No video

LIVE Bongo Movies: MTAWALA - Part 2

  Рет қаралды 56,756

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

GLOBAL TV Online inakuletea 'short film' ijulikanayo kwa jina la MTAWALA-Part 2 kutoka kampuni maarufu ya filamu ya 5 Effects ya jijini Dar es salaam. Wachezaji wakuu ni Martin White, Jackob Mkweche, Tausi Ally, Elisha Kawie, Said Ally, Asha Juma, Juma Gema. furahia hii burudani hii.
LIVE BONGO MOVIES| MTAWALA-Part 2| Short Film
#Global Movies. #Global Films. #Global TV Online. #Live Streaming. #5Effects

Пікірлер: 74
@amurikakombe7213
@amurikakombe7213 6 жыл бұрын
dhuhh!! ringo, umenifurahisha sana
@zulachama1067
@zulachama1067 7 жыл бұрын
ama kweli uke wenza ni balaa ,hamjaa Olewa ni urafiki tu hali hiyo jee mkiolewa itakuaje,kweli mwenye kiti rekebisha kasi watakoma tu.mashallah Tausi na Ashura muko sawa filamu tamu sana
@jumamakuka2193
@jumamakuka2193 7 жыл бұрын
Nyie jamaa mnatisha sana mm binafsi nawakubali sana kazi zenu zinapendeza sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Thanx Kwa movie nzuri ,Mwenye ki ti asambaratisha kijiji fisadi kiwembe kweli.
@salimmoine1424
@salimmoine1424 7 жыл бұрын
MWANAHALIMA MWACHILI uyu jamaa alie sema msemo huu uwaga haiga ushemeji wanawake wote ashatembea nao
@salimmoine1424
@salimmoine1424 7 жыл бұрын
martin tin white achana na uyu jamaa uwaga haina ushemeji
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
oooooky
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Haaaah kumbe moto wakuotea mbali sio.
@jocktanalex329
@jocktanalex329 7 жыл бұрын
+MWANAHALIMA MWACHILI kweli bwana
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
ha ha ha eti ni mkongo haha jaman nainjoy sana wallah na move za kwetu najskia np nyumbani
@MNYARUBAKERY
@MNYARUBAKERY 7 жыл бұрын
Nice movie, nawakubali Sana Ringo and Tine White.
@suhailasaidi9203
@suhailasaidi9203 7 жыл бұрын
Tini umetisha sana
@congoqueen8084
@congoqueen8084 5 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗mwene kiti sema tuu
@mikidadiabdallah7011
@mikidadiabdallah7011 5 жыл бұрын
Mimi simaindi wa2 mnaobishana humu
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 5 жыл бұрын
kweli mtawala uliqatawala wote ilikua kali
@roidatadey8656
@roidatadey8656 5 жыл бұрын
Mmmmmm uyo mwenyekiti ni atali sana
@iddimwabuzi6876
@iddimwabuzi6876 5 жыл бұрын
Napenda movie zenu, lakini kwanini mnabadilisha sauti zenu?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 7 жыл бұрын
uyu mwenye kiti anaonekana mkorofi ata maisha yake ya kawaida
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 жыл бұрын
Safi sana 👌👌👌
@makungwadaniel6538
@makungwadaniel6538 7 жыл бұрын
duuuuh girls are .......
@hanialkindi4567
@hanialkindi4567 7 жыл бұрын
hahahhhhhhha kichefu chefu na kiroho papo hhhhh kk ake zawad umetisha
@youngmodell1tz845
@youngmodell1tz845 6 жыл бұрын
Duh aw watu bn mung awaweke ili nipunguze stress nikiangalia muv zao
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 7 жыл бұрын
du safi sana Ringo na Tin ila hivyo vibao kwa mwenyekiti
@revocatussanyenge973
@revocatussanyenge973 6 жыл бұрын
Ringo hatalii sana
@emmanuelpazwerisengima9938
@emmanuelpazwerisengima9938 5 жыл бұрын
ona sikieni niwa ambiye wa Congo sio wafipi...
@innocentben7523
@innocentben7523 7 жыл бұрын
nice film
@stanslauselias4576
@stanslauselias4576 7 жыл бұрын
iko poa sana
@manbanshaban813
@manbanshaban813 6 жыл бұрын
nimeipenda sana
@emmanuelnehemiah234
@emmanuelnehemiah234 6 жыл бұрын
Big up sana tin
@williamnoel5067
@williamnoel5067 4 жыл бұрын
hahaaaa uxixahau kufika kw ma zakaria
@mussamahamudu1961
@mussamahamudu1961 6 жыл бұрын
Nzuriiiiiii
@johnsonevarist1391
@johnsonevarist1391 7 жыл бұрын
how nice it is!
@alishaffi7715
@alishaffi7715 6 жыл бұрын
Mwenyekiti kweli nae.
@livinusgodfrey8620
@livinusgodfrey8620 7 жыл бұрын
move Kali sana
@shakifungumbo713
@shakifungumbo713 7 жыл бұрын
ikopoa Sana iimuvi yani weachat
@sherrydaniely9402
@sherrydaniely9402 7 жыл бұрын
nice movie
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 5 жыл бұрын
Nmpenda Zawadi ninapo muona Ringo na Tin
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Nice movie
@erickyjuliusakaplayboy1762
@erickyjuliusakaplayboy1762 7 жыл бұрын
Jane Wacera mambo
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Poa
@erickyjuliusakaplayboy1762
@erickyjuliusakaplayboy1762 7 жыл бұрын
Jane Wacera wapi iyo mrembo
@erickyjuliusakaplayboy1762
@erickyjuliusakaplayboy1762 7 жыл бұрын
Jane Wacera kama uko whatsapp njoo tupigestory +255673869835 poa mrembo
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Story za nini tena
@murshidjamshid6758
@murshidjamshid6758 7 жыл бұрын
wadada someni......duh hilitendo kulikwepa ni vigumu sana. ila jitaidini....jaman
@abdullmazrui9869
@abdullmazrui9869 7 жыл бұрын
b
@emmanuelpazwerisengima9938
@emmanuelpazwerisengima9938 5 жыл бұрын
sio wa fupi
@mouhamadbakri8655
@mouhamadbakri8655 7 жыл бұрын
mwenye kiti hasidi nuksi aso jua haya wala vibaya watu kama hawa wapo kiukweli
@abdullmazrui9869
@abdullmazrui9869 7 жыл бұрын
yeah
@abdullmazrui9869
@abdullmazrui9869 7 жыл бұрын
y
@justinelufingo8865
@justinelufingo8865 7 жыл бұрын
loop p
@zulachama1067
@zulachama1067 7 жыл бұрын
mtawala wanivunja mbavu ama Kweli ww ni mwisho
@taisonkimboka5842
@taisonkimboka5842 6 жыл бұрын
Zula Chama k
@mikidadiabdallah7011
@mikidadiabdallah7011 5 жыл бұрын
Zula Chama uko wap
@vailencempepo9842
@vailencempepo9842 7 жыл бұрын
god is answer
@zuberinikata8105
@zuberinikata8105 6 жыл бұрын
gud stry
@hamisgeorge5666
@hamisgeorge5666 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@ramlamahenya7949
@ramlamahenya7949 4 жыл бұрын
Nc
@kushkomal9906
@kushkomal9906 5 жыл бұрын
Hahahaaaa duh mbavu zangu mwenyekiti
@JakirBdJakirBd-gv1jr
@JakirBdJakirBd-gv1jr 7 жыл бұрын
napenda wanawake Kama hao
@jocktanalex329
@jocktanalex329 7 жыл бұрын
viongozi kama hawa WAPO
@anodjohanes5921
@anodjohanes5921 6 жыл бұрын
YAHANI KAZI ZENU ZINAPENDEZA ZAIDI TIN NA LING AMJAWAI KUKOSEA WALA KUBAHATISHA
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 6 жыл бұрын
Duh! Huu mwenye kiti jmn muongo km nn ila napend sana vovir zenu nyie #tinWith and #ringo hahahaha
@godfreymhochi6206
@godfreymhochi6206 5 жыл бұрын
ni mkongo heheee?
@salummasanja
@salummasanja 7 жыл бұрын
hahahahahaha
@mohamedykabarila8074
@mohamedykabarila8074 7 жыл бұрын
hahaha☁😊☁☁😊☁😁☁ ☁😊☁☁😊☁☁☁ ☁😊😊😊😊☁😊☁ ☁😊☁☁😊☁😊☁ ☁😊☁☁😊☁😊☁
@shabaniahossen3441
@shabaniahossen3441 5 жыл бұрын
acheni uhuni wazee ekitini kwa kuchunga heshima
@emanuelimsechu3997
@emanuelimsechu3997 6 жыл бұрын
😂😂😂😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 7 жыл бұрын
du safi sana Ringo na Tin ila hivyo vibao kwa mwenyekiti
@abdullmazrui9869
@abdullmazrui9869 7 жыл бұрын
b
LIVE: Bongo Movies: NISHAPIMA - (Comedy) -Part 1
55:34
Global TV Online
Рет қаралды 267 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 276 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 50 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 45 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
KASUMBA  ''Sehemu ya Kwanza''
32:55
Madebe Lidai
Рет қаралды 433 М.
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO MKOANI KIGOMA
3:09
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 2,8 М.
Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011
44:51
Swahiliwood
Рет қаралды 468 М.
Bongo star search 2015 Final
1:33:27
Millard Ayo
Рет қаралды 1,2 МЛН
HOUSE GIRL EP 38 | S2 | love story💞💕
20:06
BUSATI TV
Рет қаралды 56 М.
LIVE: Bongo Movies: MTAWALA -  Part 1
59:38
Global TV Online
Рет қаралды 143 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 50 МЛН