Allah akuhifadhi tumefurahi Allah kutupa shk masha Allah
@andrewmoi21862 ай бұрын
Mashaalla
@abcmnbb26102 жыл бұрын
shukran Yaarabi tupe mwisho mwema
@mwanamgenijuma80032 жыл бұрын
Maashallah mawaitha mazuri sana Allah atujaalie mazingatio Huy sheikh na wawapi TZ au Kenya??
@nuruabdillahi92932 жыл бұрын
Ni wa Kenya malindi
@user-ie2sm7zm4c10 ай бұрын
Wallah hii ni nuur fawcka nuur hapo malindi kuwa na sheikh kama huyu ALLAH amzidishie katika hasanat zake na INSHAALLAH ambadilishie na kama kuna mabaya ayafanye yawe mema Na INSHAALLAH ALLAH Atukutanishe na kipenzi cha umma mtume wetu MUHAMMAD S A A W.
@aboubakarsaid1116 Жыл бұрын
Hakika umetupatia mawaidha yenye mazingatio
@hamedyahya98462 жыл бұрын
Kwamana hiyo mzinifu ataingia peponi mtu mdhalim anadhurum watu mpaka uingie uslam moja kwa moja