Рет қаралды 20,247
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk, Masjid Ihsaan Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 15/2/2008 Mada ikielezea Watu 10 waliolaani ni watu gani? tazama hadi mwisho Inshaallah upate kuelimika pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni.