No video

KUNGWI DUME NA NYAKANGA

  Рет қаралды 8,988

Ibrah Thedon

Ibrah Thedon

Күн бұрын

Jifunze zaidi kupitia kungwi dume akizungumza na nyakanga

Пікірлер: 68
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti Ай бұрын
Bibi unakitu masha allah 🔥🔥🔥🔥 mungu akuweke, kungwi dume mshikilie bibi uyooo
@mohammedbah4521
@mohammedbah4521 Ай бұрын
Wapi team strong wenzangu mpoo😂kungwi dume ndouyo mjifunz mkishuka yote mkonayo
@user-ik2bb2rm2q
@user-ik2bb2rm2q Ай бұрын
Tupoo twaisubiri
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to Ай бұрын
Tupo tupo team majinun😂
@KhadijahMohammed-bi9ef
@KhadijahMohammed-bi9ef Ай бұрын
Nikirud tumtafute kungwi jamn 😅
@user-ki8yk9hd2z
@user-ki8yk9hd2z Ай бұрын
Tupooooo
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y Ай бұрын
😂😂😂aloooo aki ww umenichekesha walai😂😂😂😂
@user-uq3xw5rk5i
@user-uq3xw5rk5i Ай бұрын
Tuponteam strong from Oman
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to Ай бұрын
Ila kumbwi dume mzuri mashaalah❤
@user-gi4jo5ib6l
@user-gi4jo5ib6l Ай бұрын
Nakupat san kaka kungwi dume tupo pamoja
@mohammedbah4521
@mohammedbah4521 Ай бұрын
Wakwanza jaman kitu kishathoka wapi team majumuni mahayawani wwnzangu😂😂more love from Qatar ❤njoon uku kungwi awaita😂😂
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 Ай бұрын
Njoo saudia 😂😂😂
@NunuShamis
@NunuShamis 4 күн бұрын
Jamani mafunzo yafanyiwe kazi hayo
@MufarijinamugunguMungura
@MufarijinamugunguMungura Ай бұрын
Mimi nakupenda sana ilanakosachakukupa😂🙋🙋🙋👇👇👇🤝🙋🙋🤝🇨🇩😂
@user-ez2ps2qq4h
@user-ez2ps2qq4h Ай бұрын
Nawapenda sn mungu awaeke muzidi kutupa matamu❤😊
@Mapendoanumwarite
@Mapendoanumwarite Ай бұрын
Naipenda sana mafundisho Yako
@janetmbwana553
@janetmbwana553 Ай бұрын
Àsante sana kungwi dume na bibi🙏🙏🙏
@shishiShishlucy
@shishiShishlucy Ай бұрын
Daaah Asante sana bibi nimejifunza kitu kikumbwa sana 😊😊leo 😊
@SophyMohammad-s4h
@SophyMohammad-s4h 6 күн бұрын
tupo my tem strog
@hassanbakari1673
@hassanbakari1673 Ай бұрын
Nikubali kaka kungwi dume kazi zako
@user-ot9kh7vk1x
@user-ot9kh7vk1x Ай бұрын
Nasubiri
@AhhSs-z7g
@AhhSs-z7g Ай бұрын
Tupo sisi 😊
@ZainabuYahya-fu1zc
@ZainabuYahya-fu1zc Ай бұрын
Kungwi no
@Asmini-xp5ld
@Asmini-xp5ld Ай бұрын
Jamn nawapend sana
@ashaibrahim3156
@ashaibrahim3156 Ай бұрын
Kungwi dume, napenda unavyo cheza😊
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 Ай бұрын
Kweri kabisa mama yangu asante sana
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Ай бұрын
Kungwi dume huyu bibi anakuogopa jamaniiii, mnatubania 😢
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to Ай бұрын
Kweli anaogopa twambie wewe kumbwi dume unatufunza meng mwanz mimi nimejifunza saan
@ismailMdoe-zs2mo
@ismailMdoe-zs2mo 3 күн бұрын
Kweli kabisa bibi anatubania jamaniii
@MwanajumaDot0-ej6jy
@MwanajumaDot0-ej6jy Ай бұрын
Kungwi dume mbn bibi hafungiki
@user-sd7ms7wf9t
@user-sd7ms7wf9t 28 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-zn5tq1pr8w
@user-zn5tq1pr8w Ай бұрын
bibi funguka utufunze unatubania jmn
@husnababe
@husnababe Ай бұрын
Ninashkuru kwa mafunzo yenu nikiwa saudi
@petience1366
@petience1366 Ай бұрын
Asante Sana nimejifunza kitu🎉🎉❤
@Asmini-xp5ld
@Asmini-xp5ld Ай бұрын
Jamn mm naomba nijue mana ya rangi za shangaz na chupi jamni nakos mengi mm jamn nimeolewa cina mda mrefu kwenye ndoa hapa nilipo nimetokea kusafir nipo mbali nchi za nje hapo nataka nijifunze.zaidi ili nikifika niwe watofauti jamaani plz
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk Ай бұрын
Bibi anatubania jmn
@zulfayusra8747
@zulfayusra8747 14 күн бұрын
Na kama mumekodi room Moja lakini nje Kuna corridor..ni sawa mama vyaa Yani mamake mume kuingia ndani?
@MwanamisiMwamakalo
@MwanamisiMwamakalo Ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤
@user-bg3tl6qi3u
@user-bg3tl6qi3u Ай бұрын
Tupo saudia Albaha
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 Ай бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu
@sinangoarashid504
@sinangoarashid504 Ай бұрын
Mashallah bimkasi❤
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 Ай бұрын
❤🎉❤hongereni team strong
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 Ай бұрын
Samahani naomba niurize nini mana ya kombè samahani silijuwi
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda Ай бұрын
Haya ninaingi twende naushauri
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 25 күн бұрын
Tupe muendelezo 28
@Somoo220
@Somoo220 Ай бұрын
Nipe maana ya Asali Chumbani
@user-ee8lj9yl9e
@user-ee8lj9yl9e Ай бұрын
Kungwi kuna Mila nyengine hawali kombe siku ya ndoa yake kimila wanadai adi Mwanaume afike kwao ndio ale ila siju ya harusi aruhusiw kula chochte nyumba ya Bi harus adi afike kwao na mke wake ndo anakula hii inamaana gani
@Somoo220
@Somoo220 Ай бұрын
Bibi anaona aibu kufunguka
@JumaMohammed-ct6vg
@JumaMohammed-ct6vg Ай бұрын
Kaka kwa hii jinsi ilivyo tu ili kava lake ni dhairi kuwa inaonyesha kabisa umeuwaaaaaaa, unyama ni mwingi adi unamwagikaaaa❤!!! Na apa ndio naaamini kuwa kava la vidio linasadifu yaliomo Kwa mantik hiyo; bila shaka h ii video watu wengi watajifunza,watahifurahia na pia wapo watakao-Enjoy!!❤🎉
@husnamwinyi8295
@husnamwinyi8295 Ай бұрын
Naisubr hii kwa hamu
@Asmini-xp5ld
@Asmini-xp5ld Ай бұрын
Pia massage ya hogo
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 Ай бұрын
Bibi.km.mtu.anakuitaji.unapatikana.wapii
@user-pn7qg8jb1e
@user-pn7qg8jb1e Ай бұрын
Jamani naomba namba zahuyo bimkasi
@user-pn7qg8jb1e
@user-pn7qg8jb1e Ай бұрын
Naomba no ya yabimkasi jamani
@MandelaLupango
@MandelaLupango Ай бұрын
Ninahuliza swali mwanamume akienda siku yake anaweza chukua mimba kwasikugapi?
@MariamOmar-bn6op
@MariamOmar-bn6op Ай бұрын
Mimi nilikuwa naomba advice samahani kama nitakuwa nimeuliza vbya Mimi Nina mpenzi wangu alishanitambulisha kwao ila tuko mbali Mimi na yeye changushangaza sahi amebadilika ywataka tufanye mapenzi kwa video call nimekataa swali ni kuna mapenzi kweli hapo hebu nisaidieni juu amechange nilipokataa,??
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 Ай бұрын
Samahani ddaa wacha mmi nikujibu kabla kungwi kkujibu. Mwanaume aliye na mapenzi ya dhati na mtarajiwa wake(mchumba)hawezi kkuongekesha upuzi wa namna hiyo,na ukijaribu ddaa kesho na kesho kutwa itajiona umeanikwa mitandaoni,ni lazima awe na subra kama yupo na nia ya kukuoa
@MariamOmar-bn6op
@MariamOmar-bn6op Ай бұрын
@@nurumwinyi796 asnte dadangu mimi pia nimeshindwa nimeamuwa heri tuwachane
@TamaAbdulazizi
@TamaAbdulazizi Ай бұрын
Je kwa wale waliofundwa then wanaeleza mafundisho kwa wasiofundwa hii inakaaje hapo nyakanga
@Asn7173
@Asn7173 Ай бұрын
@@TamaAbdulazizi anae eleza aliyo fundwa kwa wale hawaja olewa huyo ni msungo
@TamaAbdulazizi
@TamaAbdulazizi Ай бұрын
Dah! Ni hatar na nusu😮​@@Asn7173
@sikukuuomar
@sikukuuomar Ай бұрын
Tupo ❤❤🎉
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 12 М.
KUNGWI DUME sehemu ya Tano
31:57
Ibrah Thedon
Рет қаралды 118 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 65 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
KUNGWI DUME: MAMBO YANAYOFANYIKA CHUMBANI
29:06
Ibrah Thedon
Рет қаралды 25 М.
KUNGWI DUME sehemu ya pili
50:35
Ibrah Thedon
Рет қаралды 252 М.
KUNGWI DUME: KUIFINYIA KWA NDANI
32:15
Ibrah Thedon
Рет қаралды 181 М.
MWANAMKE MALAYA
6:45
Ibrah Thedon
Рет қаралды 3,1 М.
KUNGWI DUME
42:19
Ibrah Thedon
Рет қаралды 407 М.
KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE
26:32
Ibrah Thedon
Рет қаралды 76 М.
KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini na Tano
23:24
Ibrah Thedon
Рет қаралды 28 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 151 М.
KUNGWI DUME KUFUNDA
14:22
Ibrah Thedon
Рет қаралды 4,8 М.
KUNGWI DUME sehemu ya 26
28:06
Ibrah Thedon
Рет қаралды 22 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 65 МЛН