watanganyika wanajua sana kuongea kuliko kufukiriii ..hii hali iko hivyo jamaaa anatujua sana watanganyika 😂😂😂
@GibsonNtamamilo22 күн бұрын
Uko sahihi sisi huku Tanganyika ni talk talk sana.😂😂😂
@lawlencekalenga421223 күн бұрын
Hongera ww ulijariwa kuongea huku ukifkr bna!ila unapoongea kwenye media chunga mdomo wako
@lawlencekalenga421223 күн бұрын
Unamaanisha watanganyika wote tunaongea bila kufkr aisee !
@jumaseifally633722 күн бұрын
Hapa watanganyika ni wapi jamani? Hamna nchi inaitwa Tanganyika haipo enzi za mkoloni kila Kanda ilikuwa nchi
@homedevices-we3bn23 күн бұрын
"Watanganyika wanaongea sana kuliko kufikiri", bonge a dongo.
@ismailhassan520924 күн бұрын
Acheni kujichosha Viongozi wa Coastal, Simba imesajili kila mchezaji na mbadala wake mmemchelewesha Lawi kwenye neema mnamzushia Ubelijiji si mumwambie kuwa mnamtake shirikisho ili awasaidie angalau mzunguko wa kwanza wa shirikisho