No video

Kwanini DIAMOND hafanyi Show NIGERIA? leo avunja Ukimya,afunguka A to Z,amtaja DAVIDO kumsaidia hili

  Рет қаралды 31,302

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#diamondplatnumz #davido
Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 80
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 4 ай бұрын
Unaongea point ❤🎉
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Watanzania ambao hawajawai safari wanajua maishani niraisi akuna watu wana roho Ngumu mbaya kama wapopo all Africa guys akuna vitu raisi
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 4 ай бұрын
Wanangu Simba amelidi Tena wesimba haujui💪🙏🙏🙏💯💯💯baba lao chibu d chibude ndio wananavyo mwitaga mababy zake kubali sanaaa
@user-wi2sk8uj5s
@user-wi2sk8uj5s 4 ай бұрын
Ndio otile akasema hakuna international artist mkampinga mond amesema bado lkn Africa tumefka Bali dunia bado
@mtazycomedy
@mtazycomedy 4 ай бұрын
Nawakubar sana lakn in visual interview imekaa local sana yaan mpangilio mbovu camera man kabeba video mbovu kama anamuogopa simba
@user-jw6uz5oj6h
@user-jw6uz5oj6h 4 ай бұрын
NAPENDA UJE KUFANYA SHOW KINSHASA APANA MIKOWANI YA CONGO.
@personpeter2221
@personpeter2221 4 ай бұрын
Hakuna aman hko bro
@marinojoseph-hg5ok
@marinojoseph-hg5ok 4 ай бұрын
Kama korabo zinafanyika kwanini shoo zisifanyike🦁🦁🦁🦁
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 4 ай бұрын
Shoow kafanye wewe si mtanzania?
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 4 ай бұрын
😂😂😂​@@eliashibundabalinze2754
@jenahando2747
@jenahando2747 4 ай бұрын
@@eliashibundabalinze2754 umeongea point kubwa sana
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@eliashibundabalinze2754wewe mbumbumbuuuu
@Officialvplat
@Officialvplat 4 ай бұрын
Ukiw Nigeria medias mpk street ni 99% inatakiw zichezwe ngoma zao (sanaa yao) tu elewa hiyo ni sheria 😂
@iam_deo
@iam_deo 4 ай бұрын
Anasema Ukweli kabisa Diamond .East Africans hakuna crowd kubwa kama West Africans. any way nakuja DC Kwenye show . see you there
@wilhelmomassawe3721
@wilhelmomassawe3721 4 ай бұрын
Simbaaaa
@mtazycomedy
@mtazycomedy 4 ай бұрын
Mondi nimekuelewa ndo maana kina jaymond junior talent wapo wanaeneza kiswahili challenge
@user-cy2kb4xf1y
@user-cy2kb4xf1y 4 ай бұрын
sana kaka simbaa
@ChimpGuardian
@ChimpGuardian 4 ай бұрын
Very humble indeed lakini anajua sana 👏👏👏
@jaymandy8136
@jaymandy8136 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@piusjoaojoao1926
@piusjoaojoao1926 4 ай бұрын
We💥💥💥 sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 4 ай бұрын
Legend
@Duanny-jm8fr
@Duanny-jm8fr 4 ай бұрын
🔥🔥🙌🏽🙌🏽
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 4 ай бұрын
Kwel bro🔥🔥
@user-pz9bh3pl4t
@user-pz9bh3pl4t 4 ай бұрын
Nice
@AllyMngoya-ov8fs
@AllyMngoya-ov8fs 4 ай бұрын
Kweli baba lao
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 4 ай бұрын
Kweliii
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 4 ай бұрын
Jamaa anaakili sana
@personpeter2221
@personpeter2221 4 ай бұрын
Diamond nakukubar sana bro
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Hasomagi hizi comment mzee😂😂😂😂
@jaykawada5453
@jaykawada5453 4 ай бұрын
Hii ndio ile topa alichunwa ikaleta ngori itafutwe na ikasakwa mpaka wakaiwai.... I'm trying to look for something special about it na sioni.. Ngori jo wadau!!!
@AmmyMakita-bt4ip
@AmmyMakita-bt4ip 4 ай бұрын
Andika kiswahili vizur unatuharibie lugha
@mringoarts3710
@mringoarts3710 4 ай бұрын
😂😂Eeh kiswahili au matusi? mara ngori? Mara topa? Mara alichunwa duuh kweli Bronx ololooo
@m___ck799
@m___ck799 4 ай бұрын
Unajing'ata ng'ata😂 lakini nakupenda hivyo hivyo manaa nimemjulia my Favourite Artist kwako😁
@princejamaalvevotv2525
@princejamaalvevotv2525 4 ай бұрын
Very true, Nigeria ni Watu wapumbavu sana
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
Wapumbavu wanaongoza kwa uchumi Africa wanaongoza kwa miziki Africa wanaongoza kwenye soka kimataifa Sasa si Bora uwe mpumbavu upate hivyo vyote😂
@princejamaalvevotv2525
@princejamaalvevotv2525 4 ай бұрын
@@Oldskulgemini9991scammer ndio unawapigia domo wee dogo tulia hujui kitu
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
@@princejamaalvevotv2525 Sasa we unajua nini dogo tulia acha kuongea upumbavu nimekupa fact hapo hakuna kitu unajua dogo🤫
@princejamaalvevotv2525
@princejamaalvevotv2525 4 ай бұрын
@@Oldskulgemini9991 Amna kitu wewe bwege tuu
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 ай бұрын
@@princejamaalvevotv2525 Sasa mtu unaambiwa fact unaleta mada za ubwege we jamaa upo sawa kweli kichwani?
@fbr5113
@fbr5113 4 ай бұрын
AKILI ZAKO NI NYINGI KULIKO NANI SIJUI YULE MWENYE AKILI NYINGI DUNIANI. WE NI NOUMA
@NeyoBreezy-ie1by
@NeyoBreezy-ie1by 4 ай бұрын
Eti sio Africa uko duniani kwani uku Africa ni kuzimuni ao mbinguni
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
😂
@J_Jeromy
@J_Jeromy 4 ай бұрын
Kwan ww hujui Dunia Iko wap mpaka Sasa????
@stanslausjohn8791
@stanslausjohn8791 4 ай бұрын
Huyu mwamba ana akili nyingi sana siyo wa kumfananisha na wapuuzi
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 4 ай бұрын
Yan Kwa afrika nzima Nigeria bado ni baba waafrika kimzik
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 4 ай бұрын
Ndmn mpk Leo bad umasikini maan hujui ulitendalo
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@user-pk1yl7zt8pkweri sasa unazan uyo diamond anawawez nigeria kimuzik kwanza kwa nyimbogan izoo matikiti kudondoka 😂😂😂
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 ай бұрын
KAMA HUWEZ KUSHINDANA NAO UNGANA NAO,,,,,SASA HIVI UNASHINDANA NA RUGER SHOO ZA NJE NA PENGINE ANAKUZIDI KWENYE KUJAZA,,,ENDELEENI NA CHUKI.
@footballlove.2305
@footballlove.2305 4 ай бұрын
we ndo unachuki kwan hapo kaongea nn kbaya we msanii wako pia anaweza kuweka mikakati yake
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 4 ай бұрын
Dili na maisha ili uishnde njaa la sivyo Kila xku utachukia watu bila xabb
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 4 ай бұрын
Sisi lugha pia ni tatizo
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 ай бұрын
@@user-pk1yl7zt8p NAMCHUKIA VIP MTU HAYUPO KWENYE SAIKO YANGU YA KILA SIKU?NISIPOMUONA SISHTUKI,,NIKIMUONA SISHTUKI,,,,MSANII WENU MKALI ILA LUGHA CHANGAMOTO,,
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 4 ай бұрын
Kwann usiende wew kuijaza hizo show😅
@jayramadhan2820
@jayramadhan2820 4 ай бұрын
Toka uko kwani Burna boy sanajazaga wa zungu bila wana Nigeria kwenye shows zake ,,, u need to be creative like Harmonize and try to sing English in ur songs we are tired with Swahili songs
@Saaa235
@Saaa235 4 ай бұрын
Hunalolote mbuzi tu
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 4 ай бұрын
Wewe mweny lolote umefata nn hapa na komwe lako ilo ebu kanyeee uko masikini wee
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 4 ай бұрын
Roho mbaya kafie mbele huko
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 4 ай бұрын
Mtako wewe
@samuellubunga1728
@samuellubunga1728 4 ай бұрын
We mbuzi una lolote
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
auna lolote nigeria 🇳🇬 ndio baba kimuzik Africa 😂😂😂😂matikiti kudondoka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SADEE._
@SADEE._ 4 ай бұрын
Yan we mtanzania unatoa comment kama hiyo kwa mtanzania mwenzio na kumpa sita mnigeria
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@SADEE._ auma akili wewe ivi unazijua simba na yanga vizuri 😂🤣😂
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 4 ай бұрын
😂😂 mtoto wa kiume anaumia na mafanikio ya mwanaume mwenzake acha ushoga ww
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@eliuskamwelwe1018 🤣😂🤣mama ako anajua mm nani kwake
@robertmzizima9621
@robertmzizima9621 4 ай бұрын
K wewe
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 4 ай бұрын
Acha kujixifu kenge ww xubli uxifiwd Tako ww
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 4 ай бұрын
Una makasiriko cjui unateseka ukiwa wapy ?
@KudraMaganya
@KudraMaganya 4 ай бұрын
Chuki Hadi matakoni
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 4 ай бұрын
Usipaniki kaka
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 4 ай бұрын
Unatukana aliyekuzidi kila kitu mpaka ukoo wenu wote kipato chenu ni the theluthi
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 4 ай бұрын
Akiri aky fupi xana ka pimbi kweny maish il utoboe lazm ww Kwanza ujikubal kua unaweza af wengne ndo watafata kenge wee acha makrko kwa watu walokuzid mpaka zamb
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 32 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 39 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,2 МЛН
EXCLUSIVE   ZUCHU AMNUNULIA GARI LA ZAIDI YA MIL 20 ANJELA
6:09
Wasafi Media
Рет қаралды 4,8 М.
MR SHUWA, ATU WEZI KUMLAUMU HARMONIZE FREMASOON NI WAPENDA AMANI
21:50
GRAND MASTER SURE
Рет қаралды 20 М.
Diamond Platnumz Ft chley - ABAYEKE (Official Video)
1:45
Isalamwa_Tv
Рет қаралды 14 М.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН