#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA KUTOA DARAJA TAKATIFU LA UPADRI PAROKIA YA MTAKATIFU THERESA WA MTOTO YESU JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA #upadrisho #arusha #jimbokuu #kanisakatoliki #live
Пікірлер: 3
@MagrethKatondo-qs9oz25 күн бұрын
Tumshukuru mungu kwa zawadi ya miito mitakatifu ndani ya kanisa.
@josephlorri43126 күн бұрын
Baba Askofu Amani ameamua kuwapa ukweli mchungu mapadre wetu mbele ya walei..
@muhidinally346023 күн бұрын
Hongereni sana mashemasi mungu awaongoze katika wito huu aliowaytia..