Рет қаралды 205,985
Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Aliyetoweka Siku Chache Baada Ya Kushiriki Maandamano Ya Kupinga Serikali. Ukaguzi Wa Maiti Ukibaini Kuwa Denzel Onyango Omondi Alifariki Kwa Kufa Maji. Sasa Jamaa Za Marehemu Denzel Aliyenakiliwa Kwenye Video Akiwa Ndani Ya Majengo Ya Bunge Inapinga Ripoti Kuwa Alijitoa Uhai. Franklin Walla Na Taarifa Hii Kwa Kina