No video

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU - Sehemu ya 7

  Рет қаралды 38,943

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana katika Televisheni ya Taifa ya TBC1,
Huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABULA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 12:30 hapa hapa GLOBAL TV Online.
WAHUSIKA WAKUU NI: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba NA Tuesday (Mr. Chuz).
Script: Tuesday Kihangala, Story by: Tuesday Kihangala, Producer: Tuesday Kihangala, Executive Producer: Tuesday Film
Production, Director: Tuesday Kihangala, Sound: Omary Idd, Cameraman: Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu
JUMBA LA DHAHABU|GLOBAL TV ONLINE|JINI KABULA
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 27
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
😅😅😅😅😅 wazee watiana ngumi waaaah hatareeeee.jini fanya kazi yako.huku police wafukuzwa kazi .
@chibby9616
@chibby9616 7 жыл бұрын
aiseee aya matangazo sio kabisa
@Raheema-pp7st
@Raheema-pp7st 7 жыл бұрын
daaah kiamb san weka muendelez jmn
@haidarali6839
@haidarali6839 7 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo nzur
@jackiemapenzyambwamedson3919
@jackiemapenzyambwamedson3919 7 жыл бұрын
aisee ckuwah kujua hi movie ilikua local hiv kipind hicho ilikua bonge ya movie
@simaisalim7327
@simaisalim7327 7 жыл бұрын
hii mbona imerejewa
@sintaibra355
@sintaibra355 2 жыл бұрын
Big Up Saana Global Tv
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Nice
@fatumajumanne4926
@fatumajumanne4926 5 жыл бұрын
Iko vzur
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 жыл бұрын
asanten global tv
@alvinchamsela7891
@alvinchamsela7891 7 жыл бұрын
GooD
@fuguremalone
@fuguremalone 9 ай бұрын
Jini linataka nn mbn linaweka hatiani watu
@Raheema-pp7st
@Raheema-pp7st 7 жыл бұрын
kitamb san
@islamsaid4830
@islamsaid4830 7 жыл бұрын
jumba LA dhahabu sehemu ya 8 bongo movies
@haidarali6839
@haidarali6839 7 жыл бұрын
Naona kama wamerejea part hii tushaiyona
@mozmudi3446
@mozmudi3446 2 жыл бұрын
Haya Yote Kaya sababisha Kabula
@sally-zx1md
@sally-zx1md 2 жыл бұрын
namnyang'anya gar yang kaz namfkuza na namfunga 😄😄😄
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 жыл бұрын
mbona hii marudio kisha no 8 iko wapi
@mariamkombo5325
@mariamkombo5325 7 жыл бұрын
nice
@damarissamba1432
@damarissamba1432 7 жыл бұрын
dah!
@chibby9616
@chibby9616 7 жыл бұрын
jmn plz muendlez
@mwalimunamifumo1573
@mwalimunamifumo1573 7 жыл бұрын
Sehemu ya nane mbona hakuna
@jackiemapenzyambwamedson3919
@jackiemapenzyambwamedson3919 7 жыл бұрын
yan hao mapolis watamia nguvu Kama makirikiri
@bbyrey2089
@bbyrey2089 7 жыл бұрын
mbn mm naona km ile ya sita tu jmn
@hudaasalim9070
@hudaasalim9070 7 жыл бұрын
jamani tupieni muendelezo
@emmyasheri6995
@emmyasheri6995 6 жыл бұрын
Nice
@sally-zx1md
@sally-zx1md 2 жыл бұрын
namnyang'anya gar yang kaz namfkuza na namfunga 😄😄😄
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 276 М.
JUMBA LA DHAHABU - 27
29:15
Global TV Online
Рет қаралды 29 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН
NAGWA NA LIJONJO: BODA WA MCHONGO
12:40
Vena Media
Рет қаралды 17 М.
JUMBA LA DHAHABU - 12
25:29
Global TV Online
Рет қаралды 31 М.
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO MKOANI KIGOMA
3:09
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 2,8 М.
JUMBA LA DHAHABU - 21
25:29
Global TV Online
Рет қаралды 32 М.
Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011
44:51
Swahiliwood
Рет қаралды 468 М.
JUMBA LA DHAHABU - 22
23:13
Global TV Online
Рет қаралды 23 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН