii mkataba ambao timu zote zimesaini kuuziana mchezaji?
@imanmasawe749
@imanmasawe749 Ай бұрын
Waoongee vizuri na viongz wa costal plz
@mikidadikiga90
@mikidadikiga90 Ай бұрын
Salamba sikuizi umekua chizi kabisa yani
@MezdDimoso
@MezdDimoso Ай бұрын
Acheni siasa zenu
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 10 күн бұрын
Ww Wa ajabu sana coastal wamekubal ila wewe unapinga tukueleweje??
@MwenevyaleWaziri
@MwenevyaleWaziri Ай бұрын
Huyo professor ni muongo hajui lolote kwenye sheria au hajui nini kilitokea
@abubakarmago2623
@abubakarmago2623 29 күн бұрын
Nilikuwa nakuelewa sn awali lkn kwa hiki unachochambua ndio nimejua Leo kumbe ww ni boya tu km maboya wengine na cku akitua msimbaz utaongea nn?
@AlamZambi-uz9rm
@AlamZambi-uz9rm Ай бұрын
Salamba unataka kuniambia kwamba simba niwajinga
@goodluckpaschal7857
@goodluckpaschal7857 Ай бұрын
Stop forcing brother ujui mpira ww unazinguwa matako
@harunkaluona7779
@harunkaluona7779 Ай бұрын
Msiharibu PhD za watu kwa ujinga unaoongea
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 Ай бұрын
Kwani yeye mchezaji mwenyewe anasemaje
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt Ай бұрын
Wachambuzi tulizeni mishono mtaumbuka bure
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
WESHA ZOWEYA KUTUKANWA HAWA 😂😂😂😂😂😂 NA WAO WALIPE MILIONI 860 ZA WATU 😂😂😂
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx Ай бұрын
azam kulifukuza hilo jamaa walikua sahihi
@KassimLisala
@KassimLisala Ай бұрын
Ulisha enda shule ata kuona majengo tu
@lahauonline217
@lahauonline217 Ай бұрын
Hawa hawana uprofesa alie profesa habezi upande umoja alikuwa achanbue pande zote mbili Kisha sisi ndio tuone mkosa nani huyu ni mapandikizi waliokuwa hawaipendi Simba na kuzidi kuitia dowa tu profesa hajioneshi laivu majibu yake huwa sisi ndio wakutoa majibu .
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Chupli chupli..ujanja ujanja umewajaa dunduka..mfadhili hana fedha... madhabiki acheni ushabiki, kubalini ukweli kuwa hamna pesa simba..wacheza wanatakiwa kula ili kupata nguvu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​@@josephlorri431MTANIIIIII LABDA SIMBA HAWANA PESA LAKINI SIO MFADHILI 😂😂😂 NA NYIE LIPENI MILIONI 860 ZA WATU 😂😂😂😂
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u Ай бұрын
Da mchambuzi kanjanja
@SijawaMbawalla
@SijawaMbawalla Күн бұрын
Simba Hana Doha kafata taratibu zote uchambuzi hujui pia kanuni nasheria nenda kasome
@JahnyabduelYoeza-m9o
@JahnyabduelYoeza-m9o Ай бұрын
kumbe hata we ni hewa kutaja mtu majina mawili sio kua ndio yaliyoandikwa kwenye kandarasi ya mtu husika wacha ujinga pimbi ww
@SwaleheHaji
@SwaleheHaji 27 күн бұрын
Wachambuzi musiwe waongo
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Ай бұрын
Ila tuseme kweli Simba wanajua kuna ukweli wote, kwamba wamelazimisha kijanja kijanja
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Lawi mbona mchezaji wa kawaida Sanaa.
@bakanga1410
@bakanga1410 Ай бұрын
ww mlevi cosideration ilishakuwapo ww ni mjinga ,pumbavu sana ongea na kipengere cha fifa kuwa ikiwa mnunuzi hajatekekeza makipo muuzaji anatakiwa atoe notice kwa kwa mununuzi kwa muda wa cku10 baada ya muda wa makubaliano kupita ss niwaulize ninyi vilaza coastal waliwanotify hilo..mpira cyokama biashara ya nyanya nia ni kujenga mahusiano mema kat ya club na club cyo vita na visasi
@issahaji1910
@issahaji1910 Ай бұрын
Kwanini hivi sasa iwe nongwa na suala la mgogoro wa Fei na Yanga c mlilishabikia sasa acheni na wenzenu watoe maoni yao kama nyinyi mlivyo kuwa mkitoa maoni yenu au ndio ule msemo usemao " Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu"
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
FEI MLILIPWA PESA ZENU ZOTE MKAGOMA KUMTOWA MACHOGO FC NJAA KALI JANGWANI 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Ай бұрын
Huyu mlevi wa Kisungura. Hajui kitu. Mtu akisha ingia mkataba na pesa umeipokea. Sasa mikataba yenu ndio inapelekwa sehemu husika ili wakajiridhishe mnunuzi sasa ndio awe mmliki halali. Hatua ya kwanza kuandaa mikataba inafuata ununuzi alafu unapeleka sehem husika kuidhinisha sasa ni mali yako umenunua kihalali muuzaji anaenda kailipie kodi. Wakati huo wote mali hiyo sasa inakua mikononi mwako. Prf kwa maelezo ya prof wa Kibuku inadhihirisha ya kua kuuza Dagaa kamba wala hajawahi hata kununua hata kibakuli inavyo jionyesha hapa. Kwa lugha nyepesi hajui kitu.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Unauhakika
@sekrommbaga6234
@sekrommbaga6234 Ай бұрын
Unahukumu kwa taarifa za mitandao. Tafuta taarifa kamili. Na nini kilitokea ndipo uanze kulaumu
@JabirJabir-c9o
@JabirJabir-c9o Ай бұрын
Mwambieni huyo Kuma atafute bwana wa kumshulikia Hana anachokijua kwenye uchambuzi.
@wakilisharaw
@wakilisharaw Ай бұрын
Hii walijua yanga wanakuja na GSM
@user-yt1lz6hz5p
@user-yt1lz6hz5p Ай бұрын
Wew jamaaa hiv kaz yako nni
@user-fh7gu7eb2d
@user-fh7gu7eb2d Ай бұрын
ugomvi wa ndugu
@saidseleman2973
@saidseleman2973 25 күн бұрын
Mkataba umeuona?
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Mpata pakusemea sasa
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 Ай бұрын
Kumbe huyu jamaa ni utopolo 😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TENA OG STATION YA MACHOGO FC HIYO WAONGEE KUHUSU MILIONI 860 WANAZODAIWA.
@mtaitamedia2024
@mtaitamedia2024 Ай бұрын
Wengi wanaopinga uchambuzi wa Profesa ni Makolo fc. Viongozi wa Simba hawajielew ndo maana wameharakisha kutangaza usajiri wa Lawi kwakua wanajuafika usajiri wake haujakamilika.
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Ай бұрын
Ulitegemea Salamba Tv wasemeje? Wapo hivyo kila siku kinyume na Simba. Hili suala lingekuwa la utopolo angekuwa upande wao. Lakini salamba ni kitu gani? Mpira ni wa FIFA.
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Ай бұрын
Very Low! yaani picha iwe kigezo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
ATI NA MAJINA KIGEZO HUYU MSHAMBA SANA HIVI UKITAJA MARADONA WATU HAWAMJUWI AU RONALDO AU NIMAR AU M'BAPE HANA AJUWALO KENGE HUYO
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
Simba na costal ni mtu na kaka ake na wote ni watoto wa karia kwahyo msijikaushe saut zenu ilo litamalizwa kifamilia tu salamba dose dose
@NkondokayaJoe
@NkondokayaJoe Ай бұрын
Kama huyo ni pandikizi basi wewe ni tawi
@user-cu8dm6eh3g
@user-cu8dm6eh3g Ай бұрын
Wachen uyanga wenu simba sio wajinga cost wameingia tamaa tu wa natak kumpeleka yanga
@Buy_YT_Views_94
@Buy_YT_Views_94 Ай бұрын
💀
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
wale wenye madeni jee hawana shida?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
TENA MILIONI 860 😂😂😂😂😂
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Ай бұрын
Simba bado Ina shida Sana yaani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
SHIDA WANAZO MATOPOLO MACHOGO FC DENI MILIONI 860 😂😂😂
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks Ай бұрын
Majambazi Simba huyu anaye ongea nikiongozi wa costal wamemununua kwanani sasa au wanatumia ukubwa wao kuwakandamiza costal kwajanjajanja zao kupitia mgunda kwa kumdanganya mchezaji asanini Simba ili yeye aendelee kutumika pale kama dalali wao maisha yake yote
@rockygappi1018
@rockygappi1018 27 күн бұрын
Jambazi wa kwanza ni wewe 😂😂😂
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Ай бұрын
This guy hauki mpira na hajui sheria, mapungufu kwenye mikataba haiwezi kutokuwepo, hakuna mkatabausio kuwa na loopholes better shut up
@SeifAlly-fw6ns
@SeifAlly-fw6ns Ай бұрын
Punguza u yanga wako unajua mpaka unakera hata kama unaipenda yanga punguza mapenzi yako kwenye uchambuzi punguza chuki zako kwa simba unakera saaaana
@makamelila
@makamelila Ай бұрын
Hakuna sintofahamu ni mpropa Ganda tu hizo acheni chokochoko
@muhsinjuma1326
@muhsinjuma1326 Ай бұрын
Profesa wa mchongo ,,kwni hatujui kuwa wewe nimwana yanga,kuanzia leo na unsubscribe hii tv ya kimchongo
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 14 МЛН
MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI
6:14