Hongera sana kwa utume huo. Ila kwa mujibu wa kanisa katoliki uimbaji ni lazima uiface altare. Si utaratibu hata kidogo kuigeuzia mgongo wenzetu wa makanisa mengine hilo la kawaida
@mawazochafumbwe57882 жыл бұрын
Hongereni sana wanasecilia, my lovely choir!! Keep on moving in praising and pro claiming the Word of God!!
@mussaananiasmyonga7272 жыл бұрын
Hongera Sana wanasecilia makuburi kwa kuja Njombe.tumefajika
@patriciaburure28512 жыл бұрын
Hii kali kuliko
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Safi sana Wanasecilia ..Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda
@adventinangumba8332 жыл бұрын
My choirs big up
@nenamyedominick17392 жыл бұрын
Tusambaze upendo ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
@rusiyusuph53892 жыл бұрын
Yan wameliamsha kanisa mpka watu tukajihisi tuko mbinguni
@macharosandra94672 жыл бұрын
Jamani huyu wamanyanga👌 duuuh, hakika Roho Mtakatifu anafanya kazi ndani yenu 🙏
@csato94152 жыл бұрын
Hakika huyu anafanya kazi njema sana, hasa pale anaposhtua kidogo nafurahi na kubarikiwa sana.