KUMEKUCHA: MBUNGE MUSUKUMA AMCHANA WAZIRI MWIGULU, MKUMBO “Msifanye BAJETI ya Copy na Paste,"

  Рет қаралды 85,901

EastAfricaTV

EastAfricaTV

11 күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 169
@nikanilekachaula4353
@nikanilekachaula4353 10 күн бұрын
Darasa la 7 anaakili kubwa kuliko PhD za darasani. Hongera sana Joseph Kasheku Msukuma
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 10 күн бұрын
pH. Msukuma nakupenda sana Mungu akujalie maisha marefu
@christinakomba689
@christinakomba689 4 күн бұрын
Musukuma ana akili sanaa
@victordanistan7470
@victordanistan7470 10 күн бұрын
Wasukuma nimeelewa kwanini mnakula sana... Kiwango kikubwa cha chakula ... Tunawabeza tuu lakini naona matokeo yake... Jamani eeh, Kula Sana kuna faida kuu mbili. 1. Akili 2. Ujasiri (Hamna Uoga)
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 10 күн бұрын
Hii nchi inahitaji akina Makonda 3 na msu 3 na Mimi Nchi haiwezi kuongonzwa Kiswahili ikafika . kuna Saa tunaomba Mungu awachuke hawa viongozi tubaki Sisi wananchi
@CalistiNicetas
@CalistiNicetas 10 күн бұрын
Buena Msukuma jambo unalo ongea ni lamaana lakini hao wabunge hawakupigii makofi
@robertphilip385
@robertphilip385 10 күн бұрын
Watampigiaje makofi wakati walipata ubunge Kwa mbeleko!!
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 10 күн бұрын
MWIGULU NI MLEMAVU WA AKILI JAMANI, HIVI BADO HAMJAELEWA!
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 10 күн бұрын
sio mlemavu Nimpigaji mno
@errydeo8865
@errydeo8865 10 күн бұрын
Saaaaaana! Ndo wasomi wetu hao!
@gabapentin8070
@gabapentin8070 10 күн бұрын
Mwizi kama sio ivo basi hiii wizara ni kubwa kuliko yeye hafai kuwa hapo
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 9 күн бұрын
😂😂😂we endelea kutafuta matatizo
@edgaredward3490
@edgaredward3490 9 күн бұрын
Jamaa uwezo Hana wakukaa kwenye wizara vyeti kamahiyoo
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 күн бұрын
Asante mbunge msikuma wewe kweli una uchungu na maisha ya watanzania
@thobiasgerefance549
@thobiasgerefance549 10 күн бұрын
Hivi kweli tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿tuna wabunge kama hawa musukuma mungu akulinde katka maisha yako
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 10 күн бұрын
Apo ndo utajua kuna Kiongoz na mwanasiasa,msukuma komaa nao mpk waelewe
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 10 күн бұрын
Sina Imani na elimu za hao ma professor
@kirkiADVOCATE
@kirkiADVOCATE 10 күн бұрын
The best member of the perliament msukuma and mpina
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 10 күн бұрын
Inchi ya legeza macho😮😮😮😮😮
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 10 күн бұрын
Asante sana wasukuma mpo vizuri sanaa simamieni na saruji
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 9 күн бұрын
Hongera sana Msukuma kwa hoja zenye mashiko....👋👋👋
@zainab8251
@zainab8251 10 күн бұрын
Hongera sana kaka msukuma kwa mchango wako
@collinspius5480
@collinspius5480 10 күн бұрын
@MSUKUMA aisee umeongea point sana madini tupu,hao Mafala hawaumizi kichwa kumbaf zao
@Ndushikayungilo722
@Ndushikayungilo722 3 күн бұрын
Umekuwa makin sana msukuma kuchangia hoja zenye kujenga uchumi wetu ila serikali yetu imeweka pamba masikioni
@fezymoni3779
@fezymoni3779 9 күн бұрын
Msukuma umeongea vzuri sana. Hii nchi wabunge wanaowaza kama ww unaweza jikuta ni ww tu . Sehemu kubwa ni ndiyo hakuna anayetoa mawazo tofauti ya yanayowatetea wananchi. Na hao walioko kwenye kitu imebaki vitisho na kujigamba kwamba wao ni daktari wa uchumi. Lakini huo udaktari hatuoni ushindani /competence kwenye utendaji wao. Zaidi ya kuanzisha mifumo ya kodi kandamizi. Kodi lazima istimulate uzakishaji siyo kuleta kodi ambazo zinaua uzalishaji.
@henryjulius1608
@henryjulius1608 9 күн бұрын
Dr king Msukuma umeongea vzr sana mkuu,mawazo chanya kabisaa
@fredyjoackimu-bk1tf
@fredyjoackimu-bk1tf 10 күн бұрын
Yes,huyu ni mtetezi wa kweli wa wananchi
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 9 күн бұрын
Nimemkubali Dr msukums kwa hoja muhimu
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 10 күн бұрын
Msukuma hongera Kwa kusema ukweli Baba Angu kipenzii ubarikiwe sana 🙏💯
@sylvestermpemba3055
@sylvestermpemba3055 10 күн бұрын
8:37
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 10 күн бұрын
Unaanza kujitongozesha
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 10 күн бұрын
Duu this man deserves PHd
@kwisa4899
@kwisa4899 10 күн бұрын
Hii nchi tayari imefail pia hizi pesa munakusanya wa Zanzibar wao kimya sisi tuna tesa watu wetu
@salehemlawa
@salehemlawa 10 күн бұрын
Mbunge Msukuma Upo Vzr Saana Chapa kazi
@daudkindy8062
@daudkindy8062 10 күн бұрын
Hongora msukuma
@hallowkij5677
@hallowkij5677 10 күн бұрын
msukuma unaakili sana
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 10 күн бұрын
Mbunge msukuma ni mbunge wa Tanzania mbunge wa wote
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 10 күн бұрын
Na mpina pia mtetezi wa mnyonge
@makungamapalala7982
@makungamapalala7982 7 күн бұрын
Msukuma nakupongeza sana umeongea pointi kubwa sana kuhusu suala la spirit na sukari,mwigulu na kitila watafute vyanzo cyo kuwabana wafanyabiashara
@StevenMasunga-r2i
@StevenMasunga-r2i 6 күн бұрын
Mungu atende miujiza uwe hata Raisi wa jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania....mana ni lasaba linalojielewa naunapoint big up Mungu akupe maisha marefu
@jeremiah90199
@jeremiah90199 10 күн бұрын
Mwigulu ni tatizo kubwa kwenye hii nchi , ikitokea mtu wa kutoa yan mwigulu hafai kabsa hata kua mbunge
@kennethmhaiki8957
@kennethmhaiki8957 10 күн бұрын
Msukuma anaongea vzr sana..
@shammhagama2527
@shammhagama2527 10 күн бұрын
Msukuma + Mpina nyie mnapambania nchi kisawasawa, vivaa wananzengo wazalendo
@user-sy9iv8yf9o
@user-sy9iv8yf9o 10 күн бұрын
Huyu jam nimtetezi wetu man anavyo viongea nivyakweli
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 10 күн бұрын
Mwisho wanaunga mkono hoja
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 10 күн бұрын
Mama naomba umpe msukuma uwaziri mana anastaili kweli kabisa
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 9 күн бұрын
Inchi ya hovyo sana hii yan ushuru unatoka 220,000 unaruka had 2200,000 mwiguru hamna kitu ye ilimrad familia yake inakura vzur anaamua kukomoa wananch😢
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 10 күн бұрын
Mungu amlinde zaidi nchi hii nakwambia tutakuwa km kennya
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 10 күн бұрын
Naona bora hili bunge mngefanya kimya kimya2 mana niupuuzi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 10 күн бұрын
Unfortunately he is alone😮
@theopisterchalle7059
@theopisterchalle7059 2 күн бұрын
Nakuelewa sana msukuma unaongea point
@StephenChama-nh2vr
@StephenChama-nh2vr 10 күн бұрын
Well done father msukuma
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 10 күн бұрын
Kwaakweli kunge kuwa na sheria ya kuvunja bunge ,,linavyo vunjwa balaza la mawaziri,,hili bunge ni lakituko kuliko mabunge yaliyo pita bunge linaongoza kwa kubebana mno,,mawaziri husika na tuhuma wanazo kutwa nazo wanaendelea kulindwa tu.
@Kalosishabani
@Kalosishabani 10 күн бұрын
Yani nime kuelewa Sana msukuma kila ulicho kisema ni point
@stevenmwasomola2417
@stevenmwasomola2417 9 күн бұрын
King Msukuma 🙏
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 10 күн бұрын
Musukuma Kwa kua huja soma ulaya hawakusikilizi tukaratasi. Twaula hao wachumi hawana hatakibanda Cha nyanya unaongea nao biashara wezi tu dawa ni kupigana vita heshima itakuwepo musukuma achana na mwigulu kwani aliludi kaliakoo tutaenda bulundi
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 10 күн бұрын
Tetesi wengine wana biashara kubwa. Ila tatizo la biashara kubwa za ukubwani, hûwa zinaendeshwa kikubwa. Siku ukubwa hakuna zinaweza kuporomoka. Tatizo la msingi la bajeti Zetu. Ni kama tu watu ukopi na kupeste. Miaka kumi ya Kikwete ilisemwa kilimo kwanza. Leo kuna nini kilichofanywa? Mabwa ya kumwagilia wapi, mashamba ya malisho, hifadhi za chakula wapi?. Ni wenda wazimu mfano kama kazi ya waziri itakuwa kuzindua viwanda vya wawwkezaji. Tz tuna tabia ya kupeana maneno matamu tu. Hata pale tunapotaka kununa makundi yeye ushawishi yanajipanga tukubali maneno matamu.
@richardc270
@richardc270 9 күн бұрын
KUHUSU gesi KAKA msukuma unaimba tu. Asilimia kubwa ya wabunge humo wanamiliki sheri na wana mikataba na mataifa ya nje kusuppply mafuta nchini. Kwa hiyo wakipunguza gharama ya kunstall mitungi ya gesi ktk magari au kodi basi watakuwa wanaua sheri zao na mafuta yatashuka bei. Hili suala linahitaji kiongozi huko juu mwenye maamuzi magumu sana. Kuna vigogo ktk nchi yetu wanafanya maisha ya watanzania kuwa magumu. Mafuta ndiyo kila kitu, gharama ya mafuta ikipanda lazima life kitaa liwe gumu na kinyume chake ni sawa
@laikikifikilo3311
@laikikifikilo3311 10 күн бұрын
Ver good mheshimiwa
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 10 күн бұрын
Umeongea vzr sana mheshimiwa👏🏾
@AzaelNdoliki
@AzaelNdoliki 5 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu 10:28
@Josephmalimi-yf3ds
@Josephmalimi-yf3ds 15 сағат бұрын
namkubali sana mh musukuma
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 10 күн бұрын
Mm toka nianze kuangalia bunge naonaga msukuma nimkweli sasa kwanini mama asikupe uwaziri nakuwapiga wazi chini
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 10 күн бұрын
Hongera sana msukuma umesema kweli mpaka mashundu kodi?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 10 күн бұрын
Ajabu kweli, tukikosa ubunifu tufanyeje. Wakati wa awamu ya pili mambo yalikuwa mambo, tukaanzisha kodi ya kichwa, ushuru wa baiskel. Nchi yetu kila raia anasema ina neema. Na kuna mataifa jirani ukisema unatuzodoa na tambo hizo. Nafikiri hapa kwetu serikali inashindwa kitu kimoja, inashindwa kupalilia shamba la kodi. Hata pale raia wakitokeza kushauri jinsi ya kupata kodi endelevu wao ubaki na elimu za vitabuni na kiburi cha madaraka. Leo mfano ningetaka kodi kubwa, ningekuwa na mkakati wa kuakikisha mfano zabibu hapo Dodoma haiozi wakati wa msimu. Hivyo bajeti hii ingekuwa wazi kwamba wazalishaji wa wine watawezeshwa hivi na vile ili wine ilete pesa za kigeni. Upo ushaidi kwamba inaweza kuvuka mipaka ya nchi yetu ikalata dola. Lakini unaona anaongeza Kodi kwenye spirit, hivyo wale wanao Fanya fortification gharama za uzalishaji zinakwenda juu. Hawa viongozi wanajua kwamba mataifa makubwa kuna viwanda vya pombe Kali vyenye Mauzo yanayozidi bajeti yetu kwa mwaka. Sasa unaposikia kuna mtanzania anazalisha kileo kile kile. Ila kwa uduni wetu bado anapack kwenye chupa ya plastic kwa nini uoni kwenye bajeti kwamba kuna fedha imetengwa kuwezesha hivi viwanda,ili bidhaa zao ziwe bora kama za mataifa makubwa. Zaidi tunakuja na sheria za kufifisha. Na sababu lukuki. Kwenye sababu hizo kuna adui wa uchumi wetu kajificha hapo. Nasi kwa sababu hatutaki kujishughulisha na kufikiri tunaishia kamata funga. Mwishowe tunajikuta hatuna chanzo cha kupata pesa ya kuendesha nchi. Kupandisha kodi ya spirit na tozo zake kutozingatia mapato ya viwanda ndani imebeba ajenda ya wakoloni wa dunia. Hivi viwanda wanajua baada ya miaka michache vitaleta ushindani kwa bidhaa zao kwenye masoko. Hivyo tunaviua kabla havijakua. Hata hilo la mashudu imelengwa mafuta, angalia kilichotokea kwenye zao kama kahawa, mapato ya mkulima yalishuka sana, mbali na nguvu ya wanunuaji kodi zilichukua kingi. Hivyo wakulima waligoma kulima. Bahati mbaya kizazi kilichojua kahawa kimeisha leo kizazi cha boda boda. Mapato kwenye alizet yakipungua wakulima wataacha kulima. Hivyo mwagizaji soko lake linalindwa vizuri na sisi wenyewe. Ni ukoloni mambo leo uko kazini. Kwa walioamua kuendelea hawalazi damu kwa kazi yoyote inaweza kuleta mapato. Hapa sio. Tunagangana vife tu. Ugetegemea kariokkoo bidhaa ziwe chini ili waje kununua, kule Dubai hûwa tunakusanyika kununua bidhaa nyingi zulizokusanywa toka mataifa mengine. Shangaa hapa tunasikia sasa hivi zinapita hapa alafu bidhaa tunafuata nchi jirani. Sababu mbali na viwango angalia tararibu za kulipa kodi. Zikoje?. Jiulize wanakosa mapato kiasi gani kila mwezi mitaadao iko chini. Hili la mtandao hatujatatua sasa kodi kwenye mashudu. Uzalishaji wa mifugo nao utapanda. Tujikite kuboresha shughuli za watu ili ziwe na tija. Ili kodi ziongezeke.
@komboarts7110
@komboarts7110 22 сағат бұрын
I wish siku Moja nikutane na wewe Mh msukuma kwa kweli! Napenda uwezo wako ni mfano wa kuigwa
@Nedjadist
@Nedjadist 10 күн бұрын
Siku zote kilio ni mwigulu Huyu mtu hatoshi nafasi hii. Bora kuje katiba mpya isiwe rais achagua mawaziri kwa matokeo ya ndoto, lazima bunge lipitishe uteuzi.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 9 күн бұрын
Mwigulu ndiye mwenye uwezo mkubwa wa kupiga na mgawaji wa vinavyo pigwa,Watanzania tutapigwa labla Mungu atuonee huruma,nchi imekwisha hii.
@moorlandsafaris9484
@moorlandsafaris9484 10 күн бұрын
Mchango Mzuri Sanaa
@user-ns7xn9or9o
@user-ns7xn9or9o 9 күн бұрын
Namuelewa sana msukuka,yupo vizuri,huyu msukuma naomba muwe mnamuelewa usharudi wake ni WA maana kabisa.
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 10 күн бұрын
Musheshimiwa musukuma tunaomba utusemeee mkuu maana tushaaaaaaaaaaaachoka sasa juzi tulikua na kikao pale anatorgol akaja mkuu wa wilaya hakuna alilongea.Mungu akubariki tusemeeeeeeee usikchokeeee mkuuuu wafanya biashara tunanyanyasikia lakin wakiendelea na kamata kamata yao tutawapelekea mashine zao wakapige picha nazo maofisini mwao
@user-qw9jc2cz9o
@user-qw9jc2cz9o 10 күн бұрын
Huyu ndo msomi wa kweli Lkn maprofesa wa vyetu Hakuna kitu hapo
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 10 күн бұрын
Mm binafsi nakupigia makofi. Hao wabunge hawapigi inamana tumewachaguwa wakaunge wezi mikono jamani
@kimchi-91
@kimchi-91 10 күн бұрын
Huyo mwigulu ni chenga , bora hiyo wizara ya fedha wangetafuta mbunge ambae ataweza kuimudu ila mwigulu anaiingiza chaka serikali ionekane kama Bi mkubwa miyeyusho kumbe watendaji wake ndo wanamuangusha haswa huyo mwigulu mm huwa simuelewi hata kidogo.
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 10 күн бұрын
Yaani ww ukiongeza huwaga nakua makin kusikiliza
@user-pi3xc9ct4t
@user-pi3xc9ct4t 10 күн бұрын
Huyu mwamba ndo mbungeee
@edgaredward3490
@edgaredward3490 9 күн бұрын
Mungu bora angeifutika dunia kama gazeti aanze upya tuone hizopesa wanazoiba zitafanya nn😂😂😂😂
@user-ho8gz6yn9v
@user-ho8gz6yn9v 10 күн бұрын
Hata hawasikiii jamani msukuma ww na mpina mnaangaikatu,duu poleni ona mwenzio kawekewa kitmoto na makamati.
@YusuphOmary-br6ev
@YusuphOmary-br6ev 10 күн бұрын
Safi msukuma wakumbushe watumie akili zao na usomi wabuni vitu vya mspato
@user-zf2qf3nw6f
@user-zf2qf3nw6f 7 күн бұрын
Msukuma Mungu akulinde
@nurdinismail8961
@nurdinismail8961 10 күн бұрын
Kwenye gesi hapo upo vzur ,vituo hakuna kabsa
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 9 күн бұрын
Mwiguru mi nlionaga tu akiri hana kipindi kile alikua anang'ang'ania kua lazima kila tangazo la ajira inayohusu jesh la police au uhamiaj au magereza lazima eti awe amepitia jkt nikaona huyu jamaa hamna akiri kabisa
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 10 күн бұрын
Wenzetu wanakula sangala ndo maana wanaakili sana wanania nzuri yakutukomboa wanyonge Sasa hutaitwa kuhojiwa!!
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 күн бұрын
Huyu Mwamba angekuwa na Elimu ya Juu...angekuwa Noma zaidi asee Big up sana..💪 Alafu hivi huwa inakuwaje anapata nafasi ya kuchangia Kila Mara..?😂 Maana taratibu za Kuongea Mjengoni haiwezekani mtu achangie Hoja kila Time.. but big up sana kwake...huyu jamaa anapaswa Awe Mbunge hadi azeeke kama MUGABE. Mwenyekiti wa Bunge uko vizuri sana mno Baada ya TULIA wewe ufate kuwa Spika
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 7 күн бұрын
Kwani ELIMU ni Nini ? Akili kwanza , Wenye ELIMU sio hawapo , Wapo ila Akili hawana au ni pungufu au ni majambazi
@IsayaMteka
@IsayaMteka 8 күн бұрын
Duu Msukuma ni zaidi ya mbunge
@maulidkamundi6095
@maulidkamundi6095 10 күн бұрын
Zaidi ya PHD
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 9 күн бұрын
Hahahaha Msukuma mjanja sana, ametumia kanuni ya kutengua kanuni kwa muda na alipomaliza akailejesha Safi sana
@elicktilia4430
@elicktilia4430 9 күн бұрын
Viwango vya juu sanaa msukuma
@amonijames5183
@amonijames5183 10 күн бұрын
huyu jamaa anajitambua
@leonardmagaba2711
@leonardmagaba2711 9 күн бұрын
Msukuma nimekuelewa sana, Tatizo serikali yetu imejenga misingi yake kwenye nyeupe useme ni nyekundu na kwenye nyekundu useme ni nyeupe.
@nassoropigauwa2503
@nassoropigauwa2503 9 күн бұрын
Ii nchi wabunge ni mpina no1 msukuma no2 bado naendelea kutafta top 5
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 9 күн бұрын
Hivi Samia ana washauri wanaojua ushauri hadi anaendelea na hili bomu au tuseme gamba Mwigulu? Kunani kati ya wawili hawa au wanatumiana? Wapo pia akina Bashe, Makamba, Ridhiwan Kikwete na mabomu mengine. Mama fungua macho na masikio uchaguzi waja unahujumiwa na utalipia so soon.
@IsmailLoi
@IsmailLoi 3 күн бұрын
Wizara ya fedha kuna shida sijui kuna pepo ila iko siku Mungu wa Mbinguni atashusha moto kila anaeibaia mtu mnyonge na mnakufa hamshibi miaka akina Lowasa wana magunia ya fedha wako wapi akina mramba wako wapi mnaziacha hapahapa
@kennethmhaiki8957
@kennethmhaiki8957 10 күн бұрын
Msukuma sio mnafiki
@AndrewMtweve-pm7gl
@AndrewMtweve-pm7gl 10 күн бұрын
Ningekuwa na mamlaka huyu jamaa msukuma ningempa awe raisi Tanzania
@kizitoleons6291
@kizitoleons6291 10 күн бұрын
Huyu ndio doctor halisi sasa sio hawa madokta feki
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 7 күн бұрын
Musukuma oyeeee, DP World oyeee! Sukari? Achaneni na sukari, inaua
@user-bq5yi6mk5r
@user-bq5yi6mk5r 10 күн бұрын
huyu waziri anapaswa kutumia akili kutafuta vyanzo vipya vya mapato na sio kulimbikizia wafanya biashara msururu wa makodi makodi huyu mwanauchumi gani huyu ndie waziri anaeongoza kuua biashara za watu hafai na atoke ofisini
@mwebrania8502
@mwebrania8502 3 күн бұрын
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 13 сағат бұрын
Mh rais samia mwenzio mag aliwatoa wrwe unawaleta wezi
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 10 күн бұрын
hapo Msukuma umesema ukweli
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 9 күн бұрын
Hii nchi imelaaniwa!!, maana maovu yamezidi,msukuma usiongee sana kutetea wanyonge utapelekwa kamati ya maadili acha wanyonge wahangaike MUNGU anajuwa yote yanayotendeka atawasaidia
@laikikifikilo3311
@laikikifikilo3311 10 күн бұрын
Popote utakapo gombea unapita no kupigwa mkuu mungu akulinde sana na movu shetani
@TanosNkwande
@TanosNkwande 9 күн бұрын
Genius guy
@furahabukuku2108
@furahabukuku2108 9 күн бұрын
hofu ya Mungu ikitoweka Pepo la rushwa hutawala viongozi na kiburi hufikia speed 220hata kwenye Mona na sisi watazamaji tunasubiria ajali tuone.....maana wanajiona wanajitosheleza hawasikii udhalimu kibao.....Hadi nahisi Tanzania inawaathilika wa elimu maana baada ya kutusaidia ni ubabe na vitisho tuu....mala tutakufungia...mara tutakuonyesha da!😭😭😭Tanzania nchi yangu....yaani da!
@machujamathias7165
@machujamathias7165 10 күн бұрын
Ni Zaidiiii hata wale wenye degree
@maxlesijila6598
@maxlesijila6598 6 күн бұрын
Msukuma ni Mtetezi wa WANYONGE Lakini hasikilizwiii
@maikopatson4833
@maikopatson4833 9 күн бұрын
Tatizo sio MSUKUMA anayo changia kuwa mazuri. Tatizo yote anayochangia ni kama makelele tu.. Hakuna consideration, waziri kashamaliza yake. Hashauriki tena
@vianmarcel818
@vianmarcel818 10 күн бұрын
Mpina alishaweka wazi hili jambo
@smilemediatz
@smilemediatz 9 күн бұрын
Mwiguru hafai kabisa kuwa kiongozi yeye anachowaza ni kuumiza wananchi bila kuongeza vyanzo
@IsmailLoi
@IsmailLoi 3 күн бұрын
Phd ya kuwaibia watu wa Mungu ila una mawakili una fedha una mahakama una kila namna ya ulinzi ila kwa MUNGU WETU yeye ni wa haki atasikia maombi ya wenye haki
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 10 күн бұрын
Wote kamata ndani Raisi aache kurembua macho 😂😂😂😂haha 😂😂
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s 3 күн бұрын
Msukuma tunakukubarisana mungu akurinde
@victorvenance1009
@victorvenance1009 6 күн бұрын
Nice
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 күн бұрын
Mkofi ya nini ukweli utabaki kuwa ukweli na watanzania tunamsikia sana na mpina hao ni ni viongozi wsnaotakiwa 2025
@EmanuelIsack-gb5jy
@EmanuelIsack-gb5jy 10 күн бұрын
Wasukuma ww wabahili hatar
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 51 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 85 МЛН
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 12 МЛН