🔴

  Рет қаралды 18,785

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

9 ай бұрын

Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson akiwasili katika uwanja wa ndege Dodoma akitokea nchini Angola leo Jumapili, Oktoba 29, 2023.

Пікірлер: 20
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 ай бұрын
Hongera dada tulia mungu akujalie uje uwe rais wa nchi hii kwanza unahekima ya juu Sana busara kubwa mungu kaviweka juu yako
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 ай бұрын
Hongera spika hongera rais wa ipu hongera mama Samia suluhu hasani hakika Wanawake mnaweza
@annamulungu2876
@annamulungu2876 9 ай бұрын
Kila laheri Dk. Tulia. Mungu akuongoze❤
@jumamchina9038
@jumamchina9038 9 ай бұрын
Kila la kheri ndugu TULIA
@andrewmashika3756
@andrewmashika3756 9 ай бұрын
Hongera sana Mh. Spika Tulia kwa uteuzi wa Raisi wa Umoja wa Mabunge Duniani.
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 9 ай бұрын
Hongera sana mh Spika
@faidajuma6599
@faidajuma6599 9 ай бұрын
Hongera sana sipika wetu kwa ushindi muzuri
@thomastarimo
@thomastarimo 9 ай бұрын
daaa ni shida sana
@user-gb4ot5re3f
@user-gb4ot5re3f 9 ай бұрын
Hongera sana kyusa mama mbegutata dunia imejua sasa
@thomastarimo
@thomastarimo 9 ай бұрын
wanao sifia sifia ujinga huu ni wale la saba
@thomastarimo
@thomastarimo 9 ай бұрын
nchi imekosa wasomi kabisa ndege ina mbeba mtu mmoja kwanza ana mfuto kwa mtu yoyote hapa dunia na hata mbinguni
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 9 ай бұрын
Mbona hiyo picha ya tangazo la *clip* ni tofauti kabisa na hiyo picha halisi?
@justinmwamloso7559
@justinmwamloso7559 9 ай бұрын
Hivi hizi ndege huwa zinabeba abiria kweli au zinabeba tu viongozi wanapo safiri kwenda ktk majukum ya kiserikali naomba kujua tu jaman maana utasikia ndege zimeingiza hasara kubwa
@allykagoma5168
@allykagoma5168 9 ай бұрын
Ndugu kama hujawahi kupanda ndege utajuaje kama ndege zetu zinabebaga abiria panda Air Tanzania upape raha na kwa sasa zinaenda karibu mikoa yote😅
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 9 ай бұрын
Kwa hiyo ulitaka aje na basi kutokea Angola?? Unauliza upumbavu mtupu wewe..kama unaumia sana nunua ya kwako..
@babuloliondo74
@babuloliondo74 9 ай бұрын
ngoja nikusaidiye turia kakodi ajakwenda bure kampuni imesha ingiza chake usiwe nawasi wasi turia mtu mkubwa kwatanzania na duniani usiwe na wivu piga kazi tujenge nchi yetu
@khalidmyaule6187
@khalidmyaule6187 9 ай бұрын
Serikali inakikita kwenye kutoa huduma bora kwa wananchi tuu.
@paulombay6884
@paulombay6884 9 ай бұрын
Yan ndege inambeb spk peke yake ,kweli uklipa TRA umelipa CCM kumbe ,fumbas san
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 ай бұрын
Hivi kweli ccm hawana kazi ya kufanya ? Kodi za watanganyika zinachezewa kijinga kabisa
@babuloliondo74
@babuloliondo74 9 ай бұрын
acha wivu nahusuda wewe vip na roo yakimasikini pigania maisha babu
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku,17 Agosti 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,2 М.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 3,3 МЛН
Sugu aanza mikutano, amtaka Dk Tulia wakutane 2025 jimboni
7:50
Mwananchi Digital
Рет қаралды 30 М.
I was deported from the UK after they stole my military plane idea | Tuko TV
54:51
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН