KUMBE DUDUBAYA ANAISHI KWENYE MAGOFU/NINA PICHA ZA UTUPU ZA MANGE/ MR NICE NIMSHAMBA/ HAKUNA

  Рет қаралды 94,440

Connection Online Tv

Connection Online Tv

3 ай бұрын

‪@dudubayaofficial3146‬ ‪@allyrehanitz‬ ‪@nice_asmr‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@Chegu_onlineTv‬ onlin

Пікірлер: 172
@shabanimbega40
@shabanimbega40 27 күн бұрын
Naibu waziri mwana fa kaa Na konki master atakuwa anakupa ushauri mzuri sana jamaa anajua mambo mengi sana
@evancemichael5489
@evancemichael5489 Ай бұрын
Dudubaya ana upeo mkubwa Sana, tofauti na watu wanavyomchukulia.
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Ай бұрын
Sana kabisa
@Kobe_254
@Kobe_254 Ай бұрын
From WASHINGTON... Dudubaya interview zake ni za hekima na huwa anasema ukweli saaana sana!! Anachokisema kuhusu Mange ni ukweli mtupu, ata Kenya hajulikani au ng'ambo HAJULIKANI kamwe... Maisha ni mafupi ila kuna watu watang'aa wakiondoka ulimwenguni.. ndio talanta ya kuimba ilikua kidogo lakini ako na wisdom kubwa sana huyu jama!!! He's a GENIOUS
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Ай бұрын
Ilibid awe basata huyu!
@user-qh9cy9lu4h
@user-qh9cy9lu4h 2 ай бұрын
🎉dudu unaongea ukwel serikali ingekupereka wizara ya sanaa ukasemea wasanii ikuangalie serikali kwa jicho ra tatu kunawaliosoma ila hawana kitu ulichonacho konk
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman Ай бұрын
Dudu chafu imekubali kirahisi Sana kichwa inafanya kazi huyu kakosa sapoti anafaa kuwa mwanasiasa %95
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 Ай бұрын
Huyu ni mwanasiasa sijui anapoteza mda Kwa nini kwenye usanii.
@obviousmphande8621
@obviousmphande8621 3 күн бұрын
Huyu koki namuelewa sana ,ni watu wachache wa namnahii .Anaupeo mkubwa sana .maana ushahidi wa maneno yake pia anawo Gonga like tumuunge mkono.
@josephfelicianlugakingira832
@josephfelicianlugakingira832 2 ай бұрын
Dah Jamaa Nilikuwa Namuona Siyo Kumbe Makini Sanaaaa, Aisee Nimempenda Bure
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 27 күн бұрын
Nimemfuatilia sana Dudu Baya. Jamaa anajua mambo mengi sana anafaa kuwa mchambuzi wa kiasiasa na anafaa kuwa Kiongozi kabisa. Akipewa platform anaweza acha alama.
@humphreychristopher8577
@humphreychristopher8577 Ай бұрын
Kwa mara ya kwanza namuelewa DUDU BAYA NA NAMPIGIA SALUTE. Hii ni observation na uelewana mpana sana kwenye tasnia ya sanaa ya muziki.
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 13 күн бұрын
Dudubaya nimagufuli lakini hatujuwi tu.jamaa yupo vizuri sana .na tutamsifu akisha kufa kama ilivyo desturiyetu
@suzanarupia6484
@suzanarupia6484 20 күн бұрын
Kweli Dudu baya nakuunga mkono mbezi ya kamala kwa msumi heneo lote hakuna maji tuna nunua tu huu mwaka wa7 na wameweka mabomba njiani Yana Pata kutu.jaman jamani na codi tunatozwa.
@charlesmbori88
@charlesmbori88 Ай бұрын
Yaani napenda jinsi DUDU huwa na information,,, kajua hapa kwetu Kenya kuwa prezzo ametokea familia tajiri...We like u so much konki 🇰🇪
@BobErick-er6qm
@BobErick-er6qm Ай бұрын
From Nairobi Kenya God give u more strength dudu baya uko na elimu bora
@EliahKayombo
@EliahKayombo Ай бұрын
Wabongo flavor legend wakikuwa wanaspend sana life bila kuwekeza
@kennethmhaiki8957
@kennethmhaiki8957 Ай бұрын
Konki master ana akili sana huyu mtu, sikumdhani kabisa
@lazarolaurent8800
@lazarolaurent8800 Ай бұрын
Dudubaya mimi siwezi kuona interview yako na kuiskip lazima niitazame na kuiskikiliza kwa makini. Nimecheka sana eti wasanii wanafunika kwenye show lakini mfukoni wanafunikwa 😂😂😂😂😂
@aminkasim7731
@aminkasim7731 2 ай бұрын
Dudu baya Kila interview lzma ataje Mungu,,,big up brother
@henribwema2778
@henribwema2778 Ай бұрын
Kumbe Dudu baya una akili hivi! Nakupata ni kiwa DRCongo.
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 Ай бұрын
Kaka una madini sana unajua kupambanua ishu wachache sana Wana uwezo wa kufikiri kihivyo hasa hawa wasanii wetu.
@Dysmedia254
@Dysmedia254 3 ай бұрын
Huyu manzee anafaa apewe ulinzi sanaa na akifa ajengewe sanamu. Salut sana kaka konki konki konki master. Much love from Kenya 🇰🇪
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 4 күн бұрын
Nashindwa kumchukia konk master maanake nampenda buree
@Ibrahim.Katera.
@Ibrahim.Katera. 2 күн бұрын
Jamaa umetisha sana na pia kama ni kutangaza unaweza kaka na mimi naomba ufanye vipindi hivi hivi vya burudani.
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 27 күн бұрын
we mwandishi mwongo uko kwenye mapagare beach ya silver send wanakaa watu waliokwama kwa hiyo dudu baya konki master ajanunua ilo eneo acha kutudanganya
@godsson5954
@godsson5954 Ай бұрын
huyu dudubaya alipaswa aapewe ajira kitengo cha basata au wizara ya tamaduni sanaa na michezo tena position ya operation haki
@sawiabatenga3554
@sawiabatenga3554 8 күн бұрын
Sikujua kama Dudu baya anaakili kama hii. Hongera sana.
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 7 күн бұрын
Akili kubwa sana 👏👏👏👏
@wilbertnyambi1036
@wilbertnyambi1036 9 күн бұрын
Uko vzr broo nakukubali sna una madini
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Ай бұрын
Mimi ni mwanamuziki nimemuelewa sana konki leo
@kennethmhaiki8957
@kennethmhaiki8957 Ай бұрын
Dudu baya ana stori sana na huchoki kumsikiliza
@tyterbrainer1975
@tyterbrainer1975 23 күн бұрын
Uko vzr mdogo wangu Tumaini
@user-nf5vl4sb9d
@user-nf5vl4sb9d Ай бұрын
I respect dudu baya!!! Big up
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 2 ай бұрын
Huyu ndio mtetezi wa wasanii tz big up dd by
@SalesDodoma
@SalesDodoma 21 күн бұрын
Hichi ni kichwa sana anajielewa mno
@maxwellnjehu2425
@maxwellnjehu2425 Ай бұрын
Didn't know dudu is this wise and informative! Long live
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 2 ай бұрын
Sikuwahi kufatilia interview yako hata moja, najuaga ni dudu baya ila sijuagi kama una mapoint hivi. Big up
@user-ij3dx3xc2w
@user-ij3dx3xc2w Ай бұрын
Uyu dada BAYA ni mtu mwenye upeo wa kuelewa mambo na watu wa aina hii Huwa wanamisimamo.yao binafsi wakiamini kile wanacho kiamini bahati mbaya ya watu wa namna hii Huwa awapendi kujishusha au kujipendekeza mara nyingi ni watu wa kukataliwa pia maendeleo yao Huwa ya chini au kwa ugumu sana , maana Huwa hawapendi kuzurumiwa ,kuzarauliwa au kuwa vinamba wa watu wengine, mfano angalia watu kama wakina ,Mandela, Nyerere, magufuli, nawengine unao wajua wewe angalilia misimamo yao na maendeleo ya maisha yao binafsi, watu awa wapendi na wao awapendi kujipendekeza wapo lazi wawe masikini lakini asi aibishe utu au misimamo yake, ndio dudu BAYA alivyo ,zaidi yupo vizuri sana kwa mawazo na upeo wake , ndio Ile unakuta msomi mwenye uwelewa mkubwa au elimu sana , mara zote Huwa aliziki na mawazo ya wengine , uyu dudu BAYA serikali ingekuwa inaangalia aina za watu wa namna hii wangekuwa wanawapa majukumu flani flani ya usimamizi wa mambo yanayo itaji kufosi,
@AllyMwazoa
@AllyMwazoa Ай бұрын
Unakosea hapo kwenye kumponda babaake ambae hausiki na ugomvi wenu na huyo mange.Hivyo hana hatia
@12322879
@12322879 2 ай бұрын
Naombeni namba ya simu ya Mamba nimrushie hela ya maji meupe.
@MabelaShija
@MabelaShija 2 ай бұрын
Mbona ngosha leomkali sana.
@JonasNestory
@JonasNestory 6 күн бұрын
Big up bro........attractive stories,,
@samweljuma585
@samweljuma585 14 күн бұрын
wasanii wa zamani wana uelewa mpana sana sikiliza maishairi yao ndo utajuwa.
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Ай бұрын
Ila dudubaya unakaa sijui kwenye gofu. Inshort hata wewe hali yako ya uchumi na afya ni mbaya ila kutwa kuongelea wengine
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 27 күн бұрын
Msikilize vizuri analaani unyonyaji.
@TishaniUlanga-bj3nx
@TishaniUlanga-bj3nx Ай бұрын
Jamaa kama ana madin iviiiii au wenzangu mnaonajeee
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 27 күн бұрын
Tena madini yakutosha
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 21 күн бұрын
Ndio maana wakamuuwaa tuachie. Hapo 😂😂
@RichardChatta
@RichardChatta Ай бұрын
Daah inaumiza sana mm sio msanii lkn wanapigwa sana....!,kaka umenena ukweli mtupu...!
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 2 ай бұрын
Dudu bayanfor ever
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 19 күн бұрын
Nilichogundua ma interviewer wengi wa Tanzania hawana Extended knowledge about to investigate journalism matters, zaidi ya ushabiki wa mambo yasiyoumiza kichwa.
@rosemkude4804
@rosemkude4804 2 ай бұрын
Ila wanaume jamani.. Mmesikia story ya Mr. Nice.... MLA MLA LEO MLA JANA KALANI
@Johnhamad-bz7go
@Johnhamad-bz7go 2 ай бұрын
aisee dud umeongea vizuri sana mN
@tumainiamanyisye8334
@tumainiamanyisye8334 2 ай бұрын
😂😂😂😂dah dudu noma sana bro
@jackmajura6514
@jackmajura6514 Ай бұрын
Kaka mkubwa. mwamba kabisa🙌🙌kisima cha madini
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Ай бұрын
Dudu baya uko vizuri sana
@aloycesjoseph2652
@aloycesjoseph2652 2 ай бұрын
Dudu uko vizuri snaa
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Ай бұрын
Mzungu hawezi kumfuatilia Mange kwa sababu mange anawasema watanzania. Hawasemi wazumgu kwa hiyo hawana sababu ya kumsikiliza
@tigejuma9865
@tigejuma9865 2 ай бұрын
Kafunika na kafunikwa mfukoni ...dudu unaongea point xna😅😅
@richardchristopher589
@richardchristopher589 Ай бұрын
Dudu umetisha sana. Hala baby😂
@YohanaCharles-zx3py
@YohanaCharles-zx3py Ай бұрын
Hoongera sana mambo
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Dudu baya your hero
@bethmahela2182
@bethmahela2182 Ай бұрын
Nimekuelewa vizuri sana dudu baya
@ScolaMwamlima
@ScolaMwamlima 17 күн бұрын
Dudu nimtu mwenye upeo mkumbwa sana nimkweli daima
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Ай бұрын
Nakupenda sana mwanetu
@shabanimbega40
@shabanimbega40 27 күн бұрын
Konki master yupo vizuri sana
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 2 ай бұрын
Unaye m intevew dudu hujasomea amekufunika
@fadhilinanyanga2048
@fadhilinanyanga2048 Ай бұрын
Nimekupata konki master
@12322879
@12322879 2 ай бұрын
Mwamba sana aise
@Gamyalian
@Gamyalian 2 ай бұрын
Dudu baya anaongea ukwel hahaha
@beatusharald56
@beatusharald56 Ай бұрын
Rungwe hiyo kunduchi silver send
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 2 ай бұрын
Respect dudu baya 🇹🇿🙏
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 2 ай бұрын
Dudubaya mkongwe sumu unaongea vitu vya kweli kabisa wengine atujui.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 21 күн бұрын
Tanzania wagepatikana watu kama hawaa.ingefika mbali hongera konk mastar .unaongea.ukweli sio biyashara ya mahindi wala Korosho😂😂😂😂😂😂😂😂😂konk konk. Konk Master❤❤❤❤❤❤❤❤
@giftmusa6543
@giftmusa6543 2 ай бұрын
Hv mwandishi ulifanya research ukaona ukivaa hivyo ndio unatuvutia watazamaji?
@rashidkapile
@rashidkapile 2 ай бұрын
Huyu bingwa anafaa awe mwana siasa haswa agombee ubunge Yupo fiti Kama sugu
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Nimecheka eti wanakula wao. Umechomoa betlii konki konki konki
@user-hv6qw2zw2y
@user-hv6qw2zw2y 3 ай бұрын
DUDU WACHA WAKUCHUKIE TU . ILA UNASEMA KWEL SANA WASANII WA BONGO WANATESEKA SANA MADOGO VICHWA PANZI WENGI✊✊
@nurumasha
@nurumasha 7 күн бұрын
Dude baba akili kubwa sema wengi wanakuona mgomvi
@lowkeybongo
@lowkeybongo 2 ай бұрын
Mtangazaji na Dudubaya wameclick poa sana
@joelnamkwahe5928
@joelnamkwahe5928 Ай бұрын
Mwamba Konki nakubali sana
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 Ай бұрын
Kweli hatumfatiliagi mange uku ulaya😂😂😂😂😂😂😂
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Ай бұрын
Kusema ukweli kwa dudu baya nichanzo cha watu kumchukia
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 2 ай бұрын
Dudu Baya upo safi sana ila Angalia unavyomwattack Mage na hata statements zako kuhusu Mage yanajichanganya Leta story nyingine mengine tuachane nayo na tubaki katika maombi
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf Ай бұрын
Wewe dudu huwezi cheza na mchaqa wewe umechoka unamwita mwezio mbwa? Na wewe mbwa mwezio 😢😮😅😅
@LatiphaMwanga
@LatiphaMwanga Ай бұрын
Wewe masawe wewe🎉 rombo moja hiyo
@allykihenga9539
@allykihenga9539 15 күн бұрын
Nikweli kabisa Mimi nipo Germany 😂😂😂
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 2 ай бұрын
Kwamacheni alikua ananunu BIa zote watu wanywebule
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 Ай бұрын
Msema ukweli kashasema😊
@VictorFranael
@VictorFranael Ай бұрын
Ila Darassa nimekuja kuelewa ana akili sana kukataa shows.
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Ай бұрын
MAMBA UNATULIZA MACHOZI MSKINI WASANII WETU KUMBE HAWANA MENO KIASI HICHO
@danyflavourd5491
@danyflavourd5491 2 ай бұрын
Fact tupu
@elizabethbigilwa6822
@elizabethbigilwa6822 Ай бұрын
Ungepunguza maneno. Uko kànisani unajifunza kuishi vipi na watu?
@bahatiandre6222
@bahatiandre6222 16 күн бұрын
@athumankagoro4187
@athumankagoro4187 Ай бұрын
Mungu akulinde koknk
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE Ай бұрын
Dudu ana akili nyingi sana, interview zake siwezi kuziruka
@NicholasDitto
@NicholasDitto Ай бұрын
Interview zuri sana wewe mtu wa kuhoji
@Connection_onlineTV
@Connection_onlineTV Ай бұрын
Wewe ni familia
@francismillinga4591
@francismillinga4591 Ай бұрын
Dudubaya ana akili sana
@user-qc8fc2tc8h
@user-qc8fc2tc8h 18 күн бұрын
My brother Dudu baya, I love you for nothing for your facts research
@JeniphaEdward
@JeniphaEdward Ай бұрын
Nina chojua nikukupenda konki 🎉❤
@cuthberthango7330
@cuthberthango7330 14 күн бұрын
Nimekuelewa mwamba
@georgemashauri4657
@georgemashauri4657 Ай бұрын
Hakuna msanii ninae mkubali kama dudu baya na Afande sele
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 ай бұрын
Umefulia dudu una jambo
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 23 күн бұрын
Wewe Nikenge
@paschalkipeta2353
@paschalkipeta2353 28 күн бұрын
😂😂😂 eti kama huyu mbwa😂😂😂
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha Ай бұрын
There is something wrong with DuDu Meiby ANaumwa Ama Pombe Daah Wasanii wetu wakongwe hebu waangalieni jamani !!
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
Anaumwa
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha Ай бұрын
@@rosemilingi7860 appearance haiko sawa aseee umeona rose
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 29 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 21 МЛН
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Millard Ayo
Рет қаралды 779 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН