Usisahau ku Subscribe,Like,Share,Comment ili uwe wa kwanza kupata Video zetu mpya. Director of Photography Said Negro Directed by Eddy Best #Pemba #JufeFilmProduction#Comedy
Пікірлер: 86
@chabunu33672 жыл бұрын
Wewe top one hii iko sawa kabisa iko na mafunzo na ugizaji wa heshima wahali ya juu unaweza angaliya na mke na watoto wako au na familiya yoyote video zenu kwa madili mema asanteni
@salummkubwa2 жыл бұрын
Furaha kumuona Kitatange amerudi 👍
@kassimomar99972 жыл бұрын
Kiukweli kifochako bikidecha kimetuumiza sana kwakweli ila mungu akujaalie kauli thabit na akulaze mahala pema
@mohdseif24592 жыл бұрын
naona kitatange karudi jufe janjaa mwanaume
@abunahyan61292 жыл бұрын
Kazi nzuri na tamu japo kidogo
@MAPETEE2 жыл бұрын
Wallah nime furahi kumuona Tena
@alirashid32392 жыл бұрын
Ahlaaan Allah awajaalie kila la kheri
@mariambintsaid3814 Жыл бұрын
wimbo waitwaje jamani huu wa mwanzo wa kobe na mpunga
@mohdsaad27362 жыл бұрын
Jufe tunacho waomba hii group isigawike ila hapa mleteni na kidundo basi
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Kabisa itanoga je 😂
@Chombezaflava2 жыл бұрын
Bi kidecha kumbe atimua ehhh
@mpembainc2 жыл бұрын
Kitatange amerudi, nimefurahi kumuona amerudi, bado #Kachara.
@zahramussa66742 жыл бұрын
😂😂😂bikidecha ana mbiyo😂😂
@hassanferej85532 жыл бұрын
🤩🤩🤩kuku wa bustNi kazua balaa
@salmamohd82022 жыл бұрын
Bikidecha mbio unazo vooo
@hajiharoub81252 жыл бұрын
Kwakwel mwaka umeanza vzur 💯💯💪💪💪maana had raha kwakwel
@mamaibra24022 жыл бұрын
Kala kuku wa bustani nimecheka mpaka watu wanaulizana bi kidecha hongera upo vizuri mbio unaweza lkn kitatange hukumpata
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Nawapenda sana mkovizuri
@MohamedSaid-wo2be9 ай бұрын
Kuku wa bustani ni kuku gani
@johariabdalla33192 жыл бұрын
Kitatange kibokoooo
@zulfahussein67842 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kuku wa bustani huyuuu kashaliwa
@HalimaHalima-id2cb2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥bikijechaa
@dumbitv7892 жыл бұрын
Pamojasana nakubali kazi iendelee
@mohammedrehani76062 жыл бұрын
Hahahaha bikijecha muache
@mubarakmrf78992 жыл бұрын
Kankula kuku wa bustan
@bintihassan65342 жыл бұрын
😂😂😂Kuku wa bustani ashaliwa
@shamsaalrahbi55732 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Et kuku wa busitani
@abdulhakimabdallah93922 жыл бұрын
Lkn bi kidecha kuicheza hii since inaonesha inakupa tabu sana
@MAPETEE2 жыл бұрын
Yule mwanamke yuko Wap
@mzeewakijiji81332 жыл бұрын
Hahahaaa kuku wa bustani nae😁
@dawaadawaajuma74462 жыл бұрын
Allah akusamehe ulipokosea hakika ss ni wa Allah na kwake tutarejea
@ayshaalsahafi57142 жыл бұрын
Mmmhh jamani kitatange
@safiayussuf93082 жыл бұрын
Allah akusamehe makosa yk akuweke peponi Na jamii waislam Ameen
@samiramohamed592511 ай бұрын
We kitatange mbona hivi wee.dakika moja tu kuku ushamla???????😅😅😅
@abdulwahidmsellem19982 жыл бұрын
😂😁👍Sasa bustani ni nini,au hao kuku wanaitwa kuku wa bustani ama busatani ni mtuu
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Ni mambo ya mapichi hayu kuku wabustani Yani kile chakula alicho kitengeneza yule bibi pale ndio kinavyo itwa
@abdulwahidmsellem19982 жыл бұрын
@@naimaabuualii578 😆😆👍 asante
@mamyomar12412 жыл бұрын
Kuku wa bustani, nikuku alitepikwa baada akaweka kwenye chombo akaanza kupambwa kwa salad kwa mpangilio wa maua sasa Ile ndio bustani , kama ulivyomuona kashika tungule anazipanga.
@amourchacha1162 жыл бұрын
Sauti IPO chini.sana
@alhimnamussasaid36192 жыл бұрын
bi kidecha upo sawa hakika Napenda actors zako
@samiramohamed592511 ай бұрын
MashaAllah Bikidecha yupo sawa kweli
@issaofficialvideo63752 жыл бұрын
Sauti ndogo, mshika boom yuko wapi
@habibahussein16642 жыл бұрын
🤣🤣🤣 bikidecha mbio izo 🤣🤣🤣mamdogo mbiozo
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Ana mbio balaa... Kama si ntu nzima vile!
@amourchacha1162 жыл бұрын
Boom mic vip
@salmasalim60552 жыл бұрын
🤣🤣🤣kuku wa busitani kashaliwa 🤣🤣
@salwasuleiman35252 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Mashaallah 🥰🥰🥰
@thuwaybah56792 жыл бұрын
🤣🤣🤣kuku wa busitani hahahhah
@omarijuma79832 жыл бұрын
Mm nahitaj cd vipi inakuaje
@ibrahiym_khan79842 жыл бұрын
Hhhhh, wallah rahaa Sana napenda mzee mwiny na bikidecha mnavyo kitongoa kipemba chetu haswaaaa😃😃😁
Allah ailaze roho ya bi kidecha mahala pema peponi InshaAllah
@maryamabdullah91692 жыл бұрын
Amiin Amiin
@mundhiraliy13072 жыл бұрын
Kankula kuku wabusitani🤣🤣🤣🤣
@khamistano48482 жыл бұрын
Jaje na kuku wa bustani mwenyewe yu njiani aja Sasa itakuaje?
@jumamohammed53782 жыл бұрын
MashaAllah
@issaofficialvideo63752 жыл бұрын
Nice
@abdullaabdullahmpakanjia23362 жыл бұрын
Tuleteeni full movie
@pilikhamis29242 жыл бұрын
Nimecheka ata mie
@saidanassor32582 жыл бұрын
Kwan alikua wapi
@hamadsuleiman51772 жыл бұрын
Kiukweli kuna kitu cha kujifunza, leo unaletewa kesi ya kwamba kijana wako wa kiume/binti anafanya vitendo viovu kwny jamii then wewe unakataa na kumkingia kifua...Hatimae anakuja kukuweka wewe mashakani mfano kukusababishia hasara za kumkomboa police/mahakamani, au kukuletea mtoto wa nje ya ndoa na mda mwengine kukugombanisha na vipenzi vyako wakiwemo majirani na ndugu..