Km una penda agent xxx (Norah) pita n like kaupiga mwingi km mfanyakazi n mpelelelezi 🎉🎉🎉
@user-jw4ld4kw1h4 ай бұрын
uhakika
@ashurajuma20244 ай бұрын
Yani ni tamu mnoo jamani .
@rizmwMwriz-mf2cu4 ай бұрын
Nmempenda sana (Norah) 🎉🎉🎉
@philohmutua29684 ай бұрын
Inawaka😢😢😢❤❤❤
@Bibi-he6vt4 ай бұрын
Good job
@annaki3184 ай бұрын
Tuliokua tunaifatilia last card kuanzia episode ya kwanza mpaka finally Leo tujuane🎉🎉❤❤❤❤
@LilianCheptoo-io7td4 ай бұрын
Mimi hapa
@user-yv8zw5lm9g4 ай бұрын
Tuko tele tulikuwa tukiikosa twaumwa 😂😂
@MelissaUwimana-zn7dy4 ай бұрын
Niko hap
@mashatz78054 ай бұрын
Nipo hapa
@user-mw3yz6qu5m4 ай бұрын
Nko hapa
@user-vv7ex1cs7y4 ай бұрын
Asanteni sana mungu awabariki tunaomba mtuandalie movie nyingine nzuri na kali sana kama au zaidi ya last card wanao ungana nami gonga like hapa🎉❤🎉❤🎉🎉🎉
@Edimundingonyani3 ай бұрын
nyie nimafund kp shei shei nola na bos wala nola IT mpo good san metish nimemaliza faino sas 2nasubili chuma kingini kwaichi last card mko saf
@user-tq9lr3ji9k3 ай бұрын
Asante Sana nimeipenda last card mmefan vzr
@maggietuxh57794 ай бұрын
Wah kazi nzuri sana Kwa kweli last card n kipindi kilikuwa kitamu sana wap likes kw wenye tuliaza mwanzo Ady final much love ❤❤❤❤ kw KP na zebuu pia WA husika wengne kazi zuri sana
@user-wo2jl5vl9p3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@millykerongo13392 ай бұрын
Very creative story indeed .
@ndayicarine22244 ай бұрын
Jamani munikunbuk namimi hata like10basi from Burundi 🇧🇮
@charitychadrek4 ай бұрын
Aliyefulahishwa 🎉na game ya nolla na zebuu njoni hapa😂 congratulations 🎉 for this movie kp🎉
@user-jm2im8dp6f3 ай бұрын
Nipo pamoja nanyi
@tibelmtandi22754 ай бұрын
Mim ni mvivu wa kucoment, lakn kwa hapa hakika ukweli usemwe tu mmeupiga mwingi, HONGERENI🎉🎉🎉
@lucyellymkate36264 ай бұрын
Kiukweli movie ni nzuri sana Kwa tuliofuatilia kuanzia mwanzo sheyisheyi,kp na zb pokeeni maua yenu nimependa sana mlivyocheza♥️♥️♥️♥️
@AnnaShao4 ай бұрын
Waoooo ime pamba moto tulio kuwa tuna isubiria kwa hamu gonga like apa ❤️❤️❤️❤️❤️
@mejusimba53934 ай бұрын
Norah karata yako leo umeicheza vizuri sana kuliko karata zengine kama unakubaliana na mm gonga like hapa
@SarahAimedy-us7if4 ай бұрын
Aise nafuraiya sana eri kwisho kuliko kwazo❤❤❤
@user-ig5go9wo6g3 ай бұрын
Good job my siz ❤❤
@vuew3094 ай бұрын
Congratulations sheila dad kid zebu na kp suraji na likoma na dabozi good good love you guys 🎉🎉❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰next please nisiboeke akiiii😮
@UbumwemediaSevenTv4 ай бұрын
wapenzi wanhii movie bongo uya last card nipeni like km mmeipenda sn km mm mtoto wa hapa inchini burundi
@witnesstanley65784 ай бұрын
Mim sio wa kwanz ila naomba like mbn mm ni mfatiliaj mzurii tuu hamnipei hata hzo like..
@birungideborah4 ай бұрын
Kazi nzuri saana teena saana jamani, Mungu awabariki piya awape ujuzi zaidi saana. Nimewafuatiliya tangu mwanzo hadi mwisho, naomba likes zangu za Final jamani
@claralyaupe59614 ай бұрын
Kp hongeraa sanaaa
@user-bo3pu2ou8c3 ай бұрын
Kicheko chako kinakera kisai from kenya like ata tano ata japo nmechelewa
@tinnahtabani4 ай бұрын
Hongera norah wewe ni jasir sana ❤❤❤ big up shey sheila kwa kuimaliza game HONGERA ZENU KP NA ZEBUU FAMILY ❤❤❤❤❤ LOVE YOU ALL
@user-jf3qz3il3u4 ай бұрын
Really appreciate much love from saudia Arabia like zangu ata mbili jamani ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Advera-ki8do4 ай бұрын
Noraumefanyakazinzuri
@AishaJafari-sh4pe4 ай бұрын
Watatu leo alaf ni episode ya mwisho naombeni like jamn ata 10 tu sijawah pewa like tangu last card inaisha❤❤❤❤
@user-sr4fm9dc1p4 ай бұрын
Tamu xannaaa
@Alfanijuma-ov5pu4 ай бұрын
@@user-sr4fm9dc1p kp umeua
@user-pl2zf1nv9v4 ай бұрын
Tuleteeni Binti nyoka
@SHABANIVegas-wc1kn4 ай бұрын
❤
@khadijajumanne18443 ай бұрын
@user-sr😊😊😊😊😊😊😊4fm9dc1p
@VenacioKariuki4 ай бұрын
Kazi mzuri kabisa. Heko kutoka humu kenya 🇰🇪. Mpewe TUZO kwa hii jameni. Tutazidi kuwafuatilia
@AishaToyi4 ай бұрын
Tunashuru sana mungu awajaliye kwenye kazi zenu nawapenda sana mlicheza vizuri sana hamja wahi kuniangusha hâta Siku moja karibuni kwetu Burundi rumonge tunawakubali sana
@DamarisMoraa-ow4wp4 ай бұрын
WA kwanza jamani wenye tumemaliza last card gonga like apa
@Navalonge3 ай бұрын
❤
@vickynyambala26933 ай бұрын
Hongereni sana..
@user-su5oi5wb6c4 ай бұрын
Kp jaman hizi move zako zote natazama sijakosa hata moja ya kwanza binti nyoka,ya pili benzema ya tatu mzee wa giza ya inne dada na kaka naya tano last card sote nilianza mwanzo hadi mwisho lakin hata hunipi like zangu na mm kma wenzangu nawapenda sana mungu awajalie vipaji vyenu inshallah 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@marrydomnick60544 ай бұрын
Wamangush je
@rizmwMwriz-mf2cu4 ай бұрын
Umesahau wamangushi mwaya🤣🤣
@KamwemweArlene-re4ec4 ай бұрын
Na wamangushi pia
@AndrasonChocolate-cr1yj3 ай бұрын
Wao NAWAPENDA jamni kp na zebuu
@user-ib3lq9yu2qАй бұрын
Nyingine wamangushi umesahawu
@komanyapaulo36084 ай бұрын
Hakika mnajitahid sana kuwa wabunifu Kaz nzuri sana I like your love story
@philohmutua29684 ай бұрын
Yandio inafikia bazuri ati imeisha waaa kp tutafutie ingine kali kapiza tunakupenda. Nakufwatilia kila movie nikiwa saudi arabia❤❤❤❤❤ sheillah nipe like zenu jamani nyite mwaaaaaaaaaaa
@CREATIVEDESIGNERCHANNEL-fj5vr4 ай бұрын
MSINISAHAU NAOMBA NA MI MNIPE LAST LIKE ZANGUUUUU
@JaguarEscobar4 ай бұрын
Wakwanza Leo from tz like zenu jaman
@assiahmeggah46063 ай бұрын
Npen like zang tok ianz leo ndo nacomment kw furaha ya hal ya juu big up kw mafunzo mnayotoa mungu awazidishie team kp amiin🎉 chukuen maua yen🎉
@user-qg7qi3cl9q4 ай бұрын
Malgré tout je vous aime j'ai commencé la série dès le début une film qui donne la solution des problèmes qu'on donne à quelqu'un qui n'est pas intéressé je vous suive encore No stress Ntare7 à Bujumbura Burundi❤❤❤❤❤
@yuleflexboy4944 ай бұрын
Wa Kwanza Leo naombeni likes zangu, last card family, all the way from cape town South Africa
@gracejastini4 ай бұрын
Woooo nmewahi jmooon ambao walikuw wamemisx kumuona xxxx weka like zenu
@sabushimikedesire1684 ай бұрын
Hongeleni sana wapendwa. Pokea salamu zangu kutoka Burundi . Ndabakeje cane vyimva mutima. Ntamajambo mbona nokoresha mukuvuga uburyo mwampimbaye muburyo mwakinye neza . I love you all .keep it up my brothers and sisters u Did well . Nawatakia ALL THE BEST
@juliahmwaka71844 ай бұрын
❤❤❤❤wow! Hatimaye tangu mwanzo hadi mwisho. Nipeni hata like moja ya bundle jamani,Alafu Norah alivyokuwa akikonyeza jicho 😘😂😂
@ibrahjokes50554 ай бұрын
Last card ♦️ in last episode Man from no where I need some like
@LinusMsimbano-uq1kg4 ай бұрын
Yaan nimeisubiili kwa hamu sana dahh waoooo very nice naomben like jamn hata kumi
Waaah nice job nimekuwa nikifuatilia hii kipindi toka mwanzo mpaka leo hii ni mwishowe❤❤❤❤❤much love
@Baudouin-Tv4 ай бұрын
Number one leo ni mimi ❤❤❤❤❤ nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu FROM CONGO Drc
@moseschigombi11284 ай бұрын
Yani nimekuwa wa kwanza alafu bando linakata wakati nmeonywa simu iwe na bando...... nmekimbia dukani kama chizi..... cwez kosa uhondo jamani.... aya dondosha like basi kma unakubaiana nami..... Mauwa yako kp 🎉🎉🎉🎉
@Liliqn4 ай бұрын
😂😂😂
@fatumasophu58554 ай бұрын
😃😃😃😃
@SuzanaMgoja4 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-gy3wo2ez4d4 ай бұрын
Watu watumia wifi siku iz we upo mwaka gan 😂😂😂
@user-dq8uv2tg1c4 ай бұрын
Kazi nzuri sana😂😂😂😂😂 ningependa isiyishe .pole san kisai unakoma.tena una roho mbaya . Nola agonge 🤜🤛 ❤❤❤❤❤ .
@dedemebyaombe79094 ай бұрын
Hongereni sana kwa higizo hii lenye viwango viwango vya juu kabisa na inafurahisha kabisa. Mungu azidi kuwapa ujuzi zaidi.
@tobiaschirwa93644 ай бұрын
Team kp na zebuu tunawapenda sana ...ila namupenda sana shey shey kwakweli anajuwa kaz yake yupo serious sana namupenda muze likoma na diboz kwakweli mupoke mauwa yenu 🎉🎉🎉 Norah hongela sana nipo south africa asanteni
@sarahkararinyakinyua36184 ай бұрын
Leo si wote wakwanza chefuu,Nora apewe like zote
@FabianoJumanee3 күн бұрын
hii move inafundisha sana jamani haki kwa binadam ni jamb la muhimu sana kama mnakubaliana na mimi tia like ata mbili apo
@faithnyansera11244 ай бұрын
Walai nimefurahi pia mm congratulations nolaa KAZI nzuri sana 💞 nawapenda sana pia kp, zebuu na shila wako poa sana 💞 na likoma pia na shulac keep it up the good work ❤❤❤❤❤
@user-oz2nt8yy3g4 ай бұрын
Norah courage bien👍 joué félicitations🎉🎊🎉🎊
@Baudouin-Tv4 ай бұрын
Wa kwanza leo nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯♥️💯♥️💯♥️
@mrsinia30644 ай бұрын
Hayawi hayawi sasa yamekuw hongereni sana Team KP & Zebuu kwa kazi yenu nzur pia gonga like za kutosha hapa kama unataman hii movie ichukue tuzo bora ya mwaka 2023--2024
@EdwardTz.3 ай бұрын
Jaman tusizalauliane kwakumjua mtu kwa mda mfupi akili kumkichwa gonga like zakutoshaa!!
@Christopher-xj5fz4 ай бұрын
One of the best series in this year, congratulations team kp ,kp you deserve it 👏👏keep it up broh coz you can
@janepaul-pu3ds4 ай бұрын
I appreciate your work team Kp 🎉🎉🎉🎉 good job we are waiting for binti nyoka season 2 may ALLAH bless you abundantly 🙏🙏
@jeanpaulkimana61324 ай бұрын
RESPECT GUYS,,, I wish i may see MR KISAI IN GAIL,,,
@MugabeMedard-ib5ev4 ай бұрын
Katika movie kali hiii ni mwisho kabsa nimekubari pia nimeamini kweri watu wanavipachi nawapena zebu,kp wa aquino, dibozi manuva, kisai, my shey shey,dhuraji ,mzee likoma,norrah ,na braiton Mmetufurahisha sana tunasubilia vizuri sana kutoka kweri huku Bujumbura tunawapenda sana
@josephluomba88074 ай бұрын
Likes zangu bado Niko , watching from Zambia ❤❤❤❤
@user-nd2vz4gk3w4 ай бұрын
❤❤❤ unyamaa mwingi sana honger San nor nip like zang
@NTEMI4 ай бұрын
Nola hongera sana kp sheishei kazi nzuri zeb pamoja na dar kid kwanza mlio ifanya
@FabianoJumanee3 күн бұрын
tulio fatilia last card kwanzia episod ya 1 hadi final oyeeeee ushind kwa kp noraty zebuu mrs shei shei na dar kid oyeeeee tupeni nyingine basiiiiiii ilove you to remeber
@user-lq1ji3ii6y4 ай бұрын
Hongereni kwa kazi yenu nzuri nyote mulio husika, mungu awazidishie maisha marefu ili muendelee kutupa mafunzo mengi na mengi, Chukueni mauwa yenu
@user-fl7mr4dt1p4 ай бұрын
Jamani da kid pia apewe hongera Na mzee likoma na ank surag wote hongereni love you xxx🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PetroJumbe-ey6pr3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉kwa hakikaa kp una kipaji kikubwa Sana 😁 hongereni Sana hamjamaliza vibaya🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@PetroJumbe-ey6pr3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramaally67963 ай бұрын
Best African movie ever... Ingekuwa na subtitles za English ingekuwa one of the best duniani. Team last card, that's big for u.. Bravo bravo bravo
@luciatungwa40394 ай бұрын
Asante Sana KP nimefurahia sana kuwatch kipindi hiki na nimependezwa nayo mungu azidi kuwapa baraka na nguvu ya kutuandalia kipindi ingine tamu kama hii shukran Sana❤️❤️❤️
@mrsnurdinisaidi89454 ай бұрын
Sitachoka kurudia hii episode kwakweli imenifurahisha sana❤❤❤❤🎉
@yohanajoel20403 ай бұрын
Mm naona nitakua wa mwisho lkn movie ni nzuri inatia hamasa ya kutokukataa tamaa pull up kazi nzuri nanyi msikate tamaa kutupa vitu vizuri 🇹🇿
@user-js8do5yx5f4 ай бұрын
Hatimae tumemalz kz nzur san wanaosubr kigom chengin nipen like zangu
@RashidRashid-wv9ud4 ай бұрын
Nora god job congole kweli umecheza vizuri sana
@justinsimbeye14254 ай бұрын
Aya finally lakini siyo mwisho najua utaleta tena kitu yamoto kama hizi (binti nyoka)(wamangushi)(na rast ♦️♠️ nawakubali wote mnao shilikina nao nawatakia maandalizi mema ya kp na kundi lote from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 penda sana 🎉🎉🎉
@CoretherMalongo3 ай бұрын
Jaman nataman Tena nawasalimia group lite pokeen Salam zang kutoka mwanza town napatikana isamilo lete nyingine kp na zebuuu nawapendaaaa😢😢😢😅😅😅😅
@user-eu6mo7py7x4 ай бұрын
Wow good job Norah much love from Kenya.
@user-ep3hw2ki6d4 ай бұрын
Wakwanza Jaman nipeni like zangu from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@LillianKaijunga-cp1jv4 ай бұрын
Final episode ilikuwa fantastic sana🎉Nina hakika mwisho wa utamu ndiyo mwañzo wa vitamiu❤❤❤❤❤❤❤❤
@JaneAnyona-bu3rj4 ай бұрын
Team kp hongera xnaa...ahsanteni kw maigizo bora zaidi...norah love much..iyo karata umeicheza vyema agent xxx..ila tu kisai aozee jela tuu
@collinsgwehona2234 ай бұрын
Mimi ni wa mwisho mwisho like ata moja angalau
@MariamoAmadeAssane4 ай бұрын
Jaman Moçambique Léo sijachelew like zang
@DamarisMasese-rh6hy4 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri kp na Zebuu pia Norah umeicheza vizuri sana next tuletee binti nyoka season 2 much love from Kisii 🇰🇪 💪💪💪💪💥💥💥
@rukiahassan70012 ай бұрын
Shailla wetu well come back with the last card..hongereni sana nyote mlioshiriki hii last card I like this game..
@user-me4cb1qk3k3 ай бұрын
Musitawache hivo kp na zebuu, I'm really enjoying your movie's
@eligiambigi48844 ай бұрын
Mi wakwanza leo kp bigap sana🎉🎉🎉
@furahakenga66194 ай бұрын
Hongera sana kp na kikosi chako kwakwel mumefanya vzur kwenye hii Last card nimekua nanyi tangu mwanzo adi mwisho kwakwel mpo vzur sana Mungu azidi kuwaongoza katika kazi zenu Much Love from Kenya 🇰🇪❤️❤️
@iddninga3 ай бұрын
Hongereni sana Tamthilia hii naweza sema ni moja ya tamthilia bora hasa kwa upande wa Cyber security, mmeweza kutoa mafunzo kama yaliyopo katika movie ya Beekeeper. Pili ni tamthilia yenye maudhui makubwa ya kijasusi na kipelelezi, mmejitahidinsana kuonyesha viwango vya juu ya upelelezi na tumeona jinsi idara ya Usalama wa Taifa imavyokuwa na mamluki ndani yake Pia, mmeonyesha namna vipaji adimu vinavyofanya kazi, tumeona familia ya Likoma ilivyodili na majasusi na hata kuwashinda, mategemeo, kama ikija season tu, basi tunatarajia kuona kuwa mzee likoma alikuwa jasusi mbobezi. Hongereni sana sana sana
@allyhamad43444 ай бұрын
Masha allah kwakweli hongera sana mm nawita wana family kwa kazi zenu zote mzri sana mungu awape upendo zaidi na kuwa pamoja lnsha allah
@phidallicesojah27854 ай бұрын
Aki nimeipenda hii card mchezo nimekuwa nikufatilia since the first episode.... may God bless you guys .... inafunza🎉 congratulations.... naomba like from Kenya jamani nijiskie poa na mimi...
@user-hx6rj2dp2f4 ай бұрын
Ongera sana kp kwa kazi nzuri tulikuwa tumesubiri last card kwa hamu sana
@user-bc5zw3jn2x3 ай бұрын
I like it from the first episode till the last you have made it🔥🔥🔥💯💯💯🎉🎉🎉
@ZainabJuma-iy3qt4 ай бұрын
Waoooo hongeren tim kp ❤❤❤❤❤ tunahitaji kigongo bora zaid ya hikii 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-pn3uj3kc3j4 ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya. Nipeni likes jamani
@NesthKey4 ай бұрын
Mimi wa kwanza Leo kutoka Moz,basi gonga likes apa❤
@fabiennshimirimana83634 ай бұрын
Wallah namissi ya kusema.it's real LAST CARD.Nitawamissi kabsa,jiandaeni kwa yinge mutupe,alafu sijui kwamba mtatengeneza yingine zaidi ya LAST CARD,kabsa inanitia mwoyoni
@BubakariMuhammad-dn9kc4 ай бұрын
Thank you for the great work I really love it ❤
@zainaabdallah8094 ай бұрын
Leo nimewai wa kwanza hahahaha aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi 🔥🔥 big up KP ❤❤❤❤
@ibrahjokes50554 ай бұрын
Kwa kwel kisai anajua kuigiza sana huyu jamaa n nomah sana
@user-wm7ij7ii7e3 ай бұрын
🎉🎉🎉 Norah hongera sana dasa🎉🎉🎉♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️na wapenda Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LudeofficialXworldwide3 ай бұрын
Appreciate Sana kp nawakubali Sana, unajuwa movie zenu uku mtaan znakubalika sana cc wenye library tunajipiagia hela tu kazi nzuli Sana mungu awajalie uzma, mtuletee chuma kingne chamoto 👍
@user-tw8jn9fw2b4 ай бұрын
Waooh congratulations u all kweli baada ya dhiki Ni faraja❤❤I salute you all , Norah wewe Ur more the best ♥️♥️♥️
@abdallahassan63784 ай бұрын
Pls kp ombi lang kwenu km hii move imeisha bs Msichelew kutuletea tamthilia nyngn mpy🙏🙏🤝🤝🤝
@euniceangie4 ай бұрын
Wow well played,,,king found his way to the queen🎉😂❤
@EdisonLucas-uh1uh3 ай бұрын
Jamn me nd wa mwisho kabisa naomben bas like hata moja tuu
@user-sd6gi1nb8w4 ай бұрын
Waooow mashallah Mashallah Mashallah nimefurahi toka mwanzo had mwisho hongera sana kwa kazi nzuri mungu awazidishie ❤❤❤❤❤❤
@samwelpartr76363 ай бұрын
nakukubal sana shey shey
@user-iw6wg9hf5g4 ай бұрын
Nakubal Kazi Yenu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎯🎯🎯🎯
@user-in2ik2wn1y3 ай бұрын
Jamani MBN imekua tamu vile.Nko kwa sonna sai mpaka kieleweke.hta nkachelewa kuanglia lkini mpaka kitazame.NAWAPENDA SANA NYOTE TEAM LAST CARD❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stephensonram9324 ай бұрын
Congratulations guys, you played the game like legends. Umenifurahisha Sana Kati series yenu. Mungu azidi kuwabariki na kuwaogezea kipaji. Wish you all the best.