KWANINI WATU WANASEMA YESU NI MUNGU | SHK OTHMAN MAZINGE

  Рет қаралды 22,640

Adil TV

Жыл бұрын

#AdilTV #ShkMazinge
kzfaq.info/get/bejne/iaeFjJZiq63clH0.html

Пікірлер: 51
@fatmazawira9626
@fatmazawira9626 Жыл бұрын
Mashaallah 🥰 sheikh mazinge Allah akupe umri mrefu inshaallah yaarabii 🤲sheikh wetu tegemeo letu
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Yesu ni Mungu.soma Yoh. 14:1-11. Kama sio Mungu mtambulishe Mungu. Mungu hawezi kujificha.sasa nyinyi mnamubudu Mungu yupo?. Maana hata mwisho Dunia atarudi Yesu hii Ina maana Yesu ni Mungu ndani ya Mungu.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashallah Allah
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hakuna wa kuushinda ukristo katika maeneo yeyote.sababu una umri mkubwa kuliko Imani yeyote.
@Truth771
@Truth771 6 ай бұрын
Usilete uongo, kabla ya Paulo kulikuwa hakuna ukiristo, na Wakati wa YESU hapakuwa na UKIRISTO. Wakati wa Musa hapakuwa na Uyahudi wala ukiristo. Uisilamu ndio Dini ya Mungu na mitume wote alimfundisha Uisilamu. Paulo ndio alieuleta ukiristo ambao ni upagani itikadi za waroma walikuwa Wana Mungu mwana na Mungu baba. Wakamtumia Yesu kwa kuwa kazaliwa bila baba, Wewe kama ni mkiristo basi unafuata upagani wa Waroma sio Dini ya Mwenyezi Mungu
@husseinguyo4929
@husseinguyo4929 Жыл бұрын
Nakupenda sana sheikh wetu mazinge nataka kuhuduria mdahalo mdahalo wa pili itakuwa lini na itafanyika wapi
@dusabearafatrwigema9248
@dusabearafatrwigema9248 Жыл бұрын
Kwa hivo mungu wenu Kristo alikufa mukamaliza sikutatu bila mungu
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hakuna mtu awezae kwenda Kwa Mungu isipokuwa Kwa kupitia Kwa njia ya Yesu. * Yesu ndiyo atakaetoa hukumu Kwa watu wote wa mataifa yote.yeyote aliebinadamu atasimama mbele ya Yesu kuhukumiwa* Wakristu hawamwamini Mtume 1. Hayupo katika Bibila 2. Hafananani na Yesu Kwa chochote.Mtume aliishi Kwa 100% kibinadamu. 3. Mtume amezikwa kama binadamu wengine. 4. Mtume hatarudi, Yesu atarudi mara ya Pili na kutoa hukumu *Hakuna kama Yesu,Mtume Hana kalenda kama manabii wengine* *Kama Yesu sio Mungu, muonyeshe Mungu,Mungu wa kweli hawezi kujificha.*
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Imani yenu Haina Cha kuongelea,Ndiyo maana mnaungelea ukristo. Ukristo haujibu kwwa sababu Ukristu umeshashinda na haushindwi na chochote. * Hakuna Nabii atakarudi ila Yesu tu.mtasimama wapi*
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 5 ай бұрын
Mbona hamueleweki mara mnamuita nabii mara mungu hamujielewi
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Allah awahid ufaham wao mdogo Allah kawawanyima hekma Allah awahid
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Жыл бұрын
😀kwawa kristo kwawo ni hivii neno ni meno kama hawana meno neno halipo kinwani 😃😁na anwani yawo haitokuwa ukristo .👍
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Kafanyeni mihadhara na SHIA mnaptumia kitabu kimoja na Imani Moja muondoe tofauti zenu. Sisi ya kwetu mtuachie misingi ya Imani yetu ni tofauti. Washibisheni waamini wenu maandiko yenu na sii kupoteza muda na Imani tofauti. Ndio maana waamini wenu wanajazana kwa mwamposa
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Hutaki majadiliano kati ya wakristo na waislamu kwanza hujasoma ISAYA 1.18?
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Mbona makasiriko hayo🤔🤔
@anafimatumla6643
@anafimatumla6643 Жыл бұрын
Unaonekana unaumia,fuatilia ukweli inaonekana umekalili ,
@kerai195
@kerai195 Жыл бұрын
Yesu siyo mungu Bali ni mtu 100%
@lilianjamson4359
@lilianjamson4359 Жыл бұрын
0
@alfredmbena1480
@alfredmbena1480 Жыл бұрын
Hapana unakosea!!!
@kerai195
@kerai195 Жыл бұрын
@@alfredmbena1480 yesu mwenyewe ndeye amesema Katina Johanna 8:40
@kerai195
@kerai195 Жыл бұрын
@@alfredmbena1480 amesema mnataka kuniuwa meme mtu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
Mbona maandiko mengi tu yanakataa uungu wa Yesu kwny biblia mbona wakristo mna macho lakini hamuoni lakini?
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
MTOTO ANASEMA SASA MNATAKA NINI . MAKAFIRI.
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Жыл бұрын
Kafiri ni huyo shehe wenu asiyejitambua mmekalia umaskini mbaka kufa kwenu mbwa nyie
@benicarsonn457
@benicarsonn457 Жыл бұрын
Ila njaa ni mbaya sana at 25-12-37 ni siku ya msamaha ktk Israeli, kwanza lazima aelewe evilmerodaki ni mfalme wa babeli ( mosolu Iraq) sio Israeli pili enzi hizo yesu hajazaliwa hivyo anadanganya, hafu waisramu wajinga wanafrahi,
@jumaacount8189
@jumaacount8189 Жыл бұрын
Jiheshimu nenda kakae nae ukatoe duku duku lako
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 5 ай бұрын
Wewe ndio mjinga mmeweka picha za mcheza cinema za x yule ndani mnasema mungu
@benicarsonn457
@benicarsonn457 Жыл бұрын
Huyu jama ni mwongo sana, lakini sio mbaya maana hajasoma dini , ni mha kutoka kigoma na hana kazi maarumu anashinda kariako kwenye kijiwe cha shule ya Uhuru akinywa kahawa ili aongoze mzunguko wa damu, huyu mazinge na Ibrahim ni watoto sana wa elimu ya dini,
@ritasheriff7814
@ritasheriff7814 Жыл бұрын
Ikiwa yesu alikuwa akiomba Mungu pia Ni Mungu gani aliyekuwa anamuomba hali Yeye ndio Mungu? Tokeni kwenye ujinga Mumtafute Mungu wa kweli. Yesu yeye ni mtume kama mitume wengine japo alizaliwa bila baba. Mwenyenzi Mungu ndie muweza na anaetawala mbingu na ardhi.
@benicarsonn457
@benicarsonn457 Жыл бұрын
@@ritasheriff7814 Rita wewe hujui maandiko, yesu amekuepo kabla ya ulimwengu kuepo, akiwa mwana wa Mungu, hivyo manabi wote waliamini kuwa yesu ni mwana was Mungu isipokua huyu asiejua kusoma na kuandika, aliefundisha kuwafira wanawake nyuma, soma qruan2:223 mayunga,, hafu huyu ndio mtume kituko alieye oa mtoto wa miaka 6, na akapola mtoto wake mke,, akasema ati shetani ni muusiramu, soma asili ya majini UK 20
@salumuhamza
@salumuhamza Жыл бұрын
@@benicarsonn457 ww beni sogea kwenye muhadhara acha kulalamika na kutoa kashfa unajua maneno ya mungu yako wazi acha kuandika ujinga kayaseme haya maneno kwenye mhadhara
@salumuhamza
@salumuhamza Жыл бұрын
Hapo ukweli uko wazi sema tu watu wameshaweka misimamo yao lakini inaeleweka kua mungu na yesu ni vitu viwili tofauti
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Жыл бұрын
@@salumuhamza Yesu ni mwana wa Mungu aliyerumwa kwenda kukomboa watu walio na dhambi msibishane vitu ambavyo amvijui
@barakafondo8090
@barakafondo8090 Жыл бұрын
Tafuta kazi ufanye mbwakoko wewe
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Pôle wee unaita mtu mbwa🐕hasira yako ita leta haki ya mwenyezi Mungu.uliumbwa mtu wewe usipo muabudu ALLAH UTAKIONA chamoto baada ya kufa utajua kila kitu
@halimaomar3280
@halimaomar3280 Жыл бұрын
Dini ipi inayosema uite mwanadamu mwenzako mbwa au mnyama??
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
@@halimaomar3280 hakuna ila nikimbri cha roho ya wanadamu
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 81 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 45 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН