KUSHONEA WEAVING NA KUWEKA MSTARI UWE KAMA NYWELE YAKO / DIY NATURAL PARTING SEW IN WEAVE /Vivianatz

  Рет қаралды 116,439

Vivianatz

Vivianatz

2 жыл бұрын

Hello dear , Leo nimewafundisha jinsi ya kushonea weaving na kutengeneza mstari au way iliyo natural bila kutumia closure, gundi wala kuachia nywele.
Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
PONYTAIL
• KUTENGENEZA KIBANIO CH...
KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
• Kubana nywele fupi NZI...
KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
• KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
• MITINDO TOFAUTI YA LOC...
KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
• KUSUKA DISTRESS LOCS K...
KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
• Kubana nywele Fupi "Ha...
KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
• Kusuka Crochet kwa kut...
MAKEUP FOR BEGINNERS
• Beginner Makeup series
MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
• MITINDO YA MAVAZI /TRY...
MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
Email ; Business@vivianatz.com
Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
INSTAGRAM ; vivianatz.offic...
Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

Пікірлер: 97
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Hi darlings, nimetumia bunda moja na kidogo kukamilisha huu muonekano, but pia unaweza kutumia bunda moja na likatosha , msisahau kushiriki give away /kushindania zawadi maelekezo yote yapo instagram @vivianatz.official ❤❤❤
@mwatumdotto2390
@mwatumdotto2390 2 жыл бұрын
Inauzwa shingapi hiyo nywere
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Love nahtaji namba 30 lote
@rebeccarudovick2424
@rebeccarudovick2424 Жыл бұрын
Naomba namba ya simu nataka kuja kusuka kwako na unapatikana wapi
@rebeccarudovick2424
@rebeccarudovick2424 Жыл бұрын
Naomba namba ya simu nataka kuja kusuka kwako na unapatikana wapi
@rebeccarudovick2424
@rebeccarudovick2424 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano
@janekemunto4944
@janekemunto4944 Жыл бұрын
Wow,av learnt the easiest way to do weaving ever
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
🙏❤
@sherinacarmelia4006
@sherinacarmelia4006 Жыл бұрын
this is the best video ferfec doesn't exist but it is the best❤❤❤🎉this is the best video ferfec doesn't exist but it is the best👍🏾👍🏾👍🏾
@sherinacarmelia4006
@sherinacarmelia4006 Жыл бұрын
❤❤❤🎉👍🏾de beste video dat ik gezien heb van KZfaq KZfaq
@nantumevivian7324
@nantumevivian7324 Жыл бұрын
Wow i love your work
@namyaloteddy9336
@namyaloteddy9336 Жыл бұрын
The finishing wow, neat
@EbronWilliam-on1mu
@EbronWilliam-on1mu 7 ай бұрын
Asante kwa elimu, nimefurahia.❤
@nakirijjajanet4241
@nakirijjajanet4241 7 ай бұрын
Nzuri Sana kipenzi be blessed
@AtubangiireKellet
@AtubangiireKellet Жыл бұрын
Hy guys, I like the way she dies crocheting
@user-go6et3rf7h
@user-go6et3rf7h Жыл бұрын
Wow Sis this is nice
@mtalesophia3830
@mtalesophia3830 2 жыл бұрын
Hongera sna unajua Sana kuelekeza mungu abariki kazi za mikono yako😘
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee, Amen kipenzi
@compehnzinyangwa4138
@compehnzinyangwa4138 Жыл бұрын
Hongera sanaaa...Mwl.mzuri sana!! Je nikitaka kusuka hivyo naweza kuwapata wapi?
@MadhabiBhowmick
@MadhabiBhowmick 3 ай бұрын
Nice
@sherinacarmelia4006
@sherinacarmelia4006 Жыл бұрын
Perfecto❤
@geofreypius7657
@geofreypius7657 2 жыл бұрын
Alice 💯💯🔥
@saraphinasamwely4775
@saraphinasamwely4775 2 жыл бұрын
Nzuri sana ,nimejifunza nywele nyingi kupitia ww ,hongera ana Kwa kutuekekeza 😘
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee dear❤
@HappynesChanga-bu5qt
@HappynesChanga-bu5qt Жыл бұрын
Asante kwakunipa ujuzi mwingine
@aumavanessa9173
@aumavanessa9173 10 ай бұрын
I learnt something that I don't know ,thanks alot
@Vivianatz
@Vivianatz 6 ай бұрын
🙏❤️❤️
@kimnanah4064
@kimnanah4064 2 жыл бұрын
Wow jomon so amazing ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
😍😍
@jeromemapenzi1312
@jeromemapenzi1312 Жыл бұрын
Owesome
@hamidaasiimwe4266
@hamidaasiimwe4266 Жыл бұрын
Viviane kazi ni nzuri sana 👌
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
Thanks dear
@edinamwanansolo1243
@edinamwanansolo1243 8 ай бұрын
Asante dear ❤
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 2 жыл бұрын
Asante sana Vivian
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
@kellysgakii3006
@kellysgakii3006 Жыл бұрын
Wow,more
@vailethemmanuel3379
@vailethemmanuel3379 2 жыл бұрын
Duuuh ila we ni 🔥 fire....unajua kubun na ki2 kinapendeza
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee kipenzi
@NokthabaDawu
@NokthabaDawu 8 ай бұрын
Nice❤
@r.waithira7209
@r.waithira7209 2 жыл бұрын
Kwa kweli client wako amependeza sana
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee kipenzi
@pollypolly3462
@pollypolly3462 Жыл бұрын
Asante mama
@marynalubega7937
@marynalubega7937 9 ай бұрын
Smart work ☝️
@Vivianatz
@Vivianatz 6 ай бұрын
Thank you 🙏❤️
@happymkinga9751
@happymkinga9751 2 жыл бұрын
Nimekuelewa dad viv nakupendq
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee dear
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 2 жыл бұрын
Asante
@user-vl6xb8vu6b
@user-vl6xb8vu6b 11 ай бұрын
Well
@flaviajustinean2898
@flaviajustinean2898 2 жыл бұрын
Nzuri jmn💕💕
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee dear
@prisca-ggema7225
@prisca-ggema7225 Жыл бұрын
Da Vv uko faster Saan Japo Nimejitahidi kuelewa ungekuwa Unafanya kea Hatua pls😭
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
🙏❤
@geofreypius7657
@geofreypius7657 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥💯💯
@OmaryAbdalllah-qe3gw
@OmaryAbdalllah-qe3gw Жыл бұрын
Nzuri
@minnah1659
@minnah1659 2 жыл бұрын
Waoooo
@samsonnandasaba9022
@samsonnandasaba9022 2 жыл бұрын
Wow nmejrbu langu liko safi kbsa
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Hongera dear
@samsonnandasaba9022
@samsonnandasaba9022 2 жыл бұрын
@@Vivianatz nashukuru
@geofreypius7657
@geofreypius7657 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️🔥🔥💯
@thadeopius5803
@thadeopius5803 Жыл бұрын
Nilikuwa nahitaj kujuaa kushonea wivin
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Nahtaji no 30
@gssenmelodious5882
@gssenmelodious5882 2 жыл бұрын
Yaan nilivyoona tuu video yako imebidi nitafut kiredio niwashe Bluetooth ili nikuelew well 🙏🙏
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
😀😀❤❤❤
@naahmkama8789
@naahmkama8789 2 жыл бұрын
❤❤❤yourhairyourbeauty
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Nahtj hii weaving ya 30 peke xake ya cinderella
@esthernabuduwa987
@esthernabuduwa987 8 ай бұрын
❤❤❤
@Vivianatz
@Vivianatz 6 ай бұрын
❤️❤️
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Inaitwaje hii weaving?
@giftchansa3892
@giftchansa3892 2 жыл бұрын
Woow
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
😍🥰
@giftchansa3892
@giftchansa3892 2 жыл бұрын
Unaweza tumia weaving flani ivi Kama alio sukiaga hamisa mobetto lile la zamani Sana aliloshoneaga
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Ndio unaweza kutumia weaving yeyote @@giftchansa3892
@giftchansa3892
@giftchansa3892 2 жыл бұрын
Asante madam
@saniasezzy9085
@saniasezzy9085 2 жыл бұрын
Vivi lazima nywele ile spring au hata streight?
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Unaweza tumia nywele yeyote dear
@upendomdaki1944
@upendomdaki1944 2 жыл бұрын
kupitia ww mama nafanya mambo mapya ad najisuka dear thanks
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Karibu dear
@beutybuzz984
@beutybuzz984 2 жыл бұрын
Hapo hivo umecrotchet kidogo hivi haviwezi kutokana ikashikwa tu kidogo ?
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Hapana dear haiwezi kutoka
@msindimalugendo8252
@msindimalugendo8252 7 ай бұрын
Unapatikana wapi? Nahitaji kushonea weave
@Vivianatz
@Vivianatz 6 ай бұрын
Sipo tz jwa sasa dear
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Ofisi zako zipo wap
@fatumamnyika617
@fatumamnyika617 Жыл бұрын
Nahitaj no zako
@violethshenyagwa6972
@violethshenyagwa6972 2 жыл бұрын
Naweza kushonea brazili wivin hivyo
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Ndio unaweza dear
@hellengeorge9722
@hellengeorge9722 2 жыл бұрын
Hii wive inaitwaj jmn
@emmakadzo437
@emmakadzo437 2 жыл бұрын
CRINGE MID
@geofreypius7657
@geofreypius7657 2 жыл бұрын
Alice 💯💯🔥
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Yes ni yeye ,asantee
@rebeccasanga605
@rebeccasanga605 2 жыл бұрын
Nice
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee
@Vivianatz
@Vivianatz 2 жыл бұрын
Asantee dear
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 Жыл бұрын
Nice
@Vivianatz
@Vivianatz Жыл бұрын
🙏❤
Updated Sew-in Tutorial | Kinky Straight Texture | ft. CurlsQueen
15:59
Duchess Braids
Рет қаралды 2,1 МЛН
Unfinished weaving for beginners each step @JANEILHAIRCOLLECTION
14:50
JANEIL HAIR COLLECTION
Рет қаралды 105 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,7 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 26 МЛН
Ela Voltou 😍 Mudança no Visual. Entrelace Sem Disfarce
14:02
Cidade Afro
Рет қаралды 613 М.
FULL SEWIN NO GLUE, NO LEAVE OUT NO CLOSURE NO FRONTAL DETAILED TUTORIAL
14:11
JINSI YA KITENGENEZA HEADBAND CROCHET WIG
12:20
Rebby wigs
Рет қаралды 4,1 М.
27 Piece Cut || No Bonding || Beginner Friendly || 3 Methods Used || 1hour.
13:50
Maurice Da Crochetmaster
Рет қаралды 877 М.
HOW TO DO:full sew in WEAVE steps to take For BEGINNERS @JANEILHAIRCOLLECTION
9:51
HOW TO MAKE A WIG WITHOUT A FRONTAL #5 | New Method AND Very Detailed
9:00
Nicole Patrick
Рет қаралды 1,6 МЛН
Entrelace Cacheado com Disfarce/ Tutorial 💗
17:16
Lalá Araújo
Рет қаралды 205 М.
WATCH ME SEW IN LACE CLOSURE ON MY HEAD ||DIY  || YOLISSA HAIR
13:40
Chide lovesyou
Рет қаралды 3 МЛН
Funny Fails 🤭🤭🤣 #failsvideo #shortsfails #funnyfails  #fails .
0:52
哈哈这些娃娃可烦人了!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:31
火影忍者一家
Рет қаралды 34 МЛН
¡Ñom Ñom! ¡Es la Hora de Comer! #pinkfongespañol
0:16
Pinkfong en español - Canciones Infantiles
Рет қаралды 10 МЛН
Сделала Сюрприз Брату После 3 лет Разлуки ❤️
0:26
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,2 МЛН