Рет қаралды 1,763
Jordan TV Tanzania
Fratel Patrick Kasuwi akiwaongoza Waamini wa Kanisa katoliki Litania ya Watakatifu wote, katika Misa ya Kuweka Nadhiri za Daima kwa Mafratel watatu wa Shirika la karmeli Tanzania.Tarehe 20/10/2023.