Natak kufany inshaallah mume Wang arud kwang kwa Iman zote amin
@fatumamwinyi73822 жыл бұрын
Turn to your lord and trust none other than Him alone
@lilianrotich22572 жыл бұрын
Dawa ya kudai mtu deni na amekua mguu kulipa deni
@vumiliaelias7444 Жыл бұрын
mm naomba namba
@queenerizabeth Жыл бұрын
Dada cute we kiboko
@odettenkeshimana67453 жыл бұрын
Asante sana maman Niko Burundi nirijalibu fanya iyo ya sim biriendeka safi kabisa mungu akujalie ingine hakili yakuzindi asante sana tena sana i love you so much
@solangemutokambali91532 жыл бұрын
Sawa Wang saulimaliza ukatupa ilekitungu amaulibitumikisha
@eveneridaezekiel63552 жыл бұрын
Sawa dada mungu anisaidie na mim nifanikiwe
@winnyroda7558 Жыл бұрын
Habali yako dada ebu nambie ulifanikiwa? Yani naitaji anikiwaze kila mala kabisa
@winnyroda7558 Жыл бұрын
Nataka awe busy namimi kabisa kama zamani ivi amesha changer
@violetobato51283 жыл бұрын
Thanks
@Bechou5423 жыл бұрын
Mashallah
@salmasaid1521 Жыл бұрын
Asante kwa ushauri dada
@tamarimahega73843 жыл бұрын
asante sana
@MNYARUALIM18 күн бұрын
Pia nilisha wahi kufanya alinitafta wangu nilichukua somo kwako dada ahsante san😊
Mm nilishawahi kutumia nikweli kabisa alinitumia sms mda huohuo
@RainidaHaule-q1rАй бұрын
Sijawaigi fanikiwa😢
@Fatuma-pf1mx3 ай бұрын
❤
@Muka-nc6xk3 жыл бұрын
Je inawezekana pia ukaandika namba yake ya simu mara tatu badala ya majina
@queenbrounwqueenbbrounw14842 жыл бұрын
Mmmm
@agnessmosses6491 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano yako my dear
@suzyashraf81812 жыл бұрын
Nimefanya nikatumiwa na voda 300 nilitaka kuruka juu
@lilajolie10742 жыл бұрын
Kwelii❤❤😃😃
@zuriathabdallah94922 жыл бұрын
😁😂
@kulwambegu914811 күн бұрын
Asante
@JumaZukisa2 ай бұрын
Habar mpnz Kalam nyekundu jee hafai
@melaniebarengayabo70683 жыл бұрын
Ukimaliza mpendwa karatasi na hiko kitunguu unaviwrka wapi? Unaweza rudia kwa kuvitumia au lazi uwe na vipya Kila ukijisikia kutengeneza?
@estherjuma63582 жыл бұрын
Asant
@elizabethamon4927 Жыл бұрын
Keep it up 😅😅
@alexandremasumbuko24732 жыл бұрын
Je mtu niliyemkopa pesa badala ya kunilipa akakimbiya katika nchi nyingine nitafanya nini?
@AgnesEdwini16 күн бұрын
😂😂😂😂😂Haki jaman nmepigiwa nikiwa ndan ya manuiz ya zile dakika tano nmecheka sana alikua hapokei cm hajbu mesej na kunblock wasap hatal sana
@raphaelkazyoba32962 жыл бұрын
Its nice I like it
@user-op8wh4vf7m7 ай бұрын
Naomb namba
@mariamelkior8811 Жыл бұрын
Hii k2 ni fact jmn😘
@atuhireevarynehenrly86133 жыл бұрын
Asante sana
@BonheurChristian-fl2keАй бұрын
Pole
@Joshua-kt8eb8 ай бұрын
Nimeipenda san nashukulu san
@IssaOmar-gf2po Жыл бұрын
Nakubal
@vumiliaelias7444 Жыл бұрын
nitumie namba
@Rose-oy8ne Жыл бұрын
Nsdawa ys mwita na mkumbukwa na mlipo unatumiaje kwa mpnz aliyekuacha?
@mageritalouis99603 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘😘😘🥰
@badriaahmed43733 жыл бұрын
Dada mm nataka dawa ya kufanya mume wangu nitacho mwambia akikubali na nina rafiki yangu yeye hata umwambia naenda kwake baci hataki nipe dawa ya kumtuliza na anisililize na akubali kwa kutamka nenda mana sina rah yeye ndo yupo juu mm lolote nalo sema hataki wala asiki nipe dawa ya kufungaa mdomo anisilize na asinipinge na anaiombe radhi atulie na mm niwe furah ya maisha na rafiki yangu iwe anakubali nanda kwake na yeye anakuja kwangu na yeye asiseme kitu mume wangu nipe dawa ya kufanya akubali bila wasi na yeye anisikilize mm tu na kukubali nitacho mwambia
@anuaromar77633 жыл бұрын
Mambo
@salumsalum37512 жыл бұрын
Hariyako
@FatmaRasiАй бұрын
Nataka nifanye dada sasa ukimaliza kufanya karatas naweka wapii?
@advera5667 Жыл бұрын
Nataka kumrudisha mpenz wang nafanyej dada
@badriaahmed43732 жыл бұрын
Naomba dawa ya kufanye rafiki yangu kama alikua hataki urafiki ubesty na mm baci atake wa dhati tuwe wale rafiki wa kushikana na kushibana saa zote mpo pamoja
@winnyroda7558 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
@reysumly8713 Жыл бұрын
Mh rafik Hawa Hawa au wengine?
@athumanimwacheti7420 Жыл бұрын
Mimi ntafanya kesho
@pascalmurhula607411 күн бұрын
Hata kama hana number zako?
@priscampiluka5271Ай бұрын
Ukimaliza kufanya unaweka wapi hiyo karatasi na vitunguu?
@user-nz2jw7cl9d2 ай бұрын
Naomba namba Yako ya simu mpendwa
@user-fz6rm8cp8x2 ай бұрын
Ukimaliza unapeleka wap
@user-tg2xo7cy2n4 ай бұрын
mim kuna mschan nlikuwa nae katik mausiano lkn ghafla kabadilik na mim bado nampend san nisaidie kuna njia gan niwe nae
@user-dg8dt5bg7qАй бұрын
Na kama Hana namba yako je utafanyaje?
@rahmaalrahbi7108 Жыл бұрын
Mzima.kwanza.naomba.nambayako.yasim.yawasap
@cynthiawalwi5918 Жыл бұрын
Dada na kma hauna karatasi ya white ila uko na mistari maana mm Niko kwa wenyewe na hapa hamna Hyo karatasi
@user-eh1rf7vf9o7 ай бұрын
Dada Flora nipe namba yasimu ya WhatsApp svp
@HappinessSamweliMgini-lg9yr8 ай бұрын
Dada naomb unisaidie
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Ivo vitunguu lazima viwe hivo vidogo
@MwanaidyLukuta4 ай бұрын
Wewe hatareeeeeeeee🙏
@Jaydenny-jx1teАй бұрын
Nimependa naomba namba ako
@HappinessSamweliMgini-lg9yr8 ай бұрын
Kuna mpenz wangu kanikalia kny
@AsmaHassan-sw6os4 ай бұрын
Hii nikwel nilijaribu❤
@kelvinyeri8194 Жыл бұрын
Nakama humujuwi jina
@dianakibona48533 жыл бұрын
Jaman kuloga kutam nilikua naogopa ila mmmh axant frol
@eveneridaezekiel63552 жыл бұрын
Ulitumia hyo ya kitunguu swaumu na cm ukafanikiwa jaman ili na mim nijarbu?
@LilianJuma-dq4vl21 күн бұрын
Da frola unafany hat ukiwa p
@user-np3vw5uq5e7 ай бұрын
Mimi nataka unisadie nirudishwe n bosi wangu kazini
@salumhamad801 Жыл бұрын
Jmn mbn mm sifanikiwi
@sifunitarimo7 күн бұрын
jaman ngoja nijaribu
@ashurakabura7268 Жыл бұрын
asanteee
@fatumasophu58553 жыл бұрын
Uwiii najaribu
@doreendickson32563 жыл бұрын
Mh
@milliychemu369011 ай бұрын
Nimejaribu ijafanya
@julianamkumbo3674 Жыл бұрын
Naamini nikifanya ivyo anicheki
@badriaahmed43733 жыл бұрын
Ila mm pia ruhusa hanipi nitoka nipe dawa nzuri sana kwa nyumbani na mm niwe na furah lolote nikimwambia hapo hapo akubali bila kupinga
@user-xd9vk1yl3q5 ай бұрын
Dah ninoma
@josphinenduku6213 Жыл бұрын
Dada nikuulize na kama aliniblock naenza fanya tu?
@AliceClarisse-gs9ki Жыл бұрын
inbox nikwambie
@cecilendayishimiye8548Ай бұрын
@@AliceClarisse-gs9kiniambiye Mimi dada
@DayanaPius-um5vz Жыл бұрын
Nitumie no ako
@deboraandrew29953 жыл бұрын
Namim ngoja nijaribu nitaleta mrejesho
@natasatungaraja26603 жыл бұрын
Hahaaaaa qute wewe kiboko nimefanya libwata la cm mpnz alikuwa hajibu sms baada ya kufanya limbwata hili baada ya dk5 jamaa kanjbsms
@CuteFlora3 жыл бұрын
Hongera mamy
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Kweli mmmh
@sarahmwacha15483 жыл бұрын
@@julihanjosephyjs6361 hivyo vifaa ulivyotengenezea unaviweka wapi dr
@rizikimurengera9581 Жыл бұрын
Asete
@kursoomabuu8192 Жыл бұрын
Acha utani bwan
@najmanajma9323 жыл бұрын
Apo nd penyewe
@thumakhamy6573 жыл бұрын
Santa mama mambo yko ya kwl
@molinmasumbuko86073 жыл бұрын
Kweli
@judithmkiramweni41373 ай бұрын
Hili ni konki walah! Yani Hadi nimeshangaa kbs jamani fanyeni muone muujiza
@user-zq9nm6tk7p2 ай бұрын
Ukimaliza.karatasi yako.unaweka wapi??
@fatimaalifadhil77003 жыл бұрын
Ss dada hii simu zikimaliza datika tano unaiyondowa nahivi vitu unavitupa
@salumsalum37512 жыл бұрын
Mambo
@IreneSoah8 ай бұрын
Shida moja dada haujibu msg za watu sasa tunapataje majibu???
@PauloSaid4 ай бұрын
kweli
@lilycrez25363 жыл бұрын
Unaweza kuandika namba yake ya simu mara tatu badala ya majina yak
@ListaFrancis3 ай бұрын
Hata namba kumbe
@shedyplatinumz48533 жыл бұрын
Ume fungua akaunti mpya
@elizabethjemsi65523 жыл бұрын
Napenda
@salmayasir5677 Жыл бұрын
Dada frora nina mchumba wangu nataka kuishi naye nyumbni lakini yeye hataki utanisaidiaje niishinaye
@OmarMohamed-cb1tu13 сағат бұрын
Niko tayar mm tuishi achana nae
@navone8144 Жыл бұрын
Kama umeblock
@SizzoSela29-sh8nz6 ай бұрын
Dada nisaidie dawa ya kumsahau mpenzi mloachana
@sulleyzanzibarholidays9 күн бұрын
Bado unampenda wewe😅😅😅
@NajmaMmbaga10 ай бұрын
Ukimaliza unatupa?
@SallimulBoy-pc1wu Жыл бұрын
S
@EdithaKipilipili6 ай бұрын
Ukimaliza karatasi unaiweka wp
@Ruthtalk2 жыл бұрын
yes nataka
@user-su3tq1xe2x10 ай бұрын
Nielekez mamy
@jafarikomba51213 жыл бұрын
Ok
@Ibla-tv11 ай бұрын
Naomb usubscrib na ww tafadhar
@maimunasalim3179 Жыл бұрын
Sister cute mm nina shida, mm. Nimeolewa lkn nampenda sana x wangu lkn yy hanipendi tna kwasababu nimeoleka sasa nifanyeje ili arudi kwangu maana mm nampenda hatari