KUPIKA SCONES,MKATE na MAANDAZI KWA KUTUMIA DONGE/UNGA MMOJA

  Рет қаралды 21,333

Ika Malle

Ika Malle

4 жыл бұрын

Katika hii video nimewaonyesha namna ya kutumia mahitaji ya pamoja kupika mapishi mbali mbali,
i hope hii njia itawasaidia sana especially kipindi hiki cha Ramadhan
❤️VIDEO ZINGINE
-Kutengeneza Icecream bila mashine
-Kupika Biriyani la fasta fasta
-Kupika Firigisi
🤳🏽SOCIAL MEDIA
-Instagram @ikamalle
-Snapchat @ika_malle
-Pintrest Ika Malle

Пікірлер: 46
@faizahamim2799
@faizahamim2799 4 жыл бұрын
Asant Sana kipenzi chetu kwaku tuelimisha mapishi mbali mbali tumefaidi kwa kweli Nami nitajaribu insha ALLAH nakupenda Sana
@fredahmungai5643
@fredahmungai5643 4 жыл бұрын
Hii recipe ni nzuri sababu ya matumizi mbali mbali, iko sawa kabisa 👌
@veronicaotaigo2653
@veronicaotaigo2653 3 жыл бұрын
Mungu akubariki dada Ika I dont know you in person but I feel that you are a kindhearted lady,God bless you dada
@debbymchau1468
@debbymchau1468 4 жыл бұрын
Growth... From using no oven to having a beautiful one... I Stan.
@lornambeyu
@lornambeyu 4 жыл бұрын
Ikr🙌she's grown over the years
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Wauuu hii iko juu kwakweli👌
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante dear🥰
@magiefrank4098
@magiefrank4098 4 жыл бұрын
Hongera Love itatusaidia kwa kwl na Ramadhani hii Mashallah❤💕
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Ready for Ramadhan 🥰🥰
@clausefaika6687
@clausefaika6687 4 жыл бұрын
I love you ika malle youve really changed me..boosted my way of cooking...I love you...watching from Kenya neighbouring country...
@mirhatiealamin8255
@mirhatiealamin8255 3 жыл бұрын
Mashallah. T looks yummy
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Idea nzuri sana mpz👌👌👌
@florandossi4021
@florandossi4021 4 жыл бұрын
Thank you dada ikaa......I love u, stay blessed..
@juliethurio6840
@juliethurio6840 4 жыл бұрын
Be blessed mrembo Ika
@kibouttv7148
@kibouttv7148 4 жыл бұрын
Waooh nimependa sana Skonsi na Mkate nilikuwa sijuagi kupika mkate hii video imesaidia nitajaribu kupika na mimi
@israelsauli5807
@israelsauli5807 4 жыл бұрын
Nice madam Ika
@ngulowitness171
@ngulowitness171 4 жыл бұрын
Me huwa natumia jiko la mkaa kuoka mikate, scones, na cake na zinakuwa nzuri sana. Ika umepika vizur mwaya.
@margretwangari2066
@margretwangari2066 4 жыл бұрын
Imenisaidia sana
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 4 жыл бұрын
Mashallah
@swgbiz12
@swgbiz12 4 жыл бұрын
Hello, fantastic video as usual. Question: What do you do with the oil after making mandazi. I always feel like it's going to waste afterwards.
@noorayaqoot1294
@noorayaqoot1294 4 жыл бұрын
Wow excellent idea. Thanks
@priscaangelo7931
@priscaangelo7931 Ай бұрын
@RaniyahAnwar
@RaniyahAnwar 4 жыл бұрын
Hii inarahisisha kazi Sana💯💯
@aminasjoekitchen7959
@aminasjoekitchen7959 4 жыл бұрын
Masha Allah nimependa Sana hiyo idea🙏
@gladnessswila5770
@gladnessswila5770 4 жыл бұрын
Be blessed dear Ika
@sarahwilson586
@sarahwilson586 4 жыл бұрын
Nice video dear.
@elizabethnicholaus183
@elizabethnicholaus183 4 жыл бұрын
Tamuuu
@tinamtonyimtonyi8680
@tinamtonyimtonyi8680 4 жыл бұрын
Thanks dear a lot Amazing Bates
@mwantumhemed8625
@mwantumhemed8625 4 жыл бұрын
My dada asantee san
@crochetwithcharity
@crochetwithcharity 4 жыл бұрын
Wow.. Yummy 😋
@MultiBig1981
@MultiBig1981 4 жыл бұрын
Juzi Nilijaribu ile recipe nyingine ya maandazi na familia ikaipenda. Asubuhi wamenisihi nitengeze tena ndio nikapata hii recipe na ikawa poa😋❤️....na Mkate pia. Sasa inabidi Karibu nipike kila siku🙈.Ahsante sana Kazi Poa. God bless you 🤗 next I’ll the donuts...please do samosas too 🙂
@MultiBig1981
@MultiBig1981 4 жыл бұрын
I’ll try* the donuts
@HawaKitao
@HawaKitao 4 жыл бұрын
wow I Love your videos
@uwasechim-assya658
@uwasechim-assya658 4 жыл бұрын
Asante sana 👍🥰🥰🥰🥰
@jenniferrugwe8825
@jenniferrugwe8825 4 жыл бұрын
Asante da ika
@lucygitachu3440
@lucygitachu3440 4 жыл бұрын
Please write the ingredients below. Asante
@ericasamwangwa6671
@ericasamwangwa6671 4 жыл бұрын
Mamii safi sana....hizo pots unazinunuaa wapi??
@dirahussein9291
@dirahussein9291 4 жыл бұрын
robo kilo ya unga inahitaji amira, sukari/chumvi kiwango gani?
@dirahussein9291
@dirahussein9291 4 жыл бұрын
Hicho kikombe kina ujazo gani?
@kiokojo453
@kiokojo453 4 жыл бұрын
Nauliza kuweka mafuta apo kweny uliweka zidla kwa sisi atuna iyo mafuta yako twaweza tumia ama vip
@mariamjumaswalehe635
@mariamjumaswalehe635 4 жыл бұрын
Hapo kwenye mkate umenikoshaje hoger zako my
@justinakaronge5270
@justinakaronge5270 4 жыл бұрын
Hicho kikombe Ni kiasi gani ? Robo au?
@lilianjulius917
@lilianjulius917 4 жыл бұрын
Wazo langu ni vyema ungetusaidia kuelekeza kupitia majiko yote,gas,mkaa,maana kama cna Oven ctaweza kupika?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Nimeelekeza ninavyojua, hayo majiko mangine sijui....
@vyonneeugine7507
@vyonneeugine7507 4 жыл бұрын
Mashallah
@elizabethnicholaus183
@elizabethnicholaus183 4 жыл бұрын
Tamuuu
Jinsi Yakupika Half Keki Zakupasuka/Half Keki/Kangumuu/Half cake
8:03
Hadija Sheban
Рет қаралды 1,6 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
MKATE LAINI WA MAZIWA 🍞 SOFT MILK BREAK (2021)
8:01
Ika Malle
Рет қаралды 177 М.
Soft Mini Mandazi How To Guide
6:22
Chef Raphael
Рет қаралды 1,5 МЛН
MAANDAZI  YA KUOKA RAHISI SANA |KWA MAHITAJI MACHACHE
2:53
keki plus
Рет қаралды 24 М.
KASHATA ZA AINA 3: UBUYU, NAZI na KARANGA
7:36
Ika Malle
Рет қаралды 135 М.
KUTENGENEZA CINNAMON ROLLS/ mapishi rashisi @ikamalle
5:28
Ika Malle
Рет қаралды 8 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
0:27
Reuse ♻️
0:32
Yoshipapa / よしパパ
Рет қаралды 9 МЛН
I Made a Seal from Space Kinetic Sand
0:28
Sand Movie Maker
Рет қаралды 56 МЛН
Berbagi lolipop ke orang buntung‼️
0:14
Abil Fatan Key
Рет қаралды 4,5 МЛН