Рет қаралды 621
Muhadhara uliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Madina Kigali Rwanda Tarehe 24/04/ 2014 . Mada ikielezea ni nama gani wanadamu tunavyotakiwa kuapa, Je kuapa sahihi ni kupi? Inshaallah fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.