KUTANA NA MTU HUYU ANAEISHI KWA MAPAFU YA CHUMA MIAKA 70 SASA, "NI MWANASHERIA, ANA MIAKA 77".

  Рет қаралды 62,730

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 209
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Asante mungu Kwa baraka zako na kwakunipa afya na uzima,,,Asante mungu,, nakupenda mungu wangu,,naomba nawewe unipende Zaid na uzidi kunilinda na kunipigania
@muddywatown
@muddywatown 11 ай бұрын
Akikupenda zaidi unakufa 😂😂
@yohanapelecca5034
@yohanapelecca5034 Жыл бұрын
Hakika tumshukuru Mungu kwa uzima tulionao Sasa,tukumbuke kutenda mema kwa wenye uhitaji
@marysona9999
@marysona9999 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU NAOMBA UNISAMEHE BABA!😭😭😭😭
@lakaspamedia
@lakaspamedia Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/brqbo5hhuL-YcZs.html
@anethwilson545
@anethwilson545 Жыл бұрын
Mungu ni kwa neema yako tu kwamba tunaishi tukiwa na afya njema na imara jina lako lihimidiwe sana sana Nakupenda Yesu Naomba uendelee kuniimarishia ulinzi wako mimi na mwanangu
@fredrickoloo8046
@fredrickoloo8046 Жыл бұрын
Inaumiza sana wakati mtu wako wa karibu akiteseka namdogo wangu alipata ajali alilala 🏥 hospital miezi miwili bila kuzinduka niliumia sana na wakati anazinduka hakuna kitu alikumbuka wala kujua wala kuongea na siku alipoongea alimtambua mamayake only sis wengine wote bure kabisa....kilichonitesa ni bill ya hospital ila nashukuru hadi sasa anaendelea vizuri
@josephineminanisalma3792
@josephineminanisalma3792 Жыл бұрын
😢 maskini 😢 poleni sana shkuru Mungu kwakua nimzima ipo siku ata wakumbuka nyinyi ote Dah
@magdalenajoseph9910
@magdalenajoseph9910 Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu bado yupo hai.
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
Pole Sana my dear
@sopy3055
@sopy3055 Жыл бұрын
Polen sana, at least yupo na nafuu, atapona kbs muombeni Mwenyez Mungu
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Жыл бұрын
Alhamdhulillah
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 Жыл бұрын
Asante mungu kwa Afya na uzima.Asante Mungu Wangu 🙏 mungu Mwenye huruma na upendo nakuomba baba usimame na wote.🙏🙏
@pendoazizi7375
@pendoazizi7375 Жыл бұрын
Asante mungu kwa afya
@frdahkwa5483
@frdahkwa5483 Жыл бұрын
Ooooh God of mercy😢😢😢😢thank you Jesus for the gift of life and good health
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ukiamka mzima ushukuru alhamdulilah
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@lakaspamedia
@lakaspamedia Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/brqbo5hhuL-YcZs.html
@Mtumweusi35
@Mtumweusi35 Жыл бұрын
Kwel
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Tena useme subhanna wallah wabihmdi subhanna wallah llghazim.
@DidaHashim-fb8bd
@DidaHashim-fb8bd Жыл бұрын
Asant mung kwa zawad ya uhai
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
"Nisiposema neno asante nisipokiri wema wa Mungu ulimi wangu ugandamane na kaakaa la kinywa changu". Itoshe kusema asante Yesu kwa kunipa afya njema.
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
Eeh mungu wangu nashukuru sn kwa kunipa uzima huu 🙏🙏🙏❤️
@QueenLyimo-hu4dj
@QueenLyimo-hu4dj Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa neema yake juu ya maisha yangu. Mungu aendelee kuuonyesha ukuu wake kupitia uzima wa ndugu yetu huyu. Hakika sifa na utukufu ni kwa Bwana.
@aloycemathew3926
@aloycemathew3926 Жыл бұрын
Mungu mponye paka dunia ishangae. ❤ God
@josephineminanisalma3792
@josephineminanisalma3792 Жыл бұрын
Amina 🙏😢
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Жыл бұрын
Amen
@oliviermoses4041
@oliviermoses4041 Жыл бұрын
Amina
@issambonde1469
@issambonde1469 Жыл бұрын
Asante mungu kwa kutujalia afy njem tunakuomba mola wetu utukinge na kila baya utupe mwisho mwem alhmndlh amn
@praygodmunisi8999
@praygodmunisi8999 Жыл бұрын
Asante sana mwenyezi mungu Kwa uzima nilionao 😢😢
@Miss_lwambano
@Miss_lwambano 11 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema siku zote aendelee kumtia nguvu na ipo siku ulimwengu utashangaa sana pia namshukuru Mungu kwa neema hii ya uhai mzurii ni neema tu ya Mungu ahsante sana yesu wangu sio kwa uwezo wangu au akili zangu ni neema tu🙏🙏
@barakampambwe9791
@barakampambwe9791 Жыл бұрын
Ooh God i really appreciate ur presence Lord Jesus thank you for thy life and grace i grorify ur name LORD
@mawazoramazani9370
@mawazoramazani9370 Жыл бұрын
Yatupasa kumshukuru Mungu kila wakati kuna mtu anatamani ata kusimama kwa sekunde moja tu na hawezi kabisa 😭😭
@pericyjohnson825
@pericyjohnson825 Жыл бұрын
Ee Mungu wangu nakutukuza kwa kunipa uzima,nipe moyo wa kujua wewe Mungu ndo kila kitu ktk maisha ya mwanadamu
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Mungu wangu! Jehovah ndilo jina lako!Asante kwa kila kitu!
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Ukiwa mzima wa Afya mshukuru Mungu kila wakati
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Kabisa
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Aaaalllah mduliah
@user-qs9qd2ou5i
@user-qs9qd2ou5i Жыл бұрын
Asante Mungu kwa afya njema tunaomba uendelee kutupa afya ili tuendelee kukutumikia ww🙏
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Жыл бұрын
Mungu Kuna vitu anaachilia ili kujitukuza na kuonyesha yeye ni Mungu hapana mwingine ,kiburi Cha uzima Mungu tuepushe nacho ni Kwa huruma zako hatuangamii tunaishi aseee ni Hali ya uzuni.
@fashokibona1396
@fashokibona1396 Жыл бұрын
Mungu akuponye. ❤
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa neema hii uliyo nipa mpaka umri huu
@PASCALAlex-yk7ds
@PASCALAlex-yk7ds Жыл бұрын
Daaaaaa mungu amponye tu pole sana Tena sana haya yote ni mapito katika Dunia
@ellionajones1412
@ellionajones1412 Жыл бұрын
Ohoo twampa pole mwenzetu Kwa kuwa mgonjwa kwa wakati wote huo. Ila ninaweza kuwapa ushauri hakuna Jambo gumu ambalo Yesu hawezi ,ampelekwe kwa mchungaji na nabii kakande atasimama na kama hawezi kupelekwe basi mtu aende kwa niaba yake Ila ninacho just hakuna Jambo gumu mkiwa na Imani asante.
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Thank God for everything you have given to me 🙏
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH...
@saraphinasahani5104
@saraphinasahani5104 Жыл бұрын
Thank You Son Of God🙏🏾
@chotark1881
@chotark1881 Жыл бұрын
Kuna baadhi ya watu wanajisahau sana kutambua kwamba huku duniani tumekuja kwa sababu wanakuwa na roho mbaya sana kiasi cha kuzuia riziki za wengine
@saidatniyonkuru9910
@saidatniyonkuru9910 Жыл бұрын
Ya Allah nisamehe MIM muja wako kumbe nakukufuru mi sin matatizo 😢
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 Жыл бұрын
Wallah kwa kweli....Nashindwa kumalizia kuskiliza na kujikuta natokwa na machozi...Yaaa Allah tuswamehe dhambi zetu utufishe na kutuweke na watu wema
@ramadhanimwinyi-7445
@ramadhanimwinyi-7445 Жыл бұрын
Aaaamin
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 Жыл бұрын
Asante MUNGU😭😭 kwa uzima huu
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Tumshukuru sana mungu wetu kwa afya njema aman naww mungu afueni inshaalah
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@MichaelEdwrdi-jp5ve
@MichaelEdwrdi-jp5ve Жыл бұрын
Daah Mungu ni wetu sote tujaliie afya tele na uzima milele amina
@Muda27
@Muda27 Жыл бұрын
Shukrani Ziegfeld kwako Mungu Baba.
@felisterbalele
@felisterbalele Жыл бұрын
Asante mungu kwa baraka zako
@imanicharles936
@imanicharles936 Жыл бұрын
Mungu baba natubu Mimi nisamehe
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Amina
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Subuhanallh mwenyezi mungu anarehema anafanya analo taka kwa wajawake mungu amuhifadhi jamani
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Asante mwenyezi mungu kwa afya nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏
@annamadavid4152
@annamadavid4152 Жыл бұрын
Nakushukuru mungu,kwa kumtunza MTU huyu na sie ambao tuna.afya njema tuseme aminaa,sio kwa nguvu zetu Bali kwa upendo wa mungu baba.
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Subhana Allah ktk haya makafiri wajuwe wakuabudiwa ni Allah pekee yake
@Neema-lh8pi
@Neema-lh8pi Жыл бұрын
Asante mungu kwa afya njema daahh kunawakati tunalalamika nakukufuru ee mwenyezi mungu tusamehe hatujui tuyatendayo
@echimunimalikia4975
@echimunimalikia4975 Жыл бұрын
Asante mungu kwa uhai na Afya
@frankfelix3876
@frankfelix3876 Жыл бұрын
🙏🙏 Ahsante mungu muumba mbingu na Ardhi kwakunipa nafasi ya kuwa na Afya njema
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa uzima nilionao. Asante kwa zawadi ya pumzi. 🙏🙏
@husnashaheeb8756
@husnashaheeb8756 Жыл бұрын
Allah Yaqfii Alhamdulillah
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
🙏🙏 Nashukur Mungu kwa kunip afya njema
@JailosPhilbert-vd5is
@JailosPhilbert-vd5is Жыл бұрын
Yesu ninakushukuru kwa maisha na afya ii uliyonipa sina cha kukulipa mimi ninakushukuru.naomba uwakumbuke wote walio kwenye mateso wagonjwa na wenye mahitaji wakumbuke Mungu wangu.
@petronilakitonyo3716
@petronilakitonyo3716 Жыл бұрын
Ooh God thank you for the gift of life 🙏🙏
@daddysalha5883
@daddysalha5883 Жыл бұрын
Asante MUNGU Kwakunilinda
@jonasphilemon6956
@jonasphilemon6956 Жыл бұрын
Mungu Ni wa ajaabhu
@christinajisena2634
@christinajisena2634 Жыл бұрын
Nakushukuru Mungu wangu kwa uzima na rehema zako kwangu
@juliethgodfreylusaulwa2543
@juliethgodfreylusaulwa2543 Жыл бұрын
MUNGU WANGU. LKN PAUL BADO ANATABASAMU
@user-uj6lg7jf2e
@user-uj6lg7jf2e Жыл бұрын
Asante mungu kwa afya njema mimi na familia yangu🙏
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Жыл бұрын
Asante mungu kwa uzima
@deogratiusdeo6954
@deogratiusdeo6954 11 ай бұрын
Mungu ambaliki
@tatuluanda6581
@tatuluanda6581 Жыл бұрын
Asante mungu kwa kila kitu yarrab
@suzanfavour5558
@suzanfavour5558 Жыл бұрын
Baba Asante Kwa kuwa nami,na nipo salma
@jamilairakoze6600
@jamilairakoze6600 11 ай бұрын
Asante mungu na unisamehe
@usheiyhseff-bo9vv
@usheiyhseff-bo9vv Жыл бұрын
Waah ukiamuka usiku na muchana ambia mungu asante
@user-vd7ib3gq3v
@user-vd7ib3gq3v 11 ай бұрын
Pole sana jaman Allah akubalik
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
Bado kuna ngedere hawariziki kwa jinsi walivyoumbwa na wanauwezo wa viungo vyote, Asante Mungu I'm full filled.
@agnestemu8382
@agnestemu8382 Жыл бұрын
Ahsante Mungu naomba kila nikilalamika unikumbeshe baba
@azizalungo266
@azizalungo266 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa uzima
@kiambahd-kh4px
@kiambahd-kh4px Жыл бұрын
Asante mungu kwa kunpa afya njema mungu nisamahe sana kwa makosa ninayo kosea
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 11 ай бұрын
Asante Mungu 🙏🏽
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 Жыл бұрын
Ee Mungu nakushukuru kwa uzima na afya
@doreenalexander6493
@doreenalexander6493 Жыл бұрын
Maisha haya jaman Asante mungu Kwa uzima huu ulionipa🙏🙏🙏
@user-uf1cs8kv8s
@user-uf1cs8kv8s Жыл бұрын
Nakushukuru MUNGU kwa hivi nilivyo
@euniceonyango6263
@euniceonyango6263 11 ай бұрын
Thank you God for the gift of life you have given me and my family.
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 Жыл бұрын
Yuko Yesu mtenda miujiza anasema niite nami nitakwitikia
@mashapromise3364
@mashapromise3364 Жыл бұрын
Poleni sana
@sabahdaudi8128
@sabahdaudi8128 Жыл бұрын
Asante mungu
@zuchubabee5822
@zuchubabee5822 Жыл бұрын
Alhamdulillah labbraalamin 🙏
@agriparose3942
@agriparose3942 Жыл бұрын
Asante mungu naomba rehema baba
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 11 ай бұрын
Asant Mungu wangu kwa uzima huu mulionao
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Alhamduli llahi Aãla kulli Hali ya Allah Subhanallah
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Tushukuru aaallah mdulilah
@mariaagnes447
@mariaagnes447 Жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu asnte kwa afya njema
@emeldatemba3891
@emeldatemba3891 11 ай бұрын
Nakushukuru kwa uzima mungu wangu
@glorymtenga4019
@glorymtenga4019 Жыл бұрын
Thanks God for life
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Mungu fundi
@siriyangu4724
@siriyangu4724 11 ай бұрын
Alhamdulilai kull hally ashukurie Allah muweza ya yote
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Subhanalllllah
@openglo
@openglo Жыл бұрын
Mungu ni Mwema na Mwenye Rehema.
@JamesJohn-ly3xt
@JamesJohn-ly3xt Жыл бұрын
Thank GOD kwa neema ya uzima
@jemimahchiro4013
@jemimahchiro4013 11 ай бұрын
Mungu asante kwa afya njema ni ww t wakuabudiwa
@christainc.5217
@christainc.5217 Жыл бұрын
Nashukuru mungu ryisi ananirinda nafamily yangu❤❤❤
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Ni Mungu mkuu ni Mungu wa ushindi
@JanethLameck-ly8cz
@JanethLameck-ly8cz Жыл бұрын
Mungu nakushukuru kwayote
@GloryElisha-dl9my
@GloryElisha-dl9my Жыл бұрын
Yatupasa kumshukuru Mungu kila wakati, kuna mtu anatamani ata kusimama kwa sekunde moja tu na hawezi kabisa
@JailosPhilbert-vd5is
@JailosPhilbert-vd5is Жыл бұрын
Ni kweli kbs Mungu atuhurumie
@ZenorinaLyimo
@ZenorinaLyimo Жыл бұрын
Thenx God for everything
@janeongala6684
@janeongala6684 Жыл бұрын
Pole dear
@gabrielndikumana157
@gabrielndikumana157 Жыл бұрын
Mungu apewe sifa amin
@pauj9v
@pauj9v Жыл бұрын
Mungu apewe sifua kwa uzima amenipa n family yngu🙏🙏🙏🙏
@TALLUBOY
@TALLUBOY 11 ай бұрын
Amee
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Allhamdullillah lladh afan mimma bitalaqa bi wafadwal alakathr minma qhalaqa tafdhwla
@user-kd5nk6xd5h
@user-kd5nk6xd5h Жыл бұрын
Mungu wetu hashindwi na lolote
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Жыл бұрын
Alhamdhulillah
@omanmuscatmus2155
@omanmuscatmus2155 Жыл бұрын
Alihamdulliallah allah muwekeye wesi
@lakaspamedia
@lakaspamedia Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/brqbo5hhuL-YcZs.html
HAYA HAPA MATANGAZO KUMI YALIYOTIKISA MIAKA YA NYUMA, NOMA!!!
12:28
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН