#LIVE

  Рет қаралды 33,657

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot

Пікірлер: 226
@fredgonga
@fredgonga Ай бұрын
Duh!! Kweli ng'ombe wa maskini hazai.. sasa sijui kabaki nani tena humo ndani wa kuchambua report za mawaziri bila kusifia sifia... Naona limebaki pipa na mfuniko.
@esromkanubo815
@esromkanubo815 Ай бұрын
Nimesikiliza nimeona wote niwalinda ugali wote hatuna wa bunge
@imanuelmalya1511
@imanuelmalya1511 Ай бұрын
Iko siku hasira ya Mungu atalipuka juu ya dhuluma nchi hii....freedom is coming tomorrow
@zakariamakumba5042
@zakariamakumba5042 Ай бұрын
Hata lugha hujui,pole sana
@agofranco4766
@agofranco4766 Ай бұрын
hongereni sana kwa kuwatetea wezi
@piumagoha
@piumagoha Ай бұрын
Uenda hata wewe ukawa mwizi ila hatuani tu
@barikilevava-rx7du
@barikilevava-rx7du Ай бұрын
Mungu anawaona Kwa ujinga wenu wakati mwngne mmekaa kama mmechanganyikiwa bore mungu awatumie nyuki mliwe Hadi mseme ukweli
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk Ай бұрын
Mngejadili Mambo ya cag tungewaelewa mpina kitu gani bhana
@user-uq9vz6pg5v
@user-uq9vz6pg5v Ай бұрын
ya siejii ni sirikubwa
@CovenantTv-kg6hv
@CovenantTv-kg6hv Ай бұрын
Wabunge msiwe vibaraka wa serikali nyinyi mnawakilisha wananchi ripoti ya CAG ndiyo ushahidi wa mpina
@slimmtani8236
@slimmtani8236 Ай бұрын
Ni aibu bunge kushindwa kujadili mambo muhimu ya nchi na kukaa kumjadili mbunge mmoja
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Azeni na cag kabla ya mpna
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 Ай бұрын
bandari hamkujadili hivyo ila mtu mnamjadili hivyo......
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g Ай бұрын
Iwapo tuhuma alizowasilisha katika vyombo vya habari si za kweli, aje kukanusha taarifa hiyo na sio kumzuia KWANI HILI SIO JAMBO LA SIRI!! Sote ni watanzania tujulishwe mbivu na mbichi
@saidbakari3124
@saidbakari3124 Ай бұрын
Vipi kuhusu ushahidi aliowasilisha, unajadiliwa lini?
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
Nchi hii majizi ksma bashe mwigulu spika na kamati ndo wenye nguvu kuliko hata katiba ya nch
@meyou-zz8mj
@meyou-zz8mj Ай бұрын
Maadui wa kwanza wa Tanzania ni wapinzani, walimshambulia sana Marehemu Magufuli.. Zitto,, Lissu,, walimshambulia kwa ajili ya Kikwete.., matokeo yke haya sasa nchi kila mtu anasharubu hajulikani mwanamke wala mwanaume
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Ай бұрын
Magufuli wako ndiye aliyepelekea Bunge kuwa la chama kimoja. Hovyoooo
@user-nt4mw7zm7d
@user-nt4mw7zm7d Ай бұрын
Mungu tusaidie.. wewe ndiwe mhukumu wetu ila sasa tuhukumie mungu wetu
@BarakaMagere-nw6le
@BarakaMagere-nw6le Ай бұрын
Kiukweli mpina hajatendewa haki
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm Ай бұрын
Mnafanya nini bungeni sasa kama kila kitu ni NDIOOO
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 Ай бұрын
Hongereni Kwa kutetea wezi
@jumamsuya6670
@jumamsuya6670 Ай бұрын
Mkimalizana na mpina mjadili taarifa ya CAG.
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r Ай бұрын
Bei ya kg1 ya sukari sh 6500/- huku matota- wabunge' ndiooooooooo waliosema ndio wameshinda.
@gasparkamiliusbutama6487
@gasparkamiliusbutama6487 Ай бұрын
Ninatafuta lugha nzuri ya kuliita Hili Bunge, waswahili mnisaidie, Hoja za msingi haziguswi kwa usahihi wake mfano Bandari, uuzwaji Wa misitu hekta milioni 6, madudu yaliyoibuliwa na CAG, uuzwaji Wa viwanja vya ndege nchini, kufukuzwa kwa wananchi Wa ngorongoro na Eneo Lao kuuzwa kwa mwarabu na madudu mengi kimsingi Hili Bunge si la wananchi
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Kwel maisha gani hayo miaka 60 hamna kitu mwizi anamlinda mwizi mwezake
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Hii nchi bhana....
@CovenantTv-kg6hv
@CovenantTv-kg6hv Ай бұрын
Mbona kesi ya Bashe haitajwi kamati ilitakiwa kuja na majibu kuhusu tuhuma za Bashe sasa mnatuzuga na issue ya mpina kuzungumza na waandishi mnafunika kesi ya boss wenu
@CovenantTv-kg6hv
@CovenantTv-kg6hv Ай бұрын
Kwa masilahi ya nchi ni halali kudamage maisha ya mtu kwasababu Sheria inaruhusu aliyeuwa auwawe mchungaji usichanganye Dini na Sheria Agano jipya la biblia ni la kiroho usililete mwilini nchi inaongozwa kwa torati Yani jino kwa jino
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 Ай бұрын
Wow! This is Democracy at its best.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
Hoja za mipasho zinachangiwa kwa kina, mpina amini Mungu hana wivu.
@jumamsuya6670
@jumamsuya6670 Ай бұрын
Hii kamati inataja barua ya tarehe 29/03/2026 wakati huu ni mwaka 2024. Sikilizeni kuanzia dk ya 22 sekunde ya 23 na kuendelea utasikia maajabu hayo
@zakariamakumba5042
@zakariamakumba5042 Ай бұрын
Hivi na mbunge wangu,anashangilia? Makaburi yenu yatapigwa viboko,mtihani mnao mwakani,hongera mpina wewe shujaa
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Ni yupi kati yao ataweza kusiimama na atooe hoja lakini asievemee popote juu ta hili?
@agofranco4766
@agofranco4766 Ай бұрын
hivi Msukuma, Lucinde wana msaada gani bungeni?
@medardchenge
@medardchenge Ай бұрын
Sijaona ushaidi Wa mpina kama umefanyiwa kazi mbali kahukumiwa kwa kosa kuongea na wandishi Wa habari. Hii haijakaa sawa kisheria tunaomba ufafanuzi juu ya ushaidi Wa mh. Mpina .
@johnmlay8366
@johnmlay8366 Ай бұрын
Na bado wanataka bunge liheshimiwe!
@John-w8b
@John-w8b Ай бұрын
Hatuna wabunge ila tunao vilasatu mpina uko sahii kabisa alafu alafu anae soma nyaraka arudi shuleni analeta aibu bungeni
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Ай бұрын
Spika katoa kicheko ch furAHA MMEMSIKIA
@florahsungura564
@florahsungura564 Ай бұрын
Ila wabunge......😅
@dilludillu2747
@dilludillu2747 Ай бұрын
Hii mech imechezwa nje ya uwanja
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Msomaji anaSoma maneno yya kiswahili chetu hichi au kirundi? Na mbona taarifa inakatakatta?
@PartySekemi
@PartySekemi Ай бұрын
Tuskilize kipi utasemaje luhaga alikua sahihi ila waziri hakulipotosha bunge😢
@levidavid1156
@levidavid1156 Ай бұрын
nchi ngumu saanaa
@Michael-dl1lu
@Michael-dl1lu 14 күн бұрын
Huyo mwacheni Rais wetu huyo
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 22 күн бұрын
Acheni dharau tutaonana uchaguzi ujao Mungu utulinde na hila za waovu hawa.
@user-cf1es3nk5e
@user-cf1es3nk5e Ай бұрын
Duh kingereza mashe
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 22 күн бұрын
Hataki kuona2 nao ila anataka wakajenge magodown kila mkoa ili awatie hasara
@iddrashid7054
@iddrashid7054 Ай бұрын
Hivi sukari iliagizwa kwa fedha ya serikali au makampuni binafsi ?na je kero ya sukari iliisha au ndo ilipanda bei?kimsingi wawekezaji wa ndani kwenye sekta ya sukari wanamletea upinzani Bashe kwa maslahi yao binafsi na sio kwa lengo la kuwasaidia wananchi.
@hajilubwaza3412
@hajilubwaza3412 Ай бұрын
Mnamuita kwenye kuhojiwa ila wale wanaiba hamuwahoji mko kimya tu nyie Mungu anawaona
@hamisidale2704
@hamisidale2704 Ай бұрын
Kizungu akitamkwi hivyo
@barikilevava-rx7du
@barikilevava-rx7du Ай бұрын
Yuko saw kabsa
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 Ай бұрын
Report ya CAG inajadiliwaga mstar kwa mstar kama hivi?? Au ndo kumtaftia mtu ubaya
@georgevalilanga7412
@georgevalilanga7412 Ай бұрын
Yaan natamani ilo mbunge liungue na wabunge wote waliopo hom mungu tusaidie
@DensonKaboneka
@DensonKaboneka Ай бұрын
Msiwafanye wa tz bado wana usingizi kwa kulinda uficiem ipo siku mtaangukia pua
@juliethpetro8763
@juliethpetro8763 Ай бұрын
Wewe uwez kumshauli ajiuzuru wakati kachaguliwa na wananchi wake.
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Hv wabunge mnaomhukumu mpina mna watoto kweli
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Sasa kama mmemtoa nani anawakilisha jimbo lake? Kama mnaona alifanya makosa Kwanini Sasa msimchukue mtu mmoja toka jimboni kwake kwa ajili ya uwakilishi?
@meyou-zz8mj
@meyou-zz8mj Ай бұрын
Yaani point kwa nn kaongea ukweli ndio mjue Ccm haina huruma na wananchi
@unclepumpuu5920
@unclepumpuu5920 Ай бұрын
CCM ni nchi inawajali wanyonge sana na watanzania mtajuta kuchagua wengine wako na Sera za wazungu. Hakuna Chama bora kama CCM
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n Ай бұрын
​@@unclepumpuu5920weeh sio mzima kwa kweli
@venancemartin6734
@venancemartin6734 Ай бұрын
Uyo msomaji kwn vp!
@vickytorry100
@vickytorry100 Ай бұрын
Kingereza anamung’unya simwelewi kabisa
@alliepeppino8883
@alliepeppino8883 Ай бұрын
Hiyo ndio bongo mtake msitake
@agofranco4766
@agofranco4766 Ай бұрын
Bunge la kamati kuu ya fisiemu
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g Ай бұрын
Mh Mpina wewe ni mpambanaji hodari anayejiamini na asiye mnafiki!! Uchambuzi wa kina unaofanya umeonesha umahiri na weledi wa hali ya juu. Ripoti yako inahitaji majubu ya kina na si vinginevyo. Endelea kuipambania nchi hii bila woga. Mungu atakulinda nasi tuko pamoja nawe kokote utakakokua..Aluta Continua
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 Ай бұрын
BUNGE LINA WATU DUNI SANA huyu kusoma tu hajui sheria atatunga vipi ?
@joyceKingu
@joyceKingu Ай бұрын
What is gap sugar please
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Ай бұрын
Tukitoboa inchiyetu mmmmhhh
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
Bunge linatumia kanuni sasa kama waziri ajafuata utaratibu amekosea pia ndomaba kamat ndo inausika
@andrewwamai4961
@andrewwamai4961 Ай бұрын
Grade 4 reading
@TEMBAANICETUS1
@TEMBAANICETUS1 Ай бұрын
Sidhani kama aliewa alivhokuwa anakisoma lakini sio makosa yake ni mfumo wa elimu yetu. Contrcat nuingi tunashindwa kujitetea.
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Ай бұрын
Mbona anajifunza kusoma
@hajilubwaza3412
@hajilubwaza3412 Ай бұрын
Kwan yeye anatetea nn na nyie mnatetea nn
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
wezi wakuma nyinyi sasa mpina anakosa gani hapa
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Usitukane kwa kutumia kiungo hicho cha mwili, ni cha thamani mno wazazi wetu wa kike wanacho
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 Ай бұрын
Were mbunge keeling huoni hy kweli mtu kukosoa kweli ni Dhabi??
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g Ай бұрын
Tuko na mpina
@SospeterMagere-q3o
@SospeterMagere-q3o Ай бұрын
Bungeni leo live
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Ай бұрын
Huyu mama wa juteuliwa au kuchaguliwa
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Bandari kmya sukar tu shida
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Ай бұрын
Mnashangilia nini
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r Ай бұрын
2025 sio mbali kabisa
@RichardBaijukya
@RichardBaijukya Ай бұрын
Acheni kudanganya wana ichi kumbuka nao niwa2u nawanauwe wa kuchambua kati ngano na udag
@robisonmabaso4720
@robisonmabaso4720 Ай бұрын
hata kusoma hawajui hawa watu unategemea nini cha maana kutoka kwao Mwanangu wa darasa la sita angepewa kusoma hiyo ripoti angesoma vizuri kabisa
@fidelisferuzi5503
@fidelisferuzi5503 Ай бұрын
Hivi ni "gap sugar" au "sugar gap"?
@JohnNswila-em7jo
@JohnNswila-em7jo Ай бұрын
Duh kiingereza cha mwenyekiti jamani uuuuuwi,Mange kimambi upo wapi jamaniiiii
@JoshuaMusukwa-kq4ll
@JoshuaMusukwa-kq4ll Ай бұрын
Mupina ongela mungu ndiye haki
@richardtoyota6966
@richardtoyota6966 Ай бұрын
Aibu 😊
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm Ай бұрын
Unamshtaki mwizi mla rushwa unageuziwa kibao wabunge mnajisikia je hata ukweli wa wazi mnaukataa mnamwakilisha nani
@elishabarongo6794
@elishabarongo6794 Ай бұрын
Jamaa anasoma kama hajaenda shule
@samsonGodanya
@samsonGodanya Ай бұрын
Ata anachokisema hakijui
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 Ай бұрын
Unafiki ni mwingi sana. Bandari mliruhusu iende, cag mlifunga midomo, mpina mnabwabwaja. Wanenu ni wenzetu huku mitaani. Kesho tu tutaendelea nao kwenye shida za mwendo kasi
@user-no2ut7yd3e
@user-no2ut7yd3e Ай бұрын
Bunge 25 litakuwa la mseto kwa hali niliyoona leo kwa lipoti ya Mpina.
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie Ай бұрын
Wapigaji wameungana wakamgeuzia kesi mpina😂😂😂 babake. Chezea wapigaji wewe
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Ай бұрын
Huyu mpina anashida binafsi na baadhi ya mawaziri bashe alijuwa shida ya wananchi haijalishi aliyempa kibali cha kuingiza sukari ana biashara ya kuuza mandazi au ana biashara ya kuuza njugu kilichotakikana kwa dharura ni sukari na hao wauza maandazi na njugu waliweza kuleta sukari kuliko waliko baadhi ya wenye viwanda
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
We lipumbavu kweli upo sawa na hao mazezeta wabunge wanaotete wizi
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g Ай бұрын
Hakuna shida binafsi wewe mpaka sukari 10000 kilo bado anastahili kuwa waziri
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Ай бұрын
@@George-jz3jg wewe liakili kweli nandio maana mumemtetea hakupewa adhabu na imethibitika mpina kasema kweli na anakili nzuri kama yakwako yakupima samaki kwa rula inaonesha mnapima samaki kwa rula pamoja acheni kutetea ujinga mimi juu ya upinzani wangu wa ccm lkn sio msmbo yakibwege mmempongeza kumbe mnamchongea domo chongea kichwa ukimya sometimes ni busara
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Ай бұрын
@@George-jz3jg hakuna upinzani wakupandishiana sukari ambayo dunia nzima ipo bei rahisi sisi wamepewa mamlaka watu 6 wanatuadhibu wanapandisha sukari kiholela wanazificha ukiuliza tunalinda viwanda ambavyo vinajali maslah yao kisa upinzan hata wabunge wa ccm wamempa adhabu kali kwasababu ya machawa wa upinzan ndio maana wamekazia sasa mmemsaidia nini? Naubunge 2025 ninavyo wajuwa ccm hawamuwachi nawamesema kwenye bunge watamshughulikia
@AmaniSulle
@AmaniSulle Ай бұрын
LEO NDO NIMEAMINI HATUNA WABUNGE K
@CovenantTv-kg6hv
@CovenantTv-kg6hv Ай бұрын
Acheni ukaka na udada bungeni hapa sio sehemu ya kutetea undugu
@barikilevava-rx7du
@barikilevava-rx7du Ай бұрын
Nyinyi mmechangsnyikiwa mnawaza ujinga na ukenge
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Ай бұрын
Bunge la hovyo
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Lakini tunaofatilia tunasikiliza msijisahau
@moseskisingi7696
@moseskisingi7696 Ай бұрын
Hili bunge hadhi na heshima litavipata wapi kwa aina hii ya wabunge! It's a disgrace.
@user-sp2pp9yl8g
@user-sp2pp9yl8g Ай бұрын
Msukuma Amesema Alitenda Zambi kuchoma Nyavu za Watu
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Wabunge mshakua wafanyabiashara ndio tatizo
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Ай бұрын
Namaliza mb zangu bure
@zakariamakumba5042
@zakariamakumba5042 Ай бұрын
Tuko na mpina shujaa
@user-ub3gy5od1m
@user-ub3gy5od1m Ай бұрын
Naomba mihimili mitatu ya nchi kila mmoja ujitegemee, serikali icheze ndani ya eneo lake, bunge vivyo hivyo na mahakama pia, tutaweza kusonga mbele vinginevyo tutakuwa wa maneno tu
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
Bunge la wapigaji
@user-cf1es3nk5e
@user-cf1es3nk5e Ай бұрын
Kitenjo😅😅😅😂😂😂
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n Ай бұрын
Nyie mnatumia honey ndio maana hamjali kitu
@jocktankitaluta8024
@jocktankitaluta8024 Ай бұрын
Adhabu anapata mwananchi au mbunge?
@frankkimaro4696
@frankkimaro4696 Ай бұрын
Mhe mpina tuko pamoja
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 126 МЛН
TAZAMA RAIS SAMIA AKARIBISHWA NA BENDERA YA CHADEMA MOROGORO
22:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН