Wooooow umenipendeza kabisa Steve mimi ni mmunyarwanda Naishi China mungu akubaliki sana
@johnndambuki-tf2dh Жыл бұрын
Watching from Saudi Arabia, pole Kwa koti kuraruliwa nunua nyingine kama hio
@zikenims6167 Жыл бұрын
Pole stevu wetu kwa koti kuchanwa😂😂😂😂
@banzamukalay5396 Жыл бұрын
Wow, nzuri sana kabisa kusikiya historia ya lile koti la Steven.
@Rbtzoff Жыл бұрын
waooooh leo me ndy wakwanza naombeni like hata5
@KananaMillicent-de4qq Жыл бұрын
Maaaakosaa..eh!hii inaitaji dj afro toka kenya😂😂😂Steve pumbavu zangu nini😅
@Alim-Rachel Жыл бұрын
Daah heri limetuondokea Steve tunakupenda toka kenya 😍😍
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa
@ambbabu4122 Жыл бұрын
😂😂😂😂 mashaa Allah... Kumbe unaongea tu vizuri Steve, na kumbe ww n mtu tu wakawaida bro hongera sana kwa kazi zako bro mi n fan wako sana. na Kenya ndio home
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Jamani ndio mpasue,,,sijapentaa😭😭😭sasa steve tutamjuaje bila koti
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Nywele zake
@thomasnyingo7272 Жыл бұрын
Kwa kweli STEVE maamuzi ya kulichana hilo koti siyo sahihi kwasababu washabiki wako tunakupenda kwa character ya hilo koti ❤😢😅🙏💕👏
@nassjog990youtube6 Жыл бұрын
Kachana Ili achange character ya hilo hilo koti lilikua la mda mrefu ni kwaajili ya scene mpya za mbele
@yvesmugisha9521 Жыл бұрын
Mi mwenyewe nilifikilia kuhusu koti Hilo kkkk🥰dealy dealy koti
@jumaally5085 Жыл бұрын
ukiachana na koti huyu mdada mzuri Sana yaani
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Sawa kaka kwa kutupa historia FUPI ya marehemu 😅😅
@mwanaishashanilamagoti1092 Жыл бұрын
😂😂😂
@jaliamartinz Жыл бұрын
Watching from Uganda,,,,,,,,, jamani koti la Steve wangu😅😅😅
@AlslayRyson Жыл бұрын
❤❤❤hi
@AustinKonde Жыл бұрын
Koti lifanyiwe maziko ,Steve wewe😂😂 naomba subscribers @CHAKILA TV ❤
@azaboicomedy Жыл бұрын
Ni kheri wangekuchana Nywele 😂😂😂😂😂😂.... Koti ulivae kama shangA 😂
@user-kp5hb3rv6q6 ай бұрын
😂😂😂 kwel kak wamchane nywelé tyuu
@user-zq8in8rl3kАй бұрын
Hi
@user-zq8in8rl3kАй бұрын
Kweli
@sharoncherotich352 Жыл бұрын
Steve koti lako hatutaiona tena 😂😂😂😂 but Ur so funny
@JumaMasalu-tc1xp Жыл бұрын
Allah akujaalie zaid, hakika unatuburudisha sana steve
@omarwanyonyi2631 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilikuwa nimelichoka sana 😂😂😂😂
@mariamrupatu Жыл бұрын
Jaman Kwann lkn ilo koti mwenyew akilivaa ndo lanchekesha pia😭
@symomoncah6730 Жыл бұрын
Pia mm,,,wamemkosea sana 😂
@mosesmwongongi-2650 Жыл бұрын
Steve napenda sana kazi zako mwenyezi Mungu akubariki sana
@ngendakumanajeanmarrie7490 Жыл бұрын
Nahiyo shati ya bechi umeanza kuvaa litakufikisha mbari kama hiyo koti hongera kwakazi nzuri from burundi
@chidzodunda11 ай бұрын
😂😂kumbe Steve unaeza ongea vzuri hivi ❤❤❤
@TSOKAL-TV Жыл бұрын
Kabisa Nami piya nashukuru kwani hiyo koti ilikuwa imenikwaza piya kabisa
@JohnLumuchele Жыл бұрын
Ni kweli Hilo koti nalikumbuka la samani but Steve tunawependa sana kutoka Kenya 🇰🇪
@Rashid2tv7 күн бұрын
Rachidi gutoka Kenya, stv namkubari kinyama
@diddahjay2185 Жыл бұрын
Na hio ndio eulogy ya marehemu koti😂
@mashajay-yr8yq Жыл бұрын
Waah 😂😂 pamoja Steve comedy zako kali na ninazifuatilia pia strong
@Mimy_keys Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Tumelizowea koti lake 😢😢😢
@tonidena2434 Жыл бұрын
Uyu buda amekua addict na comedy adi akibonga kitu serious inakaa comedy tuu...but ana bamba sana, big up bro👊
@Mlopa47_Mp Жыл бұрын
😂😂😂😂 Steve nakukubali sana 😅😅 we ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@satixsatixstarsilence Жыл бұрын
Safi Sana stev my bro in crist nakutabuwa baya sana❤❤❤😂😂😂 kicheko tu
@faithwachira6688 Жыл бұрын
😂😂😂 Steve koti rimeenda hutaliona Tena 😂😂😂😂
@aryanchuumu362 Жыл бұрын
Hajra em tuambie umehisi arufu gn imetok hapo kwny hilo kot
@johnmbugua3264 Жыл бұрын
Apo safi Safi iiiii sana aisee hahahaha aaaaaaa
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Dulla bora umechana ,lishamlipa😅😅😅 LILIKUWA linanikera na mimi
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Kukera kidogo ni afadhali limepumzika pema 😂😂
@joelmusebe2141 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hiyo ni Kali sana ❤❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪
@bigimbaruhaimable25 Жыл бұрын
Watching from rwanda 🇷🇼😂 Steven pole
@user-sq1eo8ng4s Жыл бұрын
imekuwa mareemu koti ya steve😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@munguyikojeanmarie2558 Жыл бұрын
Stive mweusi unajuwa sana jamani mungu akuongezee kuvuma bwana nakufataga sanaa kbs
@gerysongratian Жыл бұрын
Me mwenyewe nmechoka nlipoona Steve kaanza kulia
@celestinahishakiye4713 Жыл бұрын
Yesu wangu 😭😭 kilio cha koti !!!!
@imanipirfa225 Жыл бұрын
Steve fanya juu chini ili upate ilo koti kwa sababu ilo koti limeisha kuwa adressi la comedy yako
@stanleygichuru4613 Жыл бұрын
Hahaha eti moyo wa stive ulikuwa unamfanyia nini?🤣🤣🤣
@danielkidenya7009 Жыл бұрын
Hii ndo combination ya maana nimefurahi kumwona dulla
@aryanchuumu362 Жыл бұрын
Asante mwanangu dullah mzee wa kupata moto sana😅😂😂umenisaidia ilo koti tangu januar n moj tu mvua jua analo Bora ulivyolichana
@nashoniclifford172 Жыл бұрын
Daaaaaa kitambo kweli 2017 mwezi wa tatu tarehe 8 mmmmm Hongera kwa kutunza vizuri na amini una history nzuri kuhusu hilo
@Burundianhustler Жыл бұрын
Watching from Burundi Tunawapenda sana 💚💚
@barakarichard9351 Жыл бұрын
Kama unamkubali dullah gonga like tujuane
@Opiyoekan Жыл бұрын
Steve hivi unaombolezea koti kiukweli limekustiri sana❤
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Bado ndala izo zinanikera ,dulla kata😅😅
@keybmactv9984 Жыл бұрын
hivi steve ulisoma! ulisoma kitengo gani! ulisoma mpaka chuo kikuu!
@Ngwatheofficial Жыл бұрын
Wangap wanamtambua steve....wapi likes wadau
@cimjohnson4413 Жыл бұрын
Ni kiliokwa Stive😊😅😢😢
@queenandchill91 Жыл бұрын
Koti linanuka kama beberu....🤣🤣🤣🤣🤣
@itwas2022 Жыл бұрын
Unyama kaka sema lilikuwa tamu. 😅😅😅😅
@allanotienootieno2626 Жыл бұрын
Watching from Qatar,,,, you're really making my day enjoyable ,,,Steve mweusi
@peterobote3036 Жыл бұрын
Hajra wee❤️❤️Swaum takatifu mummy 🥰🥳
@ernestking6681 Жыл бұрын
Daah RIP jaket la mwamba tulilipenda😭😭😭😭😭
@uwishemanulsa9810 Жыл бұрын
Rip koti la Steven maana nilikuwa Nisha lichoka😂😂😂😂😂
@Chidyboy77 Жыл бұрын
Aisee Steve ujengewe sanamu
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Mjomba ni mama 😅😅
@MohamedNako-wh5is Жыл бұрын
Pole sana mwanetu
@rizikisam6481 Жыл бұрын
Nampenda dulla jamani 😂😂😂
@abdallahomary2348 Жыл бұрын
Dah hilo koti Steve ilikua ni moja ya bland yakutuchekesha Sasa vip 😂😂😂😂 lichukue ukalishone sisi tumelipenda pia
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hongera na asante kwa historiya ya jacket
@DIVINAH553 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂hatutaliona tena wacha lilale salama😂😂😂😂😂😂😂
@hardworkeroverworked4940 Жыл бұрын
Watching from Qatar 🇶🇦. A big fan of Steve🙌💎
@dericko10 Жыл бұрын
Habibi
@didierniyomukiza29 Жыл бұрын
😂😂😂Koti iyoo
@hardworkeroverworked4940 Жыл бұрын
@@dericko10 🙌
@hardworkeroverworked4940 Жыл бұрын
@@didierniyomukiza29 won't see it again.
@dericko10 Жыл бұрын
@@hardworkeroverworked4940 oyah uko wapi
@user-ys9hb1pm1g9 ай бұрын
Dulla dulla dulla nimekuita mara 3 unajua umekosea sana 😂😂😂kuchana ilo koti 😂😂😂nimeuziwa na mtu wangungu 😂😂😂😂😂😂utalaaniwa
@nyakidunga-ih8yw Жыл бұрын
Steve umepata hasara ya koti
@user-ys9hb1pm1g9 ай бұрын
Atimae leo koti limechanwa 😂😂😂😂😂😂
@mathiaszakaria7052 Жыл бұрын
Dahhhh ila huyo Dada wa kuitwa Hajira kafungasha syo mchezo yaan kajistili vizuri ila bado akikimbia ndani prukushani😋😋
@user-rf5sf4wl4e5 ай бұрын
Pole sana Steve kwa marehemu koti mzike salama kama mzee pombe
@kwanamashukurani762 Жыл бұрын
Iro koti kitambo sana ety nakumbuka irikua siku moja urikuta wamekuwekea ugari Dogo sere akakufurisha nguo kwanza😁😁😁😁😁😁
@sosomacharles9920 Жыл бұрын
Huyu dada mm nampenda akiigiza kama mwl,yupo vzr sana na anakuwa siliasi sana.
@AzamDjimmy2 ай бұрын
Kumbe wewe Dula ndie ulie chana koti ya stive ndo tena simuonake ana ivaa😅😅😅
@hapJay-cz1dg Жыл бұрын
Daah jmn 🥱🥱 huyo aliyechana mung anamuona
@josephsimatwo6869 Жыл бұрын
From Kenya 🤣🤣 love you great guys
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂kwahyo hatumuoni tena Steve na hilo koti au atalishona😅😅😅😅😅😅
@salehalzakwani3283 Жыл бұрын
Koti Baya aisee ilikuwa nikiliona aise noma bora mzee ushapata umaarufu Sasa twende kazi
@AngeliqueIlunga-kx4si3 ай бұрын
Iyo nikweli baba chana mbele ilo koti ,n'a mimi Nime lichoka 😂
@kallandoking6561 Жыл бұрын
Hilo koti naomba mlishone tafadhali nikiliona tu najua ni stivu huyu hata bila ya kuangalia usoni
@kenwakuduck0290 Жыл бұрын
stivo hauko peke yako , pia mimi niko na kamoja 2yrs now😂...bahati hakaja pata adui akachane😂
@marconzalia-tl4ny Жыл бұрын
Da jaman steve una kipaji mungu alikujalia kwa kwl
@alhabib9874 Жыл бұрын
alofurah koti kuchanwa gonga like
@steveboy1740 Жыл бұрын
Kweli Hilo Cort ulilipenda km ungemkuta mwenye alitenda hivo cjui ungemfanyaje
@kevinnasibu7284 Жыл бұрын
😂😂maskini steve pengo la koti halitazipika,,ohhh
@witnesstanley6578 Жыл бұрын
Jamn kotiiii kotiiii la stiv RIP hatutakuona tena 2017 duuh mpk saiv umri wa mtu ndo mana naona saiv hanaa jamooon duuh
@florianakhweso5749 Жыл бұрын
😂😂😁😁😁😂🤣😂😁😂😂😁ushauri wangu umefanyiwa kazi leo😂😂😂😂
@juliusmark509 Жыл бұрын
Pole sana kwakilio Cha koto Yako I love you from Kampala
@mwajumsleman9070 Жыл бұрын
Na nywele mkateniiiii steve😂😂😂😂
@nakabajaeric490 Жыл бұрын
Safi sana Steven Kutumatiya historia ya koti
@NasiekuLenanyasagaram Жыл бұрын
Tafuta koti lingine Steve Kama hiyo tuu😂😂😂😂😂
@timothyndiwa2651 Жыл бұрын
I just love the lady ❤
@aminaagnes2355 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣lile koti limekfnya nn ata ulichane😂😂😂😂
@user-mg6hn6os6y8 ай бұрын
Steve tunakuangalia na kukufurahia from Netherlands
@selaAugustin4 ай бұрын
Au nilivyo toka na wewe baba ulitoka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hassanmakokha274 Жыл бұрын
Nadhani apa ndo ule wimbo ulitokea 😂😂😂😂😂
@issaskighanga3199 Жыл бұрын
Hapondo mnazinguwa tumeshakuzoea ivio nahilo koti sasa itakuwaje😅😅😁🤪
@MkomboziSeptroidejeunes2330 Жыл бұрын
Eti moyo ulikuwa nadunda nikajiuliza kuna Nini kumbe alikuwa niwewe amakweli Steve wewe mkali kweli
@ernestirakoze8807 Жыл бұрын
Hatutoliona tena koti lako😂😂😂
@mundabireson6721 Жыл бұрын
I was like that jacket my broo 100% is not good to play comedy without that jacket....