Good mno,, nilikuwa natafuta tutorial kama hizi,, wengi wana upload video wakicheza vinanda lakin kuhusu setting hawafanyi ivyoo👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@heavenlymusicproduction43602 жыл бұрын
Asante sana kaka Kila aina ya kinanda nitaielezea kwa undani zaidi Je ungependa nifundishe nini nje ya kuseti kinanda 0738718085watsap yangu kwa kunishauri ubarikiwe sana brother.
@musicheals15452 жыл бұрын
@@heavenlymusicproduction4360 sawa kaka. nitaku wasapu unishauri mimi maana niko najifunza upigaji kinanda kaka.. bless sana mkuu
@marcelinoliheta85072 жыл бұрын
Demonstrations hizi ndizo nilikuwa nikizihitaji ili kinanda kichambuliwe jinsi hii ili mnunuzi akielewe zaidi. Nashukuru ombi langu limefanyiwa kazi. Nawapongeza. Ni maelekezo mazuri sana kwa wapiga vinanda wanaochapia milio ya filimbi tuuuuuuu!!!