Tumsifu wanakwaya na sana familia wote wa Parokia ya Sakharani. Pongezi nyingi sana na hongereni sana yaaani hii nyimbo mmeitendea kazi safi sana, Nawapenda wote tuonane parokiani
@mfawidhideals5 ай бұрын
Hongereni wanasakarani. Kwaya imetishaa
@user-di3tp4zq7n5 ай бұрын
Hongereni najisikia nyumbani mnanikumbusha mbali
@farajapriscus70895 ай бұрын
Wanakwaya wote kutoka sakarani mmetisha hongereni sana❤❤
@salomemtandauya-ey5uv5 ай бұрын
Dada kristine unajua kukonda Kk Do.. umedunda ka goma sawa sawa, safi sana mpg kinanda safi sana nawaona kwesine hamkurudi nyuma Wanakwaya wote juuu ..
@LeahMsangula20 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@farajapriscus70895 ай бұрын
Mpiga ngoma hongera sana nimeipenda hiyo
@user-di3tp4zq7n5 ай бұрын
Namuona mjukuu j Kika nakinanda na da Christina na mwl paskal