No video

LEMA AMVAA MAKONDA MKUTANONI, ATANGAZA KUTOKUOGOPA TENA "ANASUMBUA WATU"

  Рет қаралды 28,747

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 231
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f Ай бұрын
Rema hapo kwa makonda mtakaa chini tu kushindana na makonda ni sawa na kujilisha upepo hamumuwezi ni mtu mwenye kipaji na karama ya ajabu kutoka kwa MUNGU❤❤❤❤ makonda
@irenemollel4363
@irenemollel4363 Ай бұрын
Makonda ana karama gani😂 mpuuzi sana wewe. Akili huna wewe
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Ай бұрын
Anasema kwamba et vijana wanakuwa wezi kutokana na maisha magumu kwani marekani wezi hawapo na marekani ni nchi tajiri?? Tabia ya wizi ni moyo wa mtu sio umaskini.
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Kuna tamaa na Njaaa. Wezi wengi wa kitanzania wezi wa njaaa na sio tamaa
@ConfusedFrog-lc9db
@ConfusedFrog-lc9db 28 күн бұрын
Usiupalilie unafki
@elviswebbo1164
@elviswebbo1164 Ай бұрын
Bahati mbaya umekuwa mbunge wetu Kwa miaka 10 lakini hakuna Cha maana ulichofanya mzee Lema....hawa wanasiasa ifike mahali mjue tunajua mnawatafutia watoto wenu chakula.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Wewe jitambue at kifanyaa nn wakati yeye akiomba bajetii kwa ccm awa toi ela Kila ukiomba Wana toa haadii Sasa ata uwe mbunge Ina saidia nn sio lawama zakee izooo vip uliona mpina walicho mfanyia au uwangaaliii
@user-le1gv4wb1n
@user-le1gv4wb1n Ай бұрын
amnaa kitu hapaa huyuu ni siasaa za njaaa tu
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Ай бұрын
Mujinga ni Gabo hakuna mbunge yure, rema piga misumari
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Akili yako imeganda yy ilikua kusimamia serikali itoe hela ambayo ni mapato ya kodi za wananchi yafanye utekelezaji wa miundombinu na serikali haitaki inapeleka kwenye misafara ya kichama na kiserikali iliyopo madarakani , mwananchiii amka utajikojoleaaa🎉
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 Ай бұрын
Kumbe basi bora apewe mbunge wa ccm ambaye atasikilizwa kwa maneno yako uliyoandika​@@RomanMwinyi
@Lushinge27
@Lushinge27 Ай бұрын
Maneno mengi hamna hata Cha maana ww si ulikuwa mbunge hapo Arusha ?, umefanya nini Cha maana Cha kutushawishi
@JacksonTemba
@JacksonTemba Ай бұрын
Makonda mtu na nusu ❤❤
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Huo umtu unaouona wew ni kwa sababu ya umaskini anaousema Lema , unayaona mamb kwa udogo kwa sababu unaangalia kushiba tuu
@JacksonTemba
@JacksonTemba Ай бұрын
@@ayoubsanga315 unataka nani akuletee utajiri baba, piga kazi kama unaona boda sio kazi ni umasikini, jikwamue huko ufanye kazi zingine, hata kufuga, kulima pia ni kazi mkuuu
@JacksonTemba
@JacksonTemba Ай бұрын
@@ayoubsanga315 jitahidi sana mtu asikufunze kuzarau kazi yako mwamba,
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@JacksonTemba mtu na nusu nyumbani kwenu
@mussakiligaliga4348
@mussakiligaliga4348 Ай бұрын
Wewe muongo na ni mnafiki mvunjifu wa amani kazi zipo watu asie na kaz mvivu wewe unahamasisha vijana wasifanye kaz
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 Ай бұрын
We pumbavu sana achana na Makonda WETU pumbavu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@hawakazimoto2949 mpumbavu ni wewe na huyo mfoji vyeti bashite
@elimishanyamoga6797
@elimishanyamoga6797 Ай бұрын
Makonda na ww wote wangese
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Ай бұрын
Yan hili lijamaaa kila cku sera yake n boda boda😂😂
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
@@Ibrahim-ne3in lema mahubiri yake ni usenge tu haji na chakufanya anakuja na malalamiko tu?
@mlayson5281
@mlayson5281 Ай бұрын
@@Sisopotashiumz -wanakufa sana hawa boda tunapoteza nguvu kazi ya kesho-nyie hamjui mnafurahia watu kufa wanaacha familia zinateseka..why serikali isitafute vuwanda vya kutosha waka ajiri vijana wetu -acha ung* wewe.
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
Unaonekana ww hicho kichwa ni cha kukausha na mafuta ya moto saana,alikuja magufuli kaanza kutafuta umeme wa kutosha kufungua viwanda wakaponda sasa unaweza kuwa ma viwanda bila umeme???? Acha ulimbukeni wa kisikiliza na kubeba kila unachoambiwa mbwa wee
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Ай бұрын
@@Sisopotashiumz panya kweli wewe
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
@@Ibrahim-ne3in njoo na sera alf niambie umepata nini au kimefanywa kipi na wabunge wa upinzani,alf nipe maana ya kua mbunge?? Malaya mjane ww
@frankndendu2570
@frankndendu2570 Ай бұрын
Pigeni porojo mtuachie Makonda wetu
@KingiMakesen-ju9ot
@KingiMakesen-ju9ot Ай бұрын
Nchi ambayo CCM ndio maendeleo sasa Kuna haja gani ya uchanguzi
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
Machoko ya ccm
@michaelaloyce2072
@michaelaloyce2072 Ай бұрын
Mgonjwa wa akili ww​@@emmapaul1766
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Machawa
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Ай бұрын
Lema hakikisha unasoma hizi comment za wenye nchi
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z Ай бұрын
Sasa ww ulifanya nini wakati ukiwa mbunge mbona muongo sana ww
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 28 күн бұрын
Alichangia kutengeneza sheria zinazo kusaidia wewe mpuuzi
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
Huyuu anaongeaga tu halete tufanyeje? Anaangalia makosa tu! Nilionaga anaongea point kumbe ni ufala tu,nchi hii upinzani mtaisikia tu nchi.
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 Ай бұрын
Akili yako imeganda na aliyegandisha ni umaskini anaouongelea Lema ndo maana mtazamo wako umekua mdogo
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
@@ayoubsanga315 wee unauonaje mtizamo Wang? Wakati mwisho wa mawazo yako ni ilipoishia chupi yako.
@jerominalfonce
@jerominalfonce Ай бұрын
​@@Sisopotashiumz umasikin huo ulio nao mpaka unatukana
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z Ай бұрын
Sasa ww umefanya nini hebu sema na ww ulisho kifanya wakati mbunge mbona unaongea pumba
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 Ай бұрын
Lema magufuli huyo kimbia
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
😂
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Ай бұрын
Makonda oyeeeee
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 Ай бұрын
😂
@AzizMangara
@AzizMangara Ай бұрын
Bora Lema uungane na makonda tu😂😂
@macksonimwandemele42
@macksonimwandemele42 Ай бұрын
wakati wako ulisha pita waachie na wenzako
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Co wakati wao ume pita ayo wanaongea Kwa Wana mnchiinmaisha magu eti au we ume pewa kiajila una pagawa
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
Machoko ya ccm
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Hahahaha kimeo kingine hiki zile zama za kuleta taharuki zimeisha, ulikuwa Mbunge hapo nini umefanya Zaid ya mapishano na marumbano, Lema kaaa kimyaaa tena utulie, hivi familia imerudi tokea Canada?
@amonalexander1513
@amonalexander1513 Ай бұрын
Wape suluhu Cha kufanya sio kupiga porojo zako,watu wanataka suluhisho sio kulalamika kiongozi gan wewe?
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Hujamsikia akisema tuondoe umaskini au unataka aseme nini
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Ай бұрын
​@@Kwelihukuwekahuru mavi yakuondoa umasikini.anayo?
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Ай бұрын
​@@Kwelihukuwekahuru eti kuondoa umasikini.nitajie nchi moja duniani watuwake wanasema wao matajili kwasababu ya mtawala alie madarakani.
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 Ай бұрын
Ni nchi gani ambayo haina maskini Duniani? Hata marekani kwenyewe kuna maskini tena umaskini uliokithiri, wanaitwa homeless, wanalala mabarabarani tu.
@allymusira2153
@allymusira2153 Ай бұрын
Hakika kabisa tatizo wanasiasa wanatuona wananchi wote ni wajinga pumbavu sana
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 Ай бұрын
Mutuache na makonda wetu
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r Ай бұрын
Uhuni mwingi sana.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@user-qi7px6nb8r machoko ya ccm
@yohanajackson4160
@yohanajackson4160 Ай бұрын
Lema 😂😂😂 comedian
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@yohanajackson4160 choko
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Kweli kabisa mheshimiwa lema sukar imepanda sh 4000 kilo moja, afu pombe Lita sh, 1000 Bora ninywe pombe
@perpetuamlula8567
@perpetuamlula8567 Ай бұрын
LEMA IMEKUWA MBUNGE ARUSHA UMEFANYA NINI ACHENI MAKELELE MAKONDA YUPO POA SANA IMEKULA KWENU
@SimuliziDhahiri
@SimuliziDhahiri Ай бұрын
Kwa mara ya kwanza millard kuposti upinzani😂😂😂😂
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga Ай бұрын
Lema ,Lema,lema ulitawala miaka 10 ulifanya nini,Mimi ni Chadema Lakin mnazingua,Mnaongea mengi Lakin hamtoi ufumbuzi,Shenzi na Nusu
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z Ай бұрын
Ww lema nchi gani haina wizi mbona unapotosha watu walio kuwa hawajawahi kusafiri nje ya nchi wakajionea wizi huku wanapiga bunduki ijekua huko wacha kupotosha watu ww wacha upuuzi huo
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z Ай бұрын
Ww lema usidanganye watu sisi tupo nchi za watu huku ndio hayo hayo tu wacha uwongo
@allymusira2153
@allymusira2153 Ай бұрын
Liongo sana hili jamaa wanasiasa wanatuona watu wote wajinga maskini wapo kila nchi hata marekani wanalala nje homeless
@elimishanyamoga6797
@elimishanyamoga6797 Ай бұрын
Una akili sana MUNGU akuweke achana na hao mashoga
@venaritovenance9468
@venaritovenance9468 Ай бұрын
Uyu ana jipya anaongea utumbo ,tafuta sere zingine
@BarakaKihongosi
@BarakaKihongosi Ай бұрын
Huyu atakuwa alilewa maana ameongea utumbo
@hansbukuku762
@hansbukuku762 Ай бұрын
Wajumbe ni noma sana aiseee, yaani wale wanaojaa kwenye mikutano ya Mkuu wa Mkoa na wanashangilia kwa kusema “SEMA BABA” na ndo hawa hawa wanaoitikia “PEOPLE’s, POWEEER.” Ukiwategemea wajumbe kuanzisha “VAGI” haki ya mama ndo utayastaajabu ya walimwengu utakapojikuta uko pekee yako eneo la tukio 😄😄😄
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Ай бұрын
Umeona eeee 😅😅😅😅😅 yaani akili mkichwa
@eliudramale5075
@eliudramale5075 Ай бұрын
Arusha kaisaidia nn huyu falaa amwachee mtetes wetu makonda kaishiwa sera boyaa huyooo
@HarunaDanielmbanzeofficial
@HarunaDanielmbanzeofficial Ай бұрын
Wew kama unasoma sms hii acha kusema mambo ya utoto kama hayo njaa nikwamtu na iko kila mahari duniani vitu vilipanda bei kote so acha kujichosha tafuta kura kwanjia nyingine mi nakuona uko nanjaa sasa ukipewa chakwanza sikujijenga nawako acha hio siansa niya kitoto
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 Ай бұрын
Unampigania nani Lema ,acha hizo blablaa.
@BennihinnyHerman
@BennihinnyHerman Ай бұрын
Jamaaa umechelewa sana, tatizo wakati umepita na ushawishi umepotea!!!! Wanasema kila jambo na wakati wake kama mlitumia wakati wenu kujitaftia basi kwa sasa ni Makonda time.
@allyhasani3750
@allyhasani3750 Ай бұрын
Watanzania wengi walinyimwa elimu ya uzalendo ,wengi awaelew maskin awajui wajibu wa selikali
@musamusa6213
@musamusa6213 Ай бұрын
Makonda kaja mda mfupi kwetu kafanya Mambo makubwa arusha wewe ulipo kuwa mbunge ulifanya nn huna jipya kwa makonda.
@balljmushi9599
@balljmushi9599 Ай бұрын
Huna loloteee,,,wanaojiuza wapo dunia nzimaaa
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 Ай бұрын
Lema umepoteza radha umepwaya
@bushbabytz
@bushbabytz Ай бұрын
Lema ndio Rais wa Arusha
@bonifacemeela5247
@bonifacemeela5247 Ай бұрын
Ila lema Mtata sana Aisee
@mwasavevo
@mwasavevo Ай бұрын
UTATUMIA NJIA GANI KUWAPA WATU AJIRA
@magdalenampanda1426
@magdalenampanda1426 Ай бұрын
Acha mambo muda wote mkoa una watu wenye roho mbaya ulikuwa unaangalia tu, . Sema ukweli acha siasa Maya. Mmeshindwaaaaa
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Wakati ww ni mbunge arusha hakukua na bodaboda
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Humjui mtu unayemuita Boya wewe😂😂umeyanyaga. Makonda ni chizi kuliko wewe, utajamba Moshi kumaninaa...unafkiri Mchaga mwenzio Yule😂
@user-hh4us7kb5q
@user-hh4us7kb5q Ай бұрын
tnataka makonda awe rais, ukitaka kujua tnampenda Makonda, gombea naye uone moto
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r Ай бұрын
Lema hakuna kitu.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@user-qi7px6nb8r kitu anacho mamako
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
@@emmapaul1766 hata mama hakosi ukikiona kwa wazazi wawenzako.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@Sisopotashiumz kitu anacho mamako choko la Samia wewe
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
@@emmapaul1766 umehamia kwa samia sababu ww ndio unamshukuru samia badala ya mungu,choko ni yule baba ako ambae kashindwa kumtomba mama ako kama zamani
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@Sisopotashiumz choko wewe utandelea kuliwa huko ccm huku ukihongwa buku kwaajiri ya bando wakati wenzio wanakula matrillion ya Dpworld jinga wewe
@habaccucisrael5328
@habaccucisrael5328 Ай бұрын
Viwanda 🏭 kwa vijana 2025-2050
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u Ай бұрын
Watu sasa hivi hawa angalii unatoka chama gani wana angalia jnafanya nn magufuli amebadilisha fikra za watu wengi
@MarckyCholla
@MarckyCholla Ай бұрын
Milard ayo huyu fala msomee coment zetu maana akili yake imefyatuka
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
HUYU JAMAA NIMEMSIKILIZA VIZURI SANA KAONGEA VITU VYOTE PAFECT UBALIKIWE KIONGOZI KWA MANENO MAZURI ❤❤❤❤❤😢😢😢😢
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b Ай бұрын
Wewe ulitaka wafanye nini
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 Ай бұрын
Hamna sera kwani wanao uza michicha hawana miili ya kuuza ?"eti boda boda wanaua watu watu wanakufa kwa ahadi ya Mungu ama kweli mmekosa sera Wamekosa ajira kuendesha boda boda ulitaka wakaibe ?ulitaka waje kuomba kwako ?
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 Ай бұрын
Eti nawapiganieni mnanikatisha tamaa nooo thank u unapigania tumbo lako na watoto wako posho yako ya ukimbizi unayopewa huko canada unakula na mtu?si unakula na familia yako na watu wako wa karibu makonda kawashika pabaya
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Ай бұрын
kweli mmekwisha akuna jipya
@eliezamashimba4062
@eliezamashimba4062 Ай бұрын
Kwa keel siasa ya tz bhana Huyu mwamba si alisha wahi kuwa mbuge huko je wananchi aliwapea nn hebu waache watu na ubinifu wao wafanye kazi basi mbona huhu jamaa mtukutu sasa
@jackxonmollel7984
@jackxonmollel7984 Ай бұрын
Mpeni lema arudi aliko toka amwache makonda wa mungu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Rema kweli Ccm wanazngua ila makonda usimguse utatoka maana
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h Ай бұрын
Kiukweli nchi hii inatakiwa watu shupavu ilintupate mabadiliko ya kweli. Tuwaombee Mungu sanasana
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b Ай бұрын
Faraa moja huyu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
@@user-fl3fb5gh6b kafilwe na bashite choko wewe
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Kenya imemshinda Ruto wewe Tz utaiweza.,...kwetu smani ni bora kuliko ajira....chakula tumezoea kutafuta wenyewe
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Ай бұрын
Kweli mnakosa lakuonge amna oja zamsingi kwann ata izonchizawazungu kama ufanyi kazi uli
@selemanisalum7283
@selemanisalum7283 Ай бұрын
Hapo kwa wanao jiuza mh umebugi ni tamaa zao Tu wala siyo kwa sababu ya maisha magumu
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt Ай бұрын
Makonda ana karama
@AdamuJuma-tp1xr
@AdamuJuma-tp1xr Ай бұрын
Yani wewe huna jipiy mropokajitu
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
Kwa hyo tufanyeje brother
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
We ujui chakufanya nenda shule ujitambuee
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Ай бұрын
Ndiyo mnavyowajibu wananchi ​@@RomanMwinyi
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o Ай бұрын
Sasa lema sera ya chadema? Ebu tuambieni utafanya nn mbona naona una lalamika sana. 😢
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Ай бұрын
Huna hoja wewe shoga, Mama Samia ndio chaguo letu wa Tz 2025 - 2530 pamoja na viongozi wasaidizi wake wenye kututatulia matatizo yetu kwa vitendo sio porojo. Umaskini ni wakujitakiamwenyewe kwa kutojiengeza. Arzi kupwa tonayo serikali haiwezi kuajiri raia wote milioni (67) serikali imewapa wakulima mbolea bure kwanini wasiende kulima na kuwapandishia bei mazao yao ?...
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
Toa kelele hapa tunajua wewe mwenyewe unatafuta ugali kupitia matatizo ya watu kwa ahadi za uwongo kuwa utayatatua
@AgnessNesphory
@AgnessNesphory Ай бұрын
Kwaiyo bodaboda siyo kazi kila nchi duniai kuna bodaboda mamantilie kila seem wapo akuna nchi dunian akuna masikini wala watu wa hali ya chini ujatembea dunian kumbe 😂😂
@patricknewguy8189
@patricknewguy8189 Ай бұрын
Hivi huyu yupogo
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Ай бұрын
Lema soma huku kwanza ndio utajua watu wanakuonaje.
@jomba6514
@jomba6514 Ай бұрын
Acha kutupigia kelele na chama chenu cha upatu.Muulize mwenye kiti wenu lini atapisha na wengine ukipata ilo jibu endelea kupiga kelele
@MarioNdanzi-kp9hp
@MarioNdanzi-kp9hp Ай бұрын
Uhuni mtupu
@personpeter2221
@personpeter2221 Ай бұрын
Ww acha uongo kwan ww ukiwa rais utawapa ajila ote ulipokwa mbunge nn ulifanya ???
@boboonesmo5431
@boboonesmo5431 Ай бұрын
Umeferi kk 😂😂
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 Ай бұрын
TUNAMSHUKURU RAIS SAMIA , SHULE KILA KATA, HOSPITALI KILA KATA, MAJI YAPO YAKUTISHA, BARABARA ZIMEBORESHWA, AJIRA ZINATOLEWA KILA SIKU, DARAJA LA KIGONGO BUSISI LIMEKAMILIKA, SGR INAFANYA KAZI BWAWA LA UMEME LIMEKAMILIKA NK, NK
@allyhasani3750
@allyhasani3750 Ай бұрын
Tembea uone acha uchawa
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 Ай бұрын
Leo ndio nimegundua kumbe Lema nae yupo kwenye kundi la waduduu
@DeodatuslivingKessy
@DeodatuslivingKessy Ай бұрын
Bodaboda nikazi kama kazi nyingine achana na bodaboda tafuta sera nyingine mzee umefeli uongozi sio siasa uongozi ni vitendo na utekelezaji wa majukumu chakwanza ni tutambua matatizo ya wananchi na sio kuwaubiria watu bakonda kaja arusha kangundua matatizi mengi ameyajua na kuyatatua
@user-ei6mm3go8w
@user-ei6mm3go8w Ай бұрын
iiiiiiiiiii MAKONDA MWACHE KAMA ALIVYO TENA UKOME
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Muongo mkubwa hayo ndo maisha fatani mkubwa huyo
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Ай бұрын
Chefuuu
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro Ай бұрын
Huyo Lema anacho sema ni pumba tupu
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Ай бұрын
Kuhusu swala la mlo ukiona nigarama nenda shambani ukalime ili uondokane na garama za kupima robo ya Michele.
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u Ай бұрын
Binafsi sipendi ccm sijawahi kuipenda lakini namkubali makonda kwa kile ninacho kiona siwezi kukizungumzia nisicho kiona lakini huyu leme ni zaidi ya mbwa mnafki kumatu huyu alipata nafasi hata kama nindogo lakini alikuwa ana nafasi yakuonyesha mfano lakini huyu nimbwa
@jomba6514
@jomba6514 Ай бұрын
Lema acha wivu wewe uliisha kua mbunge apo ulifanya nini?muache makonda ahudumie watanzaniana.na ujifunze kusifia pia sio kulia lia tu
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Vikoba oyeeeee
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk Ай бұрын
Wewe utawapa hizo ajira? Acha kudanganya watu wewe
@user-ux3jl9cl4w
@user-ux3jl9cl4w Ай бұрын
Uku liware korosho akuna bei t
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 Ай бұрын
9:
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w Ай бұрын
achana na makonda boya wewe huna sera kalime kahawa
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Ай бұрын
Wala hata haeleweki anachongea, yaani unatetea wezi au unatetea fani yako?
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u Ай бұрын
Lema ongea Tena mikopo ya mitandaoni tunadhalilishwa sana kisa benki Wana mashariti ya ubepari tusaidie
@MarckyCholla
@MarckyCholla Ай бұрын
Lema hatukuelewi tena maana tumegundua wewe siasa zako ni kutafutia tumbo lako tuu tuache na makonda wetu
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
CHADEMA CHAMA CHA MATOKEO. HAMNA CHOCHOTE
@seneu.2128
@seneu.2128 Ай бұрын
Lema na mwenzako Gambo wote hamtakiwi tena ubunge Arusha mjini nendeni mkagombee mlipotoka maana nikama mnabeba watu ufala, hamna uchungu wowote na jimbo na mkoa kwa ujumla. Unamuwaza Makonda maana unajua anapata ushawishi kwa wananchi wengi maana ni mtu mwenye msaada kwa wengi.
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 Ай бұрын
Unamuita Makonda boya ?? Wewe tunaanzaje kukuelewa sasa.
@user-yg6wv4cp8q
@user-yg6wv4cp8q Ай бұрын
Kwamakonda mkalaletu ukitaka uhalibu chama chako mzungumzie makonda minipo kagera Ila ikitokea makonda au majaliwa wanagombea urais miwakwanza kupiga kurayao
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z Ай бұрын
Huyu msanii sana
@AgnesKaswahili
@AgnesKaswahili Ай бұрын
Mwaga sera zako tu usimuguse makonda. Makonda ni tumaini la wanyonge..lema kaa mbali na makonda kabisaaaa
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 32 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН