Рет қаралды 4,054
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 09/01/ 2009 . Mada ikielezea alama 40 za wanafiki sehemu ya Tatu, ni alama gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.