#KUMEKUCHA

  Рет қаралды 11,209

BOMBA FM DIGITAL

BOMBA FM DIGITAL

2 жыл бұрын

#subscribe #bombafmdigital #bombafm

Пікірлер: 64
@queenshilelema6672
@queenshilelema6672 2 жыл бұрын
Mungu awakumbuke ktk kufifiisha Imani za kondoo wa Mungu
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Kanisa la wapi hilo? Kanisa linaongozwa na wanyenyekevu na watakatifu wa Mungu! Wataka bifu hatuwataki kabisaaaaa!
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 жыл бұрын
Jamani watumishi mbona mnaenda kwa akili zenu?eee Mungu naomba uingilie Kati jambo hili kanisa lako linazidi kujichafua jamani ni aibu
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Hahaaaa vijana ,Mmelishwa matangopoli
@tunsumejohntunsumejohn2210
@tunsumejohntunsumejohn2210 2 жыл бұрын
Huyu nae nimchungaj 🤣🤣hawa vijana wa ovyo sana tamaa mbaya hiv wale wachaw wakanisa walishaisha maana zaman watu kama hawa kanisan wanatolewa kimya
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 жыл бұрын
Kwa Mungu mbali Sana...
@annamasoko1893
@annamasoko1893 2 жыл бұрын
Jaman mungu atusaidie
@esternaftari8286
@esternaftari8286 2 жыл бұрын
Mengine huwa ni mashambuliz wengi huwa hatuelew swala ni kufunga na kuomba achen Mungu mwenyew atoe majibu ya maswali yenu
@annamasoko1893
@annamasoko1893 2 жыл бұрын
Hiyo Ni kazi ya mungu kwanini mnagombana shamban mwa bwana
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
Ila kweli mmejisahaulisha jamani poleni sana
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Eti kujiweka sawa!! Sii mmesha jitoa kkkt meamiaa KANISA lingine.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Ila mmetuabisha wakristo wote acheni majengo ya kkkt serikali ipo sawa itaamua hatakama kanisa ulijenga hati inasoma nini jina nani nani mmiliki mbona nikama wachungaji wamewaachia washilika hawawaelimishi kkkt ni taasisi kubwa najua mali zote viwanja makanisa hata yanapojengwa kuna vibali vilitolewa kwa jina gani ni ngumu sana mali ya taasisi kupotea ilikua vema wao watoke wakajenge kanisa waenderee na huo mwamvuli
@iblahimumwakajegela1460
@iblahimumwakajegela1460 2 жыл бұрын
Ww unapata wapi ujasiri huo
@yusuphsanga3543
@yusuphsanga3543 2 жыл бұрын
Katiba ndo kila kitu na c vinginevyo
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Kimewapata kitu
@janethmagemakwakeliinauma3581
@janethmagemakwakeliinauma3581 2 жыл бұрын
Ilawewe uliovaa miwani yani kopokweri kopo
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 2 жыл бұрын
Kuna uwezekano mkubwa washilika wa kawaida kabisa wakaiona mbingu lakini sio viongozi wa dini huu ni mtizamo wangu maana viongozi wa dini baadhi yao wapo kwa kwa ajili ya mali tu washilika wamechanga fedha wamejenga jengo la kukutania kufanya ibada siku mkipishana mtazamo unata jengo fyuuuuuuu roho za hao watu hunahabali nazo
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Biashara hii makafiri mtaisoma namba 😜🤣😜😂😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂
@ernestlaiza1176
@ernestlaiza1176 2 жыл бұрын
Matako
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Alafu nnyie washikaji wote na wafahamuu waimbaji wa mewakifuna acheni ujinga melishwa nini? Kwenye diivai mbona hamjielewi!!!
@maandaliobandmbeyatz2345
@maandaliobandmbeyatz2345 2 жыл бұрын
Kwanini tusijaribu kumuogopa Mungu kwanini hekima ya Mungu istumike kelele hizi ni upagani mkubwa ni uchafu mkubwa MBELE za Mungu na ht MBELE za WANADAMU kwann kila MTU astulie sehem yake na kuendelea na iman ya kile anachokiamin NDUGU ZANGU HII DHAMBI NI ZAID YA DHAMBI
@davidosward1419
@davidosward1419 2 жыл бұрын
Mwakihaba anafanyaje mapinduzi kanisani huyo ndo mbaya nasikia alikuwa makamu wa askofu mwaikali anayepingwa sasa vita bas anawezaje kuwa askofu kama mwenzie kakosea basi hata yeye hafai alishindwa kumshauli vizuri mkubwa wake watu kama hawa hawafai katika nchi ndo huvuluga amani mim nipo dar na dayosisi yangu huku ila kiukwer mbeya watoto wa mwaikali pambaneni kutetea haki lindeni kanisa la MUNGU hao ni wana maslahi mwaikali inaonekana anawahalibia mambo yao ila nawambieni MUNGU yupo mbegu anayoipanda mwakihaba atakuja kuvuna pamoja na wachungaji walio hasi watakuja kuvuna nawambia
@shambogokitundu754
@shambogokitundu754 2 жыл бұрын
wote hapo hamna kitu,,,,,vichwa maji
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmmh kesi ya msingi kanisani KWELI YESU YUPO MLANGONI JURUDU OLE WANGU MM
@agnesshonga7570
@agnesshonga7570 2 жыл бұрын
Hela hizi zitatufikisha pabaya.....kuna siri inayoendelea hapo sisi tunalishwa matangopori wafunguke tuuh.mnatudharirisha na tabia zenu mbaya
@anwaritesal4695
@anwaritesal4695 2 жыл бұрын
Wakatoriki huwa hatuna Mambo hayo ya ajabu,
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Sema mambo ya ovyo Sana msikubali viongozi wengine waovyo Sana wako makanisani Ila macho yao kwenye pesa
@janethchriss6039
@janethchriss6039 2 жыл бұрын
Mwakihaba anakosea xanaaa basi kila mchungaji abaki kwny usharika wake
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Wachungaj wa upande wa Mwaikali n mapepo nyie
@micgaapary7216
@micgaapary7216 2 жыл бұрын
Jela inawahusu miaka 2 inawatosha
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
Jela ni ya kila mtu hata mtume Paulo aliwekwa jela na makafiri
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 2 жыл бұрын
Mnatuaibisha kabisa na kudhalilisha KKKT, Mungu atashughulika na nyinyi, tuache kuganga njaa zetu kwa mgongo wa kanisa, kanisa lina muongozo wake, kaanzisheni kanisa lenu muweke sheria zenu
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Kabisa wakaanzishe kanisa lao hilo wamelikuta wapumbavu hawa
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
KKK t wajiabishe mara ngapi ,walikwisha jiabisha zamani tangu walipotoka kwenye MSIngi wa Martin Luther , hakuamini Mafundisho ya katoriki haya ati maaskofu ,mapadre Luther alikataza huo upuuzi Leo Hawa wametoa wapi ? Wala Luther hakuwa Askofu wa kwanza alikuwa Mtumishi wa Mungu tu Bali waluther wa Leo wanaongopa kuwa Luther alikuwa Askofu wa kwanza na kama sivyo huo mfumo wa uongo niwa katoriki ulifikaje Luther Ani ? Yezebeli alileta miungu mingine nje ya Mungu wa ISRAEL katoriki ni mke Yezebeli aliyeanzisha Mafundisho ya kuwapeleka maaskofu na mapadre chuo na kumwacha Roho mt .mwenye aelewe Ukweli madhehebu ni milango ya kuzimu
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Kumbe walijenga wazaz wenu sasa ww inapiga kelele nn Mwaikali kaligawa kanisa yaan MUNGU huyu atutetee kanisa n moja tu KKKT wala hakuna kanisa kkam,kkam n kanisa la wap?
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
Tuachieni majengo na Mali za K.K.K.T anzisheni kanisa lenu shida Iko wapiii
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
Tuwaachie majengo hayo majengo mulijenga ninyi ss tulitoa fedha zetu tukajenga na ss ni wa KKKT daima na hatutoki hapa.
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
kwani nani kawafukuza.?
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Anacho kiongea atahamueleweki
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Niwapumbavusana nyie. Tena niwasengesana. Mnatamaa yavipesa. Hamunamungu.
@oliverkyara8232
@oliverkyara8232 2 жыл бұрын
We kaka Kwa manufaaa yako na familia yako weka maji mdomoni unatumika vibaya unasema hutambui uongozi kirahisi rahisi tu. Kuwa makini utajiingiza pabaya
@johnrichard3177
@johnrichard3177 2 жыл бұрын
Mwanzilishi wa Kkkt aliasi Ukatoliki hiyo dhambi ya Uasi bado inawatafuna kila kona kelele, ngumi, mpaka polisi wanaingilia kusuluhisha migogoro mnatia aibu. Kazi ya kanisa ni kuwaelekeza waumini kutafuta "utakatifu na sio utakafujo"
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
Ukatoriki na ukkkt ni kitu kimoja tu , aliyeasi ni Mmoja tu Martin Luther na wengine wote Hawa ,nikatoriki maana baada ya kufa Kwa martin Luther walirudi kwenye mafundi sho ya katoriki , katoriki ndiye mama wa Manabii wa uongo kama Yezebeli Kwa Eliya , katoriki waliacha Kweli zamana sana na hamwabudu Mungu wanamwabudu Mungu bahari Vatikani .utatu ni fundisho la kuzimu kutoka Kwa Mungu Bahari Vatikani ni mizimu ya vatikani
@florangido202
@florangido202 2 жыл бұрын
Kuhasi Imekujaje hapo, Kiongozi gani aliahasi, Kama ni Martin Luther King Alikimbilia Ujerumani Baada ya kumpinga papa KUHACHA KUSOMA bible KUSOMA misale ya wahumini na pia alikimbia SHERIA ya Kutokuoa Mapadri na Masister iutokuolewa Waka Mapadri na Masister WANAZINI!! EBOO.... KIONGOZI WETU ALIASI ZINAA NA TARATIBU ZA KUZUUA NGONO!! UJUHI KAMA MAPADRI WANA WATOTO!! Chefuuuu kajambe MBELE huko, pumbafuuuuu.....
@vickymgonja3007
@vickymgonja3007 2 жыл бұрын
Shetani hana mwili iliatende kazi zake lazima atafute mwili mchafu angie atimize uchafu wake
@angelnyinge4139
@angelnyinge4139 2 жыл бұрын
MTASHUHUDIA SASA LITAKAPOFUNGWA NA MINYORORO, YAANI ONGEA YAKO TU MNAONEKANA MMESHINDWA.
@bumimsojo5359
@bumimsojo5359 2 жыл бұрын
Ndiyo tumefunga sasa.huduma gani unafanya wewe. Mwili wako wenyewe unashuhudia uovu
@NeelyIsmaili-zc3ib
@NeelyIsmaili-zc3ib Жыл бұрын
Utakaa nanani wewe sisi ni kkkt siyo nyie waas
@lusajoalison7617
@lusajoalison7617 2 жыл бұрын
Wewe ninani unaujua ulutheli wewe
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Kkam n mashetan nyie hebu liachen KKKT libak km lilivyoanzishwa&Martin Luther hivyo anzishen lenu kwa jina lenu MUNGU aturehem
@cdptraveler6066
@cdptraveler6066 2 жыл бұрын
Makanisa aya jaman
@ezzetz
@ezzetz 2 жыл бұрын
Inabidi tuchague sehem sahihi
@tusajigweashery351
@tusajigweashery351 2 жыл бұрын
Du ulikuwepo kumchagua au unaongea ty kama kasuku ulikuwepo kuiandaa hiyo katiba umefeli saaa
@tusajigweashery351
@tusajigweashery351 2 жыл бұрын
Huyu maiko utadhani mchungaji kiherehere kama chooote
@ezzetz
@ezzetz 2 жыл бұрын
@Pierre Petros mm Tena jaman
@ezzetz
@ezzetz 2 жыл бұрын
@@tusajigweashery351 😂😂😂😂😂😂
@shadrackmwakalinga865
@shadrackmwakalinga865 2 жыл бұрын
Kuweni makini, shetani yupo kazini. Hivi mlisha ona wapi matambiko yanahamishwa? Mahenge; Hivi ikulu ya Pakhipande imehama hata baada ya kufa? Nafikiri Kunahaja ya kujifunza toka Roma, hawaja wahi kutaka kuhama ila huongeza huduma za kiroho
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Eti kujiweka sawa!! Sii mmesha jitoa kkkt meamiaa KANISA lingine.
Nigeria's struggle to break the 'oil curse' | FT Film
30:34
Financial Times
Рет қаралды 138 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 47 М.
KURA ZA WAZI ZAWAGAWA WAFAMYA BIASHARA SOKO LA SIDO
12:59
BOMBA FM DIGITAL
Рет қаралды 210