Рет қаралды 70,815
Maisha yetu hapa duniani ni ya muda tu. Sote tupo kwenye safari ya uzima kuelekea mbinguni ambapo ndipo nyumbani kwetu.
Karibu kutazama Wimbo ulioimbwa na Kwaya Mbili Kuijua Nauli ya Safari ya Uzima.
#Safariyauzima
WIMBO: SAFARI YA UZIMA
WAIMBAJI: MT. Mbaga Tuzinde - Mt. Secilia Makuburi
MTUNZI: A. J. MYONGA
AUDIO & VIDEO: GLS