Namshauri asiende Simba na Azam Aende Yanga Sc atajifunza vitu vingi kutoka kwa akina Bacca na job, then anaweza pata mechi za kucheza akionyesha juhudi na nidhamu, hata nondo alikuwa hivyo ila sasa yuko vizuri, kuna timu ilimchukua mlipili kutoka coastal ikashindwa Kumjenga akapotea
@user-pi2oh4on7l3 ай бұрын
Akina dombia wamejifunza nn
@mwanangusana2 ай бұрын
@@user-pi2oh4on7ldoumbia alikimbia kabla hajamaliza lesson
@wahidaali77302 ай бұрын
Ww acha ukuma utopolo ww asiende simba aende kwa mama yako
@mwanangusana2 ай бұрын
@@user-pi2oh4on7l wamejifunza mengi tu ..... Saiv wameenda kutoa somo kwao Mali ni walimu wa wenzao huko