Рет қаралды 159,302
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Tarehe 5/11/2010 . Sira ya Mtume Muhammad s.a.w , ndani ya sira hii ,tunapata kuelezewa kifo cha Mtume wetu Muhammad S.a.w, ilikuwaje fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.