KUMENOGA: MUONEKANO MPYA, BARABARA YA DAR - KIBAHA "MOROGORO ROAD"

  Рет қаралды 68,484

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

KUMENOGA: MUONEKANO MPYA, BARABARA YA DAR - KIBAHA "MOROGORO ROAD"
Huu ndio kuonekano mpya wa barabara ya Kimara - Kibaha yenye urefu wa Km 19.2 ambayo kwa sasa upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake. Ujenzi wa Barabara hii ya njia nane umegharimu zaidi bilioni 141 ambapo ni pamoja na ujenzi wa Madaraja na makaravati makubwa na madogo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 253
@wazarendotv7966
@wazarendotv7966 3 жыл бұрын
Jamani tunayempenda magafuri tujuane bhasi hata kwa like hapa
@michaelmkwelele1422
@michaelmkwelele1422 3 жыл бұрын
Asante hayati mpendwa wetu umetutoa kimasomaso mambo haya mazuri tulikuwa tunayaona kwa wenzetu tu sio hapa kwetu,naipenda sana nchi yetu Tanzania
@robertdioniz3364
@robertdioniz3364 3 жыл бұрын
Waliokuja kuona comment za Baba kipenzi hayati Joseph John Pombe Magufuli tujuane please. Jpm forever in our heart . R.I.P Baba 😪
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Hii barabara ilikua ijengwe kwa ufadhili wa Bank ya dunia kwa njia 2 tu, Ila waligoma kutoa pesa baada ya kuleta masharti ya kipumbavu, Magufuli akawaambia kwa taarifa yenu pia tunajiweza sana tu na nitaijenga kwa njia 4 na itakua ndefu zaidi ya awali bila cent yenu RIP JPM 🙏❤️🙏
@michdevis
@michdevis 3 жыл бұрын
Jpm anakwambia kwa masharti ya ajabu ajabu rip kwa maamuz yenye tija
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Huyu mwamba aliniuma sana alipokufa basi tu.
@godfreycharlessrarariae3619
@godfreycharlessrarariae3619 2 жыл бұрын
Tumempoteza Mwamba Was TANZANIA-MUNGU ATUSAIDIE TU
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
@@J4UPro ataendelea kutuuma wengi,tutamkumbuka daima
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Yaani mtu wa muhim kwenye taifa letu ametuacha ila Mungu ni mwema sana jina lake libarikiwe
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Namkumbuka sana mkuu wa kila kitu hapa Tanzania. JPM. Huyu alikuwa mzalendo namba mmoja hapa Tanzania na Africa. Nitamkumbuka daima.
@happinessm1919
@happinessm1919 3 жыл бұрын
Nikiona hivi ninasikia uchungu usiopungua. Eh Mungu tusaidie tusije kukufulu. JPM 💔 alale salama
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 3 жыл бұрын
BIG UP MAGUFULI AND REST IN PIECE WHEREEVER YOU ARE,
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Sifa kwake Mh. Late Magufuri kwa kuitoa Tanzania kimaso maso na hii miundo Mbinu, Wengine walikaa tu mradi wao ni Maraisi Lakini Sio viongozi
@mwitamkami6598
@mwitamkami6598 3 жыл бұрын
Si uandike kwa kiswahili tu. Sasa rest in piece ndo nn??
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 2 жыл бұрын
@@mwitamkami6598 🤔😅
@yusuphzungu9250
@yusuphzungu9250 3 жыл бұрын
Ule msemo mtanikumbuka kwamazur nasio kwa mabaya hapa ndo unafanya kazi yake R.i.p Jpm.
@rehemamlowe5104
@rehemamlowe5104 3 жыл бұрын
Magufuri angeishi ndani ya miaka kumi ndani ya uraisi Tanzania mambo yangekuwa juu,tumempoteza,na mfugare katutoka ,uchungu moyoni,
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Acha kabisa Mfugale na JPM jamani walikuwa bulldozers sijui kama tuna mtu mwenye maono kama haya kwenye taifa letu.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
@@juliethhouseofdesigns147 Ni HAKUNA, TULIISHA UMIA TU.😭😭😭
@erickagwe8841
@erickagwe8841 3 жыл бұрын
Anko Magu alikuwa mtu na nusu!! Sio hawa wanaotoa makinikia na tanzanite nje!! Kazi za anko Magu ukija hata kesho utazikuta
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 жыл бұрын
JEMBE John Joseph Magufuli alikuwa kazini Jamani. Niliubariki udikiteta wake. Huo ulikuwa udikiteta wa ukombozi wa nchi hii Tanzania. MUNGU kwa nini uliruhusu hili litokee.🙆🙆🙆💔💔💔😭😭😭
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Yah Kama JPM Alikuwa dikteta Basi Udikteta wake Ulikuwa WA Ukombozi WA Taifa letu la Tanzania Kaka nimekubali BRO Tupo pamoja Ekseii
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 жыл бұрын
Kweli udikteta wake ulitufaa Sana !
@afrohomeofsuccess2359
@afrohomeofsuccess2359 3 жыл бұрын
U dictator unalipa....Mungu leta dictator mwingine tuyaone mabadliko ya kweli
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
Ndo tumuombee MUNGU mrithi wake azidi kumpa afya naaweze kuendeleza miradi maana huu ni mtaji toka kwa nyerere mpaka kufikia kwake azidi kuimarisha miundombinu tumuombe MUNGU atuondoshee haya maradhindhi na atupe amani dunia
@dannynsajigwa4661
@dannynsajigwa4661 3 жыл бұрын
Itachukuwa miaka mingi kumpata tena kiongoz kama John Joseph pombe magufuli
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 жыл бұрын
Jpm ndio alikua mzalendo wa ukweli katika inchi hii nasio hao viongoz vinyonga
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Waliokuwa Wanamchukia magu KAZI mnayo Hizo Alama alizoziacha mtakufa mtaziacha Alama zitakuwepo pale pale
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
😁 very true
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Kawaachia watumie
@Official83640
@Official83640 3 жыл бұрын
Jamani mie nikirudi Tz si nitapotea mie dah kweli miaka 5 ya Magu kazi imefanyika hasa niliacha daraja la juu Tazara tu ndy linajengwa sasa hivi Bongo km Ulaya siamini ninachokiona Allah anirudishe salama nyumbani Inshaallah
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
Alafu utasikiya mbwa moja tu anaonge ujinga juu ya MTUME WA MUNGU JPM
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 3 жыл бұрын
Usituleteevkufuru hapa, utume wa mungu wako peke yako Yesu
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
@@raffeiystar2870 Unateseka uki wapi ndugu mwenye chuki
@sadih5333
@sadih5333 3 жыл бұрын
Mtume wawapi? alikua shezi kama washenzi wengine tu, hizo ni kodi zetu , na pia kaweka deni kubwa kwa kujenga ujinga wake kule kwao na kutusababishia sisi ugumu wa mambo, tunaanza na tozo za simu hatujui tutaishia wapi.
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Ni kweli mtupu, Magufuli alikuwa Mtume wa Mungu
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
@@temuemanuel4671 Asante sana
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Hiyo barabara iliombewa pewa kwa wafadhili wakatia ngumu mwamba akasema subilini niwaonyeshe kitu hicho apo
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 3 жыл бұрын
Icon of JPM
@ooafrica3626
@ooafrica3626 3 жыл бұрын
Daah nakumbuka upanuzi wa hii barabara nlipokua nchini 2019 daah magufuli alikua mwamba
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Ktk mambo makubwa aliyofanya jpm ni kupanua hii bara bara sis wa mikoani ulikua unatoka kanda ya ziwa unafika chalinze saa 1 usku lakin kuiona dar ni saa 11 alfajjiri siku hizi ni saa 4 upo mbezi.. mzee alifanya makubwa sna kwa mda mchache
@ooafrica3626
@ooafrica3626 3 жыл бұрын
@@mursallusinde9189 ni kweli
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
@@mursallusinde9189 siyabonga Brother
@mlagalamlungu4934
@mlagalamlungu4934 3 жыл бұрын
Alale salama mwamba
@myvideos4456
@myvideos4456 3 жыл бұрын
Yani ikitokea tupige kura Kati y kaburi la magu na wagombea wengine hayati stapata kura nyingi
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Hapo Umeongea Ndugu Yangu
@barnaba3037
@barnaba3037 3 жыл бұрын
Mungu mpokee Magufuli
@johnlubagula9723
@johnlubagula9723 3 жыл бұрын
Mtangazaji sema kazi alizo acha jembe magufuli maana huyo ndio alikuwa mzalendo wa kweli
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
JPM oyeeeeee ,Rip rais wangu
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 жыл бұрын
Hii barabara ni nzuri sana. Ni Icon ya taifa. Viongozi wa siku hizi wako busy eti kujenga uhusiano wa kimataifa. Balozi wangu LIBERATA MULAMULA anahangaika na wazungu. Kuna watu walitoka Marekani mbwembwe nyingi. Wakatuambia watajenga kituo cha umeme. Mara Simbioni. Mara nini. Hadi leo hakuna walichokifanya. Hatujifunzi bado?
@andambikemwakyusa8894
@andambikemwakyusa8894 3 жыл бұрын
RIP Magufuli, JPM tutembelee JAPO dakika moja utufute machozi.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 жыл бұрын
R.I.P JPM 😭😭😭😭😭, uliitwa dictator na majambazi ya nchi hii. Dah! Watanzania tunakumbuka mazuri ulotuachia na tutayaenzi hata kama ni kwa damu tuko tayari.
@allymakachumbaa9562
@allymakachumbaa9562 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mwamba ameacha kovu kubwa ndani ya nchi,Mungu R.I.P Magufuli.
@dianaelias517
@dianaelias517 3 жыл бұрын
Hakuna kama hayat magufuri,mwanga wa milele amwangazie,eee bwana
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
mashaallah siamini wallah 👏👏👏❤🇴🇲🇹🇿
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 3 жыл бұрын
aiseee Hii noma sana magufuli ameniliza aisee
@michaeledward1302
@michaeledward1302 3 жыл бұрын
Nice Tanzania one tupo pamoja nawe
@dennoh2532
@dennoh2532 2 жыл бұрын
Hongera watanzania kutoka 🇰🇪🇰🇪
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Machozi yamenitoka. Tunakukumbuka sana baba. Mungu akupe maisha mema uko uliko. Ulisema umejitoa sadaka hatukukuelewa. Sasa naelewa ulikuwa na maana gani.
@kanaelinaiman8889
@kanaelinaiman8889 3 жыл бұрын
Rip Jpm
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Bilioni zote hizo bila TOZO za ajabu, RIP MAGU.
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 жыл бұрын
Hakuna TOZO za Ajabu?? Kuwa na Maarifa. Tozo zinakwenda kuongeza na kuleta maendeleo kwa wenzetu vijijini. Hiyo nayo inakuliza nini? Tanzania sio mijini tuu kuna vijijini pia.
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
@@ameedamilja7992 Tathmini key words katika sentence - hakuna anayekataa neno TOZO bali zile za ajabu - ndio maana tozo hizo za ajabu sasa serkali inazifanyia kazi. Acha kukariri majibu na maelezo.
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
@@ameedamilja7992 achana na mazuzu yataelewa tu baadae au vizazi watakavyoaacha maendeleo yanafanyika kutokana na ulioachwa msingi
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 жыл бұрын
R.I.POWER OUR JEMEDARI, UTAKUMBUKWA MILELE.
@eddydben
@eddydben 3 жыл бұрын
Jpm oyeeee
@leonardkarumuna4905
@leonardkarumuna4905 Жыл бұрын
Mtamkumbuka John. Apumzike kwa amani. Amen
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 2 жыл бұрын
Usitueleze habali za samia na kikwete, tueleze habali za magufuli tu sio hao wauaji wakubwa
@habibujamali5746
@habibujamali5746 Жыл бұрын
Samia na kikwete walikuua wewe? Kwaiyo huyo magu alivyochukua korosho za watu na kuwafungia mashehe ndo ulimuona mzuri??? Kwa taarifa yako usilolijua ni kama usiku wa Giza magu ndo umuite muuaji na muhujumu uchumi Kwa sababu mtu unawezaje kujenga uwanja wa ndege chato uko hata watu hawaendi na hauwafaidishi watuu? Sasa Samia na kikwete Walikukosea nn? Sema TU unawachukia kwasabab ni waislamu mbona Nyerere aliua na hukumtaja? Huna lolote!! Hovyoooo!!😜😏🤬🤬🤫🤫🤫🤑
@sabbob574
@sabbob574 3 жыл бұрын
Asante Global.
@selemanmoses1310
@selemanmoses1310 3 жыл бұрын
Mzee wa maamuzi hatunae tena, nchi inaongozwa utafikili hakuna msemaji wa mwisho..!
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 3 жыл бұрын
R.I.P. mzee magu
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 3 жыл бұрын
Mzalendo wa ukweli pumzika kwa amani,
@danielgroenewald3829
@danielgroenewald3829 3 ай бұрын
Yes .Good thinking. Of Mr Joho Pombe
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 3 жыл бұрын
I think I will relocate to Tanzania. Love from Kenya to all Tanzanians.
@chesshudsen4643
@chesshudsen4643 3 жыл бұрын
Design ya barabara zao ni tofauti sana na design ya barabara zetu za Kenya. Zao hazina service lanes, flyovers, interchanges.
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 3 жыл бұрын
@@chesshudsen4643 I agree. But they are doing a great job.
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Jpm
@bahatinabii9231
@bahatinabii9231 3 жыл бұрын
Ongera sana kwa kazi nzuli
@wilbard
@wilbard 3 жыл бұрын
Asanteni sana Global TV kwa kutupa mrejesho. Endeleeni kutuhabarisha
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 2 жыл бұрын
RIP magu rest in piece Baba
@colestmakoloo1500
@colestmakoloo1500 3 жыл бұрын
Sema magufuri Dada
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 жыл бұрын
Yanapita kirahisi lakini yanaenda kukwama kwenye foleni mbele
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Wanaosema Magufuli hakufanya chochote wajitapikie kwa kusema uwongo. Watanzania tumeyaona kwa macho yetu. TundubLissu afie Ubeligiji a waache Watanzania wapumuwe.
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 2 жыл бұрын
Alikuwa Dr.kweli kweli
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Masjallah tunasema alhsmdulillah kwasababu hapo tulikua tunaumia sna kwa foleni joto kwenye magari kwa msonfo wa magari .mungu azidi kuwasimamia
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Big up Mr Magufuli
@highthemetv7857
@highthemetv7857 3 жыл бұрын
Rais ni mmoja tu .....R.I.P MAGU 😒
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 3 жыл бұрын
Twombe Askofu Gwajima amfufue Magufuli kipenzi cha Watanzania. Gwajima aache kujificha katika kivuli cha Corona. Yeye si mfufuaji?
@yohanambilinyi5616
@yohanambilinyi5616 2 жыл бұрын
Tanzania ya sasa mama, ya Magufuli mama, inawaka waka mama, inapendendeza sana ai mama. viva Magufuli, viva Mfugale. Bado mnaishi mioyoni mwetu.
@bongobongo1755
@bongobongo1755 3 жыл бұрын
Nchi hii inapoteza vichwa mungu atatusaidia tu
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Wanabaki wapigaji Tuu KAZI lpo
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana
@andyjk5974
@andyjk5974 2 жыл бұрын
Shida waafrica hawataki hizi kwao. Wanataka hela zijae mifukoni mwao. Ndio maana Africa masikini. Magu will always be a legecy
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 2 жыл бұрын
Sauti nzuri kwa kusilizwa ina command nzuri sana Big Up
@johnlubagula9723
@johnlubagula9723 3 жыл бұрын
Daaa magufuri akumbukwe daima
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Mashallah
@shomarymussa6970
@shomarymussa6970 3 жыл бұрын
Global tv nawapatavizuri sana kutoka south africa
@gabrielbahat9107
@gabrielbahat9107 3 жыл бұрын
👍
@user-hk2om2ef7m
@user-hk2om2ef7m 2 жыл бұрын
Well done to the contractor.
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 жыл бұрын
Huyu ndo JPM bwana. RIP BABA MZALENDO wa nchi yetu
@stuwartsosthenes1977
@stuwartsosthenes1977 2 жыл бұрын
Mungu haiweke rohoo ya marehemu mahala pema peponi,mimi nadhani alikuwa rais wa Karne maana mambo aliyoyafanya kwa mda mfupi(miaka mitano na miezi kadhaa)huwezi kuyataja haraka haraka yakaisha, alikuwa rais hasiyeelezeka katika maendeleo halijitoa kwa moyo wa dhati kuliletea taifa maendeleo,yaani kuwasaidia watu(huruma),watu kukaa mjini na kufanya biashara bila kusumbuliwa,watu kutatuliwa shida zao papo kwa papo,akika kwa asilimia kubwa alikuwa mwarobaini wa matatizo ya nchi na watu wake hasa yale yaliyokuwa yameshindikana kufanyakika kwake yaliwezekana kufanyika huku akimtanguliza mungu(RIP mpendwa wetu).
@safielazza9213
@safielazza9213 3 жыл бұрын
Imekaa vizur
@khethukuthulamlungisi636
@khethukuthulamlungisi636 3 жыл бұрын
jembe magu
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Barabara nzuri sana Tukiweza kuitunza itakuwa magoli sana Ila karibu na zebra crossing wange weka matuta kupunguza speed ya magari .naona watu wanataka kuvuka lakini madereva hawasimami,yaani wako kibati Sijui ili limekaaje .....
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 2 жыл бұрын
mashallah 😍😍😭
@deogratiusmuganda9473
@deogratiusmuganda9473 3 жыл бұрын
Inavutia sana
@eliusandrew3762
@eliusandrew3762 3 жыл бұрын
RIP MAGUFULI
@honestmahongo3443
@honestmahongo3443 3 жыл бұрын
Magu 😭 R.I.P. Sio wanaotujengea daraja la miti na magogo 💩
@abdouidrisse9627
@abdouidrisse9627 2 жыл бұрын
I love Tanzanie
@user-gg4xj1yt3r
@user-gg4xj1yt3r 5 ай бұрын
Yaani mtangazaji humeeleweka hume eleza ata mimi sina elimu lakini nimekusoma hongera Rais wetu
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 3 жыл бұрын
Tunamhitaji Rais masikini jeuri kama JPM
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Kabisa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Kweli kabisa , hawa waliokuwepo kazi kushobikea wazungu wazungu tuu
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 жыл бұрын
Duh! Kweli
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kudrackmustapha8642
@kudrackmustapha8642 2 жыл бұрын
Magufuli angemaliza miaka kumi tu ndani ya urais hata Kenya tungewaacha mbali Sana na lengo la magufuli ilikua Tanzania iwe ndo nchi yenye power kubwa na uchumi mkubwa kuliko zote kwa hapa Africa Mashariki sababu aliona Kenya wanajiona wenyew ndo wakubwa hapa Africa Mashariki ndo mana mara nyingi wanawekaga vikwazo vikwazo vingi sana kwa nchi za East Africa hasa kwenye masuala ya biashara hata ukiangalia kwa nchi zinazounda umoja wa afrika Mashariki zote zinaipenda Tanzania mana wanajua sisi Tanzania hatuna roho mbaya wakenya niwabinafisi sana na hilo magufuli alilijua ila yote kwa yote REST IN PIECE JO JO PO MAGUFULI DAIMA UTABAKI KWENYE MIOYO YETU🇹🇿
@theperfect6460
@theperfect6460 3 жыл бұрын
Kongole kwa MAGUFURI...MUNGU AMPE MWANGA WA MILELE HUKO ALIKO......YE MAMA ANASAFIRI TU HANA KAZI YA KUFANYA....NI MEZI MINNE SASA HAKIJAONEKANA ALICHOKIFANYA..INAUMIZA SANAA 😭😭😭😭😭😭😭😭
@bboyblackfire
@bboyblackfire 7 ай бұрын
asante MAGUFULI
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 жыл бұрын
Big Magufuli lala salama, ungekuwepo tungefika mbali
@godfreychristopher6758
@godfreychristopher6758 3 жыл бұрын
Kusema ukweli toka moyoni hii barabara iitwe MAGUFULI ROAD
@itwaaky75
@itwaaky75 3 жыл бұрын
Acha ujinga
@godfreychristopher6758
@godfreychristopher6758 3 жыл бұрын
Niache ujinga upi hapo
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 жыл бұрын
Iitwe magufuli road?...kwani alitumia pesa zake kujenga?
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 жыл бұрын
Hapa katiba mpya inausika ili tuache mambo ya kufikilia mtu
@godfreychristopher6758
@godfreychristopher6758 3 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 kwani vitu kama uwanja wa mpira vinapoitwa majina ya viongoz ni kwamba hao viongoz wametoa pesa zao kujenga ivo vitu?
@beanymosesmkuchula6651
@beanymosesmkuchula6651 3 жыл бұрын
Kwangu Mimi ninaomboleza mpaka leo maana kila Kona magu kapagusa ,nilimuhusudu m2 yule
@noriegacapadona9340
@noriegacapadona9340 Жыл бұрын
Lila kitu JPM alikua akituambia tumtangulize mungu,Yule bwana alikua mcha mungu Na mzalendo wa tatu baada ya mwalimu Nyerere,mama Maria Nyerere halafu ndio yeye Hayati mtu wangu kipenzi cha wrote JPM same one who does'not take nonsense may lord rest his soul in internal peace as he deserve it Amen!!!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Mbezi imekuwa sasa ni wakati sasa Serikali iongee na wawekezaji wa ndani wajenge bonge la shopping Mall na Manispaa ya ubungo itenge bajeti ya soko kubwa kama la kariakoo, soko la ndizi na machinjio ya Kisasa , watu wa mbezi wanahitaji huduma hizo saaaana , hivi Serikali inashindwa kuwaita Matajiri wa ndani Ikulu na kuwapa hiyo business idea?
@maryamAlly-vs7ml
@maryamAlly-vs7ml 4 ай бұрын
Na je vipi kuhusu ujenzi wa barabara mjini nanenane morogoro upo
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 жыл бұрын
Pongezi kwake Magufuli Maana ndie mwanzilishi wa mambo yote
@tonitonito1587
@tonitonito1587 3 жыл бұрын
Tunawakumbuka majemedari wetu Magufuli na Mfugale 😭😭
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 3 жыл бұрын
R.i.p magufuli
@wamburachacha1248
@wamburachacha1248 3 жыл бұрын
MAGU R.I.P
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 жыл бұрын
Inapendeza sana rip Jpm
@mwanangonilucas4442
@mwanangonilucas4442 Жыл бұрын
RIP JPM. We will never forget you. You did a lot in a short time.
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 2 жыл бұрын
Tatizo vivuko vya juu au chini havijajengwa...gari zipo spidi sana...ni hatari sana kwa wavuka kwa miguu...TanRoad wasisubiri watu wagongwe na magari halafu ndipo wachukue hatua...hiyo haifai
@avelinarevocatus1483
@avelinarevocatus1483 2 жыл бұрын
Huyo samia msifie kwa tozo cyo barabara Rip mwamba JPM
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@user-vn3ye4ok6j
@user-vn3ye4ok6j 3 жыл бұрын
Nchi ya tz ingekuwa katika kiwango cha ubora sana angekuwa bado yupo hayati magufuli
@mudriqjardeny708
@mudriqjardeny708 3 жыл бұрын
Taa ziko wapi?
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Gari zinakimbia Sana aisee
@edwinchacha5720
@edwinchacha5720 Жыл бұрын
Sawa barabara nzuri mbona taa hamna! Pembezoni nyasi ziko zigizaga vifusi vifusi! Hamna bustani!
@eddechriss2664
@eddechriss2664 3 жыл бұрын
JPM Rais pekee aliyehubiri Uzalendo na Umoja kwa Taifa lake kila muda pale alipopata nafasi ya kuongea na Watanzania na huku pia akifanya shughuli za kuleta maendeleo kwa vitendo, Pumnzika kwa Aman JPM CHUMA
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Asante Eddie Kwa comment Yako Nzuri
@selegioanthony1651
@selegioanthony1651 3 жыл бұрын
Magufuli alipenda Tanzania ifike wakati iwe ni bonge la nchi fulani hivi inayojitegemea,alikuwa anaitegengeza iwe nchi ya mfano Africa ambayo inajiendesha kwa kutumia rasili mali zake,yaani madini,gas,bahari,maziwa,mbuga za wanyama n.k. Magufuli kajenga barabara kila kona,kanunua ndege kwa keshi,kajenga reli ya kisasa,kajenga mradi mkubwa wa umeme Africa,kafufua reli ya Dar to Moshi,kafufua meli zote za ziwa Tanganyika,Victoria na Nyasa,kajenga Ikulu na kuhamia kiukweli mambo ni mengi aliyo fanya na yote haya hakuwahi kumwambia mtu ahamie Burundi.
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 3 жыл бұрын
Na bado kipindi chake cha pili ambacho haikuwezekana alikuwa anejiwekea mipango kabambe sana aisee....ndege za mizigo, meli za uvuvi yaani acha tu. Alikuwa na usongo sana na maendeleo, alichukia Tanzania kuitwa masikini bila sababu
@selegioanthony1651
@selegioanthony1651 3 жыл бұрын
@@emmanuelmkama3000 Yaani basi tu kama kuna aliye husika hii damu haitapotea bure,sahivi tunaambiwa tuhamie Burundi kweli!?
@happinessm1919
@happinessm1919 3 жыл бұрын
@@selegioanthony1651 Hakika damu yake haitapotea bure kwa namna tunaumiaa😥
@happinessm1919
@happinessm1919 3 жыл бұрын
Burudi woiii🙄
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@selegioanthony1651 aliesema ndo ahamie maana hatufai kabisa
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,8 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 33 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
TV47 Kenya
Рет қаралды 7 М.
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
DART TV
Рет қаралды 6 М.
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 74 М.