KITWANA MANARA , SUNDAY MANARA NA KASSIM MANARA NDUGU WA 3 WALIOWEKA HISTORIA KUCHEZA PAMOJA TZ

  Рет қаралды 17,602

Manara TV

Manara TV

10 ай бұрын

Tusipojua tulipotoka hatutajua tulipo na tunapotaka kwenda, Historia ni muhimu kwa kila jambo ili tujue way forwad yetu!!
Sikuwa najua kwamba nyumba yetu ya Temeke Wananchi waliivunja vioo vyake na sikuwa nafahamu kwamba Mabeki wa zamani wa Simba ikifika mechi na Pan Africans hawali mchana 🤪
Kubwa sana hii interview baina ya Baba na Mtoto hapa Belgium.

Пікірлер: 28
@nestorymasale2714
@nestorymasale2714 10 ай бұрын
Jamaa kakaa ulaya miaka kibao lkn kiswahili safi sana wengine eti kiswahili wamesahau . Kasimu nakukubali sana toka unacheza poa msidha mema huko majuu
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 10 ай бұрын
Hongera sana Haji unazidi kuleta hamasa za michezo nchini mwetu. Big up
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 10 ай бұрын
Kitwana Plopati alikuwa kipa mzuri sana CosmoPolitan mimi nilimkuta hapo
@elemonsanga8996
@elemonsanga8996 10 ай бұрын
Manara uko juu wewe na familia yako yote,,sema wewe wanakuwangia sana,,hasa anaye itwa rais karia
@Chemba67
@Chemba67 10 ай бұрын
Hongera sana Manara...bonge la interview........
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 10 ай бұрын
Haji hakika umeshindikana, na ukweli 😅 wanakuonea, mana damu hiyo ya ball' uwezi kuikwepa. mana wazee wako walikua watu tena wanaoujua ⚽ ila 'ushamba kilema na kubebana., nadhani mnanielewa' wajuvi wa mambo. Hakika wanaumia saana. Big. up 3 manara's
@sadikianthony8717
@sadikianthony8717 10 ай бұрын
This was great interview
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 10 ай бұрын
Kassimu sema ukweli Sunday kwenu familia yenu tulimpenda sana kwa uchezaji wake, japo wote watanzania tuliwapenda ujue enzi Haji Manara hajazaliwa.
@husseinkassimu4904
@husseinkassimu4904 10 ай бұрын
Nkwel mzee wangu kassimu manara wajina wa baba yangu vipaji vinafia mtaan huku hatuna miongozo
@kalikenechota8606
@kalikenechota8606 3 ай бұрын
Nikweli kabisa ujakosea
@karimkassam571
@karimkassam571 10 ай бұрын
Haji tunashkuru...KUMBE TANZANIA TUNA MCHEZAJI WA KARNE.....
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 10 ай бұрын
Babu kubwa mkubwa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Huyu mzee hana baya alisaidia watu wengi sana hana roho mbaya kabisa
@user-gl6se6mr3l
@user-gl6se6mr3l 10 ай бұрын
Umeongea Tim zote lkn Nyota Africa hujaizungumzia
@ahmedhassani7058
@ahmedhassani7058 10 ай бұрын
Mbona Greece hujasema kaishi vile 2
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir 10 ай бұрын
Katika nyie Manara familly aliyekua juu sn wakat ule ni Sunday Manara...Simba Abdallah Kibaden Mputa..
@harounali9057
@harounali9057 10 ай бұрын
Mimi kwetu ni mtaa wa Mkunguni na Sukuma na nimesoma chuo cha Allah amrehemu Shariff Abdurahman, Sukuma na Mafya, club ya Pan African ilikuwa nyuma ya chuo chetu. Nikweli nime injoi.
@karimkassam571
@karimkassam571 10 ай бұрын
Mwaka gani
@harounali9057
@harounali9057 10 ай бұрын
@@karimkassam571 nime maliza madrasa hapo 1983
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 10 ай бұрын
Hakika maji hufuata mkondo familia moja wachezaji wa mpira tena wachezaji wa hadhi ya juu kabisa enzi hizo, Kitwana Manara, Sunday Manara, Kassimu Manara, Na kwa sasa mtoto wao Haji S. Manara ni mleta hamasa mkubwa hapa kwetu, yaani ni kama alileta usemaji kwenye timu zetu hapa Tanzania.
@emanuelyoram8287
@emanuelyoram8287 10 ай бұрын
Basi kuna vitoto vinakwambia samatta ndo mchezaji mkubwa alofamya makubwa Tanzania😊😂😂
@imanimbaga3549
@imanimbaga3549 10 ай бұрын
😂😂😂😂 acha tu
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir 10 ай бұрын
Mitandao inawadanganya ndio mitatandao hiyo hiyo leo wanamuona Mwakinyo ndie bondia bora Tanzania haijawahi tokea pumbav sn...
@kinthermedia6164
@kinthermedia6164 10 ай бұрын
Ndio samatta ndio star kuwai kutokea records zinaongea mjomba ,😅😅😅😅😅
@emanuelyoram8287
@emanuelyoram8287 10 ай бұрын
@@kinthermedia6164 record zipi em ziorodheshe hapa
@emanuelyoram8287
@emanuelyoram8287 10 ай бұрын
@@AyoubAbdullrahmanAmir Akili zao ndogo sana.... hao watu wamefahamika nchi nzima bila uwepo wa mitandao, na wametoboa mpaka ulaya bila promo za mitandao ni uwezo,
EXCLUSIVE:MZEE SUNDAY MANARA AICHAMBUA DERBY YA KARIAKOO NA MAAJABU YAKE.
1:01:36
JEHOVA JIRE TV TANZANIA
Рет қаралды 17 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
IFAHAMU HISTORIA YA MAISHA YA SOKA YA FREDY FELIX  MINZIRO
29:24
Mvula Sports
Рет қаралды 11 М.
کتاب ممنوعه نبرد دین با علم
3:50:08
کتاب خونه
Рет қаралды 294 М.
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 6 МЛН
ЖЕСТКО поплатился за мерзкие УДАРЫ❗
0:54
Сын Роналду чуть не облысел 🤯
0:28
Спортивные Моменты
Рет қаралды 995 М.