Kuna wachezaji wametugharimu. ila binafsi kenedy juma anaongoza. Yaan mechi ya namungo alinikera, anafuata enock then manula
@mussandikumana356122 күн бұрын
Tangu Hadji Manara kutoka Simba wana Simba tunaumiya ni atari semaji huna bahati na Simba utanisame kusema ivo kombe bado wakati wako fanya nguvu ushirikishwe ku mambo ya kusajili wachezaji ata ushauri basi
@MussaHamadi-hl7nk21 күн бұрын
Da! Yaan wanatia huruma simba😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-zg5lg3yq9c21 күн бұрын
Simkacheze nyinyi mpate makombe wacheni kumuita mbuzi kunakupanda nakushuka ndio maisha
@beatusmajumbi712521 күн бұрын
Leo kanatia huruma haka kajamaa
@ommyjuniorjumbe332821 күн бұрын
Muone macho kama mjusi kabanwa na mlango...maneno yameishaaaaaa..Kiko wapi Makolo nyie ..wakati tuko Avic mlipeleka timu Uturuki kujaza na sijui msimu huu mtaenda wapi😂😂😂
@vivanyboy974321 күн бұрын
Simba ni kama matikiti😂
@fihirishemaadihussein612422 күн бұрын
Ahmad Ally umekuwa mpole hadi rahaaaa
@ommyjuniorjumbe332821 күн бұрын
Mbwa huyoo na ww mbwa pia ...mnabweka tu mipango zeroooo
@User255tv21 күн бұрын
Makolo fc nafasi ya 3 confirmed. Imeisha hiyooo!
@salimmalaka25621 күн бұрын
AHMEEED WACHEZAJI WANATAMANI KWENDA CLUB BINGWA YA AFRICA KWA KIGOLI KIMOJA???? 😂😂😂😂😂😂😂😂 KIGOLI KIMOJA OYEEEEEE SIMBA OYEEEEEEEE NAFASI YA 3 OYEEÈEEEEE KUFUGA MAVUZI OYEEEEE MANGUNGU OYEEEEEE TRY AGAIN OYEEEEEE MO MWIZI WA HESHIMA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@abdulkarimabdallah953620 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@josiacharles277821 күн бұрын
Mhmm kinachotoka mdomoni na kinachoongea sera yako nitofauti kabisa, sura inaonesha wazi kukata tamaa.
@user-py9qd7en5r21 күн бұрын
Mjomba anatia huluma anaongea kama mgojwa wa kisukali
@user-op7vm9mr3z22 күн бұрын
Simba kalowa leo ona anavyoo gea kinyonge msema hovyo huyu😀😀😀
@Mussasalehemussa22 күн бұрын
Huyu mbwa kati ya siku naongea pointi ni leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@thobiasmwambeta699021 күн бұрын
ZAMBI KUBWA SANA KUMWITA MWANADAMU MWEZIO MBWA ,HIVI UKIITWA WEWE HIVYO UTAJISIKIAJE
@salimmalaka25621 күн бұрын
MKUNDU WA MKEO KENGE WA KIJANI WEWE 😂😂😂😂
@josephlorri43121 күн бұрын
Utani wa vijana.. wengine wanaitana kenge,beberu.. sawa tu.
@user-wj7bu6hx5y21 күн бұрын
Utaishia kubadilisha tai tu wenzio wanabadilisha medali afu uwe unakaza sauti wewe ni mtoto wa kiume au mwanaume mazingira🤔🤔🤔🤔
@kolosii435121 күн бұрын
Endeleeni kumpigania Feisal ili afunge magori mengi.
@suleimanzimbwe37322 күн бұрын
Mm naona ww pia ni nuksi kubwa Kwa Simba yetu mnana makombe yangu Bughaat aondoke mateso tuuu ww n wa kwanza uhondoke kazi Yako n kutuaminisha tu na kuzarau tmu za NBC Kisha kina mbangula wanatudengua mavi sana ww
@nashirkamugisha942521 күн бұрын
Mwaka huu tunayo 2
@Hgd-jk6lh22 күн бұрын
Mwimbaji wa tarabu kawa mpoleee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂my wetu tumekumiss