Hakika ustdhi unayo ongea yapo hayo ndio matupu sahivi subhallah Ewe mola wangu mlide.huyu mjawako anae tulemisha nakutufunguwa macho Hakika Allah atakulipa karibu sana oman
@TURIYU12 күн бұрын
Shukran na ahsante sana inshaa allah
@user-wm7gu8os2i12 күн бұрын
@@TURIYU Afwan
@ZuhuraAbass13 күн бұрын
Mashallah
@TURIYU13 күн бұрын
👍
@user-wm7gu8os2i12 күн бұрын
Una lipaje
@TURIYU12 күн бұрын
Njoo kwenye what's app
@sufomussa455011 күн бұрын
Asalam Aleikum shekhe tufundishe hilmu hii ambaye ina manufaa tena asili 100 . Je uyo Issa Abdall...akisikia elimu ya Dua kutumia majina ya barahatii ndyo atasema ww mchawi... Jamani hii elimu ya dua ni garama kubwa sana ... Allah akusimamie
@SalimShebbe2612 күн бұрын
Inshallah allah atakulipa
@TURIYU12 күн бұрын
Ameen shukran
@user-dx8qe4di9n13 күн бұрын
Naaamu sheikh wangu mi wallah mpk sasa ninapata faida kupitiya ww allah akuwekeye wepes
@TURIYU13 күн бұрын
Ameen shukran
@MowizyHot12 күн бұрын
Sikiliza mwalimu kila jambo la kheri lazima zinamitihani yakutaka kukurudisha nyuma.umesoma kwajili ya ALLAH pia fundisha kwajili ya kupata sawab kwa ALLAH
@TURIYU12 күн бұрын
Inshaa allah shukran sana
@user-hm5jl1kh2t11 күн бұрын
Inshaaallah shukran sana
@TURIYU11 күн бұрын
👍
@user-sp7cv2cf4g13 күн бұрын
ما شاء الله بارك الله فيك استاذي
@TURIYU13 күн бұрын
شكرن جد يا حبيب
@user-hm5jl1kh2t12 күн бұрын
Shekh pole sana asalam alaykum pili usihuzunike Kwa matusi mti wenye matundaa hauachwi kupigwa mawe lkn pia usivunjike moyoo Couse wengi tunastafidi kupitia Wewe alhamdulilla Allah akulipe inshaaallah
@TURIYU12 күн бұрын
Shukran inshaa allah
@abiseniaboys507012 күн бұрын
stard mimi kutoka Ethiopia sukran shek Namimi sina chochote unataka kitabu
@abdulhafidhali561412 күн бұрын
Mwenyezi mungu atawashinda kila mwenye hasad
@TURIYU12 күн бұрын
Inshaa allah
@innocentndikumana892812 күн бұрын
Mashallah sheikh uncle K allah akuripe heri nyingi kujitoreya kutowa darasa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@TURIYU12 күн бұрын
Ameen inshaa allah shukran mwamba wa brazil
@Hafisa-ws8mw13 күн бұрын
MashaaAllah
@abinandrimana715012 күн бұрын
tuko pamoja hakuna kukata tamaa hata mitume ilikumbana na mitihani ya hasadi na fedheha za wasiomcha mungu . wacha dawa iwaingie vizuri