KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)

  Рет қаралды 166,903

KKKT - DMP USHARIKA WA WAZO HILL

KKKT - DMP USHARIKA WA WAZO HILL

Жыл бұрын

KKKT - DMP WAZO HILL
KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)]
TUFUATILIE KUPITIA MITANDAO YETU:
INSTAGRAM - / kkkt_wazo_hill
FACEBOOK ACCOUNT - / 100069093037456
FACEBOOK PAGE - / kkkt-wazo-hill-dmp-103...
KZfaq - / @kkktwazohill
WEBSITE : www.wazohillparish.or.tz/
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 653 659 110
Barua Pepe : wazohillchurch21@gmail.com
#kkkt #dmp #kkktwazohill #kkktkijitonyama #kkktmbezibeach #kkktkimara #azaniafrontlutheranchurch #upendomedia #upendotv #love #mungu #god #yesu #jesus #religion #spiritual #faith #dayosisi #dayosisiyamashirikipwani #ibada #pasaka #live #mubashara #wazo #wazohill #kinondoni #tanzania #eastafrica #africa

Пікірлер: 145
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 16 күн бұрын
Aisee huu wimbo mimi kama mKKKT naupenda sana kwakweli,aisee aliyeleta huu wimbo na hii notem MUNGU AMBARIKI SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@brantywilson1347
@brantywilson1347 3 ай бұрын
Bila hiyo sauti ya 4 wimbo usingenoga....you made my day! Waao!
@SaraMaphie
@SaraMaphie 3 ай бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki kwa wimbo mzuri na sauti nzuri
@brysonjohnlukumay
@brysonjohnlukumay Ай бұрын
Namkumbuka Mama yangu alitangulia kwa Mungu,huu wimbo aliupenda sana,Mungu endelea kumhifadhi Mama Yangu mahali pazuri hadi siku nitakayomuona tena,AMEN
@merceulomi4003
@merceulomi4003 Жыл бұрын
Mungu wangu najisifia mno kuwa mluteri jamani nyimbo zetu ni za Utukufu na injili tuuu oh hleluia Bwana
@DastanKitojo-bo1cc
@DastanKitojo-bo1cc 3 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ila besi halikupendeza
@ericsababu8825
@ericsababu8825 16 күн бұрын
All voices are clear amazing.
@JordanBegumisa
@JordanBegumisa 2 ай бұрын
Mungu wangu wambinguni awatunze hakika Wimbo umenifanya nabubujikwa namachonzi umenikumbusha mbali sana Mungu awatunze.
@francescammari5337
@francescammari5337 Ай бұрын
Kila nikiliza wimbo huu napata aman na roho mtskatifu kuwepo na kutawala Hongera saaana baba kwa sauti yako ya 4
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Ooooh haleluya hizi ndizo nyimbo zinazompa MUNGU wetu UTUKUFU na uwepo wake unalijaza kanisa
@TinnahJatros
@TinnahJatros 2 ай бұрын
Neno lako ee yesu linanipa uzima nikifika nitaimba umeniponya🙏😭
@latiaelimbise8584
@latiaelimbise8584 Жыл бұрын
Wimbo huu kiukweli ukiwa nahuzuni faraja inarudi.pia miaka ya 1963 Dunia ilikuwa na Amani kubwa Mno Mbarikiwe sana Wazo Amen
@francescammari5337
@francescammari5337 Ай бұрын
Mungu akutunze saana baba sauti yako ya 4 ni nzuri mno mno kwa ujumla mnaimba vizuri sana Neno lako eeeeh Yesu
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 28 күн бұрын
❤❤❤❤ I 😢😢😢 huu wimbo nafurahi hd na Lia haswa kipindi hiki nilichompoteza mdogo wangu ghafla wakiwa wanapenda kumzika upareni alafu kwenye ajali akafa peke yake uwiii mungu awa bariki kwakutupa vitu adim
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 16 күн бұрын
Pole sana mamaaa
@rhodanangoma7386
@rhodanangoma7386 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana sana! nimekumbuka nyumbani
@emmanuelidafa2974
@emmanuelidafa2974 11 ай бұрын
Hongera sana Elihudi Emmanuel kwa kazi nzuri mngeuimba tena u control sauti ya 4 kwenye Mike. Zaidi mbarikiwe kwa ubunifu wa Kiwango cha juu cha uimbaji wimbo huu. Sichokagi mana niwimbo wangu wa Kipaimara tuliingia nao na Trapet miaka hiyo. Nakuelewa kwa kazi hizi
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 Жыл бұрын
This is not just like a song is a powerful prayer. Am not kkkt but I like all team Jesus. Am proud being team Jesus from Catholic
@MargarethKisse
@MargarethKisse 7 ай бұрын
Nakupenda wimbo huu ninataka kuingia mjini Kwa Mungu
@user-hv3gr9hs2n
@user-hv3gr9hs2n 9 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali mungu awabalik sana muda wenu sibule mungu ata walipa
@augustinenjengwa7515
@augustinenjengwa7515 Жыл бұрын
I like the base leading,am blessed
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 Жыл бұрын
Kabisa
@williamnyaga6094
@williamnyaga6094 6 ай бұрын
Hongereni sana aise satu tamu mno ,, I love it so much 💓🔥🔥🔥💕💕💕
@francescammari5337
@francescammari5337 Ай бұрын
Hongera sana Baba yangu kwa kumuimbia Mungu na Kwaya nzima
@allanngowi9015
@allanngowi9015 Жыл бұрын
Home sweet home !! Mmenikumbusha nyumbani ❤❤❤
@annaikungu6429
@annaikungu6429 11 ай бұрын
😢😢huu wimbo umenikumbusha siku namzika Baba yangu😢😢 pia unanifariji sana
@kimanzitunzi4600
@kimanzitunzi4600 Жыл бұрын
Mwimbaji na Mike ana base Safi lakini ameiweka karibu sana
@leslietewe5520
@leslietewe5520 5 ай бұрын
Ukiusikiliza wimbo huu kwa umakini unisikia hisia nzito moyoni!! Kuna wadada wawili wanaimba kwa hisia kali hadi machozi yanatiririka!! Hongera sana kwaya nzima!!
@gracenyanchama9869
@gracenyanchama9869 9 ай бұрын
Kwaya nzuri na sauti nzuri sana ,hongera sana watumishi wa Mungu ,
@solomonkingu3837
@solomonkingu3837 9 ай бұрын
Ni wimbo unaonipa faraja kubwa Sana! Mungu awabariki
@joelrushima6487
@joelrushima6487 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
@eliawonylauwo1005
@eliawonylauwo1005 Жыл бұрын
Well sung song by it when sung in truth and spirit it can open the heaven showers of blessings Steven Lauwo
@elamungairo4785
@elamungairo4785 11 ай бұрын
Hiyo ndo KKKT OG. Hadi raha. Hongereni sana
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 ай бұрын
Ameen
@dennisondari94
@dennisondari94 6 ай бұрын
The bass is so powerful and beautiful. I love the melody
@ronn3340
@ronn3340 Жыл бұрын
Angelic voices praising mighty God in heaven. God the son in control of his flock! Receive the praises.
@inesmtoi7344
@inesmtoi7344 Жыл бұрын
Huu wimbo aisee... Ukiuimba kwa kuutafakari lazima utoe machozi, anyways mbarikiwe Sana wazo hill, nawapendaga Sana ila huyo aliyeimba sauti ya nne ameharibu ladha halisi iliyotakiwa kwa Susi wasikilizaji not nyngi haziimbi kwa usahihi na Mic kaiweka karibu Sana imeharibu harmony ya muziki..mwalimu pokea maoni Haya uyafanyie kazi, NAWATAKIA HUDUMA NJEMA
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Asante tumepokea mawazo yako mpendwa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 16 күн бұрын
@@kkktwazohill napendekeza uimbwe upya ndio muuapload bila huyo wa base
@magorimagori9264
@magorimagori9264 Жыл бұрын
This is my fav song of all
@mmbandomacky2117
@mmbandomacky2117 Жыл бұрын
well sing ,good dressing all are smart.....barikiweni sana
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Mmeimba vizuri sanaa Yani Siku nyingine huyo aliyeimba ameshika maiki msimpe tena maiki kaharibu Radha yani
@simonmusyimi2209
@simonmusyimi2209 5 ай бұрын
Hongereni sana..mpiga kinanda kafanya kweli pia
@lizben1150
@lizben1150 4 ай бұрын
Wimbo mtamu sana.barikiweni sana
@user-xy8co8uo1w
@user-xy8co8uo1w Ай бұрын
Hongreen sana
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 Жыл бұрын
Touching song ever. Hongereni sana
@ceciliampamila2000
@ceciliampamila2000 3 ай бұрын
Hongera sana Kwaya ya umoja. Sauti yako njema Teacher Erick nimekusoma # Kwaya ya wanawake msasani
@SaraMaphie
@SaraMaphie 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@richardkirenga1112
@richardkirenga1112 7 ай бұрын
Huyo wa sauti ya 4 ndiye aliyenogesha huu wimbo kiasi hiku ,kiongozi naye da yuko vizuri mno mno wimbo wa nguvu sana
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 ай бұрын
Kabisa mtumishi, Sauti ya 4 nzuri na yakuvutia imenibariki sana.. Mwisho wa siku wote wameniambia vizuri sana.. Katika maisha yangu hapa duniani hii ni kati ya nyimbo zilizonibariki
@wintyapamawalla2539
@wintyapamawalla2539 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana mmeimba vzuri sanaaa
@ceciliakingazi6792
@ceciliakingazi6792 9 ай бұрын
Yesu ananiambia uningojee😢🙏🙏🙏🙏
@monicamwary8240
@monicamwary8240 11 ай бұрын
Very touching song i like it
@NdindaKioko-jv5fy
@NdindaKioko-jv5fy 2 ай бұрын
Hizo ndizo nyimbo tunafaa kuimba barikiweni sana
@evajestcaemmanuel6456
@evajestcaemmanuel6456 11 ай бұрын
Hongereni sana waimbaji ....
@rahelmdoe3460
@rahelmdoe3460 Жыл бұрын
Hongelen sana mmenikimbusha mbali
@elinamnatai9990
@elinamnatai9990 11 ай бұрын
Mungu awabariki
@MargarethKisse
@MargarethKisse 7 ай бұрын
Baba hongera sana Kwa sauti ya nne
@MargarethKisse
@MargarethKisse 7 ай бұрын
Naupenda wimbo huu
@user-vf5yl6yg6n
@user-vf5yl6yg6n Жыл бұрын
Congratulations 👍👍👍
@lanesmkemwa2718
@lanesmkemwa2718 Жыл бұрын
Stay blessed Wazo Hill
@edwardmkaro2021
@edwardmkaro2021 Жыл бұрын
Hongeren kwa huduma nzuri
@godluckmasawe2173
@godluckmasawe2173 Жыл бұрын
Mwimba bezi umenifuraisha sana mungu awabarik
@jimmymassam8657
@jimmymassam8657 11 ай бұрын
kuna mahali anahama kuimba sauti ya tatu but very good
@SeaRockinvestments
@SeaRockinvestments Жыл бұрын
Barikiweni mno tumebarikiwa sana na wimbo huu.
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Amen
@EuniceMalisa
@EuniceMalisa 2 ай бұрын
Hongeren I sana 🙏🙏🙏
@lameckkitiku
@lameckkitiku 2 ай бұрын
Barikiweni sana mpo vizuri sana
@user-fh8zr4ki4g
@user-fh8zr4ki4g 2 ай бұрын
Hongeren sanaa
@SilasMbise-bp4ph
@SilasMbise-bp4ph Жыл бұрын
Jaman hyo ndo kkkt dah hakika
@busaraclemence4447
@busaraclemence4447 11 ай бұрын
mmeuaa sana🤗
@didanitondi1158
@didanitondi1158 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@didanitondi1158
@didanitondi1158 8 ай бұрын
Mbarikiwee sanaaa ❤❤❤❤❤❤
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 Ай бұрын
Bass safi sana
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk Жыл бұрын
Asante waimbaji nimeguswa
@theodorajohn9474
@theodorajohn9474 10 ай бұрын
Halelujah
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Жыл бұрын
Kaharibu sana aliyepo kwenye 🎤
@user-ui1nl5jm2l
@user-ui1nl5jm2l 2 ай бұрын
Hamna kitu hiyo bes ameharibu khaaa
@joelsamwel2580
@joelsamwel2580 Жыл бұрын
Uyo aliye imba na mike amezingua sanaaa alafu maneno hajashika
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Sawa Mpendwa, tumepokea ushari. Asante kwa maoni.
@vincentgodlisten1434
@vincentgodlisten1434 Жыл бұрын
aloshika maiki kaharibu wimbo, wengine wote waliimba sawa ila yeye aliimba anachojua yeye
@happyjanuaryfusi1145
@happyjanuaryfusi1145 Жыл бұрын
Hongereni waimbaji mmeimba vizuri
@julietymartin1739
@julietymartin1739 10 ай бұрын
Huu Mwimbo unanikumbusha Baba yangu alivyokuwa anaimba yaan Tena huyo Baba anayeimba hapo kwa sauti ananipa Faraja ya kwamba Niko na Baba yangu mzazi kabisa Mungu endelea kumpunzisha kwa Amani Mzee Martin ameacha alama nzuri Duniani😢😢 Mkono wako unishike nisianguke najiona kuwa mnyonge Nuru mwake. ×2 Neno lako eee Yesu linanipa uzima Nikifika nitaimba umeniponya×2
@nelsonlugaimukamu6611
@nelsonlugaimukamu6611 9 ай бұрын
Kumuenzi ni kuishika na kuitetea Imani.....
@msewelutheranchurchchoir
@msewelutheranchurchchoir Жыл бұрын
Amen, Mungu Awabariki
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Amen
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
Mwenye mic jamn karibu ladha ya wimbo sana ,
@georgejumaa9672
@georgejumaa9672 Жыл бұрын
Kwa kweli nahisi roho wa Mungu yupo mahali hapa. Wimbo huu huniletea kumbukumbu za mazishi ya shangazi yangu.......NIKIFIFIKA NITAIMBA UMENIPONYE!
@JordanBegumisa
@JordanBegumisa 2 ай бұрын
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 ай бұрын
SAUTI YA 4 , SAUTI YA 4 , IMENIBARIKI SANA SANA, WAIMBAJI WOTE PIA WAMEIMBA VIZURI SANA SANA PIA.. HII NI KATI YA NYIMBO ZITAKAZO BAKI KWENYE MOYO WANGU HAPA DUNIANI..
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 3 ай бұрын
😂Huyu wa Bass yuko vzr sana , ila pumzi taab kidogo😅 Congrats Umoja Choir
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
♥️♥️😢♥️👏🇮🇱🇹🇿 Huwa najisikia Raha sana ndani yangu wimbo huu ukipigwa Ibada I.
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Share link na wengine wapate kubarikiwa Mpendwa.
@matendokadinde6533
@matendokadinde6533 Жыл бұрын
Barikiwa Sana wahubiri kwa njia ya nyimbo
@user-zi3nf8eo9g
@user-zi3nf8eo9g 8 ай бұрын
Ni wimbo mzuri unipa ujasir
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Woow
@godfreypeter4630
@godfreypeter4630 Жыл бұрын
Hakika wimbo unagusa mioyo ya watu,barikiweni sana!!!!🙌🙌🙌
@innocentmassao3903
@innocentmassao3903 Жыл бұрын
Huyo wa mike amebaribu
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Sawa Mpendwa, tumepokea ushari. Asante kwa maoni.
@aminanialice4435
@aminanialice4435 Жыл бұрын
Huu wimbo nikius🎉ikiliza kwa tafakari na jinsi ulivyoimbwa nabatikiwa sana maana ni kweli naona mimi siwezi peke yangu pasipo UWEZA WA YESU KRISTO KWELI NATAMANI SANA kufika kwa baba ila bado najikongoja nautafuta uso wa Bwana. YESU KRISTO NDIE MSAADA WANGU.
@aaronswai6935
@aaronswai6935 Жыл бұрын
Mungu wabaruki KKKT WAZO HILL na kuzidi sana 🙏🙏🙏
@kwayamtgregorymkuubariadi-1940
@kwayamtgregorymkuubariadi-1940 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuimba VIZURI
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Katika uimbaji haitakiwi kusikia sauti ya flani. Inatakiwa kusikika sauti ya 1, 2, 3 na 4. Ukiimba usifunike sauti za wengine.
@RevCharlesJPeter
@RevCharlesJPeter Жыл бұрын
Asante. Kama walivyosema wengine, kwa taaluma yetu ya muziki, mtu ambaye sauti yake ni kubwa, pana au nzito huwa hawekewi maiki. Hapo base ameonekana kama yeye ndiye Solo. Otherwise, grateful!!!
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Epukeni kutumia mic kwenye set songs za halaiki. Jifunzeni kuimba sauti bila mic. Ona sasa utamu wote wa wimbo umemezwa na huyo jamaa anayeimba bass nadhani yupo karibu na mic. Kwenye uimbaji wa halaiki Kila sauti inatakiwa isikike kwa ratio. Otherwise hongereni kwa dressing code na utulivu wa kiibada. Ni Mimi ndugu yenu mkatolikiki
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
Nikweli kabisa,
@theodorajohn9474
@theodorajohn9474 Жыл бұрын
Mpo vzr mbarikiwe
@gehartuhagile5178
@gehartuhagile5178 8 ай бұрын
Jaman kwann mlimpa mic huyo wa bass huo niuimbaj wawap sijapenda kabisa
@busaraclemence4447
@busaraclemence4447 8 ай бұрын
ukijakujua muziki utamuelewa hahahahaaa
@Amatha_K
@Amatha_K Жыл бұрын
Huyo kwenye microphone🎤🎤 daaah😞😞
@istudiohimo2113
@istudiohimo2113 Жыл бұрын
Wimbo mzur ila aloimba sait ya nne akasikika peke yake yake kaharibu utamu wote wa wimbo
@blessednassary8432
@blessednassary8432 Жыл бұрын
Kwa kwl kaaribu wimbo, ni kama ameforce solo ivi
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Sawa Mpendwa, tumepokea ushari. Asante kwa maoni.
@lucaseben4914
@lucaseben4914 2 ай бұрын
Huyo bas kameza woote anasikika zaidi hivyo uwekeni vizuri
@gideons5265
@gideons5265 Жыл бұрын
Huyo anayeimba mwenyewe kwa mike anaharibu wimbo. Na tena haimbi sawa na noti zilivyo
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Sawa Mpendwa, tumepokea ushari. Asante kwa maoni.
@franklema2008
@franklema2008 Жыл бұрын
Mbona kama anaimba sahihi sauti ya nne?
@lothawilliam7688
@lothawilliam7688 Жыл бұрын
Microphone huwa inawekwa kwa mbali kidogo Kama Ni nyimbo ya pamoja otherwise sound system haijakaa sawa, bass iko juu Sana inafunika sauti zingine
@SeaRockinvestments
@SeaRockinvestments Жыл бұрын
Haya wataalam wa mziki no eneo lenu kutoa ushauri mini kiboreshwe ili Jina la Bwana liendelee kuinuliwa
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Sawa Mpendwa, tumepokea ushari. Asante kwa maoni.
@MartinChedy
@MartinChedy 29 күн бұрын
Sauti ya nne ni haba sana duniani hawa wamebahatasha kuwa na mtu mmoja tu mwenye kipaji ktk sauti hiyo
@beatusnsiima8005
@beatusnsiima8005 7 күн бұрын
Ni tatizo hilo, kundi ni kubwa hakutakiwa kusikika mtu mmoja akiwameza wenzie, amesogelea kinasa sauti peke yake,
@tombaroz9976
@tombaroz9976 2 ай бұрын
Good singing bt huyo Jamaa wa base pooo
@maramsenga4431
@maramsenga4431 Жыл бұрын
Huu wimbo ukiimbwa kwa roho lazima utoe machozi una uhalisia mno
@kkktwazohill
@kkktwazohill Жыл бұрын
Share link na wengine wapate kubarikiwa Mpendwa.
@lanesmkemwa2718
@lanesmkemwa2718 Жыл бұрын
Hakika
@SilasMbise-bp4ph
@SilasMbise-bp4ph Жыл бұрын
Mungu wabariki
@leslietewe5520
@leslietewe5520 Ай бұрын
Ukiwaangalia wanakwaya wenyewe wakiimba makini kiroho na wengine wanatokwa na machozi!! Umeimbwa kwa hisia kali sana!!
@GenesPeter
@GenesPeter Ай бұрын
Nooo kwaya lazima sauti zibalance hiyo ya 4 inakera as if yy ndo important kuliko wote!
@hoseaobedi7960
@hoseaobedi7960 8 ай бұрын
sauti ya nne dah
NINATAKA KUINGIA  - MSEWE LUTHERAN CHURCH CHOIR
6:36
MSEWE LUTHERAN CHURCH CHOIR
Рет қаралды 70 М.
KWAYA YA UMOJA - HAYA EE MOYO WANGU [TUMWABUDU MUNGU WETU (257)] (KKKT WAZO HILL)
4:07
KKKT - DMP USHARIKA WA WAZO HILL
Рет қаралды 25 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 109 МЛН
Bwana Upepo Wavuma - The Silvercord
5:46
SILVERCORD SINGERS
Рет қаралды 116 М.
TMW 154 - NINATAKA KUINGIA (Amazing Performance)
4:25
Eliud Shangali
Рет қаралды 11 М.
NINATAKA KUINGIA -154
3:44
Gwakisa Mwaipopo
Рет қаралды 155 М.
Strathmore University Chorale on tour of RSA Ninataka kuingia
3:25
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH  IBADA YA JUMAPILI 30 JUNE 2024
2:43:08
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Рет қаралды 2 М.
NIMESOGEA BY PAUL MWANGOSI  [OFFICIAL VIDEO]
14:13
Paul Mwangosi
Рет қаралды 619 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 4,9 МЛН
Ninataka Kuingia mjini kwa Mungu @ministerjeremyjeradi254
4:24
Shekinah Global Media
Рет қаралды 63 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН