🔴#LIVE: MZEE MAGOMA ANAFUNGUKA A-Z UKWELI WA KESI YAKE NA YANGA (SPORTS ARENA 17/7/2024)
Пікірлер: 100
@laurentkirigitiАй бұрын
Kimataifa leo naomba mtusadie kujua tofauti kati ya timu kuwa nzuri na kuwa na kizazi cha dhahabu kwa sabu belgium 🇧🇪 hwawakufanya makubwa sana kwenye world Cup na euro lakin franch walio fany vzr toka 2016 mpk leo lakini hwatajwi kuwa na kizazi cha dhahabu
@godfreyMchomvu-q2dАй бұрын
Yanga oyeeeee
@NickisonJonathanАй бұрын
Uyo mzeh kazeeka vibay mmkapime akali
@Mhappy5Ай бұрын
Mzee anataka aende na engineer au nan😒
@user-ho5qb7sc2oАй бұрын
Huko alikotoka pia hawamtaki,Kwa ujumla hakubaliki asituvuruge, Ingekuwa wote tunaruhusiwa kuwa viongozi Kila mtu ingekuwa Rais wa nchi Hatukutaki mzee kalime majukumu yako mengi usimsumbue Rais wetu Engineer Hers
@zombokoyassin-li8sdАй бұрын
Inasikitisha sana, cc tunamuwaza chama atauwasha naona gani moto akiwa na pca huyu mzee nae anaivuruga tena yanga da! Katumwa co bure hiii tena unaiingiza kwenye mgogoro tena kweli? Huyu mzee kanichanganya leo
@zombokoyassin-li8sdАй бұрын
Njaaa kali, kwann yanga ikiwa inafanya vizuri ndio yanaibuka haya? Gsm atoke na injinia wake yeye ataweza kuendesha tim?
@user-lp5rp3mt5eАй бұрын
Huyu mzee msenge 2
@user-ou1mb7mn1dАй бұрын
Wazee wa dar mnanjaa sana hv yanga ni ya dar tu
@FahadBey-ub2rzАй бұрын
Kumbe ww unajua yanga ni ya wap!??
@david255chengula5Ай бұрын
Kwani uyu mzee tukimfuta uanacha ma sisi kama wanachama kuna shido?
@user-lp5rp3mt5eАй бұрын
Amna Shido kabisa
@SportsRahaАй бұрын
Tatizo la waTz ndo hilo mzee kaona mbali ila kutokana jambo limekuja wakati Yanga inapata mafanikio wanamuona mzee chenga ila baadae mambo yakienda kombo ndo watamkumbuka
@paolo4584Ай бұрын
Huyu mzee ana hoja kubwa sana sema.. mbumbu wengi wamemezwa na furaha😅
@AndersonMokiwa-is5chАй бұрын
Huna akili hata wewe
@AndersonMokiwa-is5chАй бұрын
@@paolo4584kwa hivyo wabunge wanaotuwakilishqga bungeni sio sawa wananch wote tuende bungeni
@iddimngazija1957Ай бұрын
Hata nyinyi mlimuona kigwangala chenga lkn hatukuwaingilia kwenye mambo yenu
@MileyMzirayАй бұрын
Kalombwe
@ConfusedJellyFish-zi5fbАй бұрын
Hivi huyo Mzee anamchango gani kwa yanga au yeye akijivua uanachama yanga itapungukiwa nini atoe njaa hapa na arudishe kadi ya timu yetu
@JumaKigamboАй бұрын
Wanaweza kuwa na faida kwenye bakuli hivyo kwa sasa Mambo yao nimagumu
@saidaltamimu7930Ай бұрын
Huyu Mzee anataka kuwapa watu dhambi fisad
@user-lp5rp3mt5eАй бұрын
Samaki mmoja akioza unamtoa unatupa wengine unapasha !!! Huyu mzee atuache !
@dominicmasele750Ай бұрын
Naomba kujua kwa nini Magoma hana tawi mpaka saiv? Na je amejaribu kuomba uongozi kwenye tawi ili apate nafac iyo anaililia amekosa?
@thabit5775Ай бұрын
Mzee yuko sawa
@DrNyamwiMSMDАй бұрын
Mzee Ana point
@yusufunguruko8080Ай бұрын
Kitenge kelele nyingi hutoi nafasi kwa wenzio.
@VedasEllyАй бұрын
Hana hoja ya maana
@BuraK-bk9iwАй бұрын
kuna mazee mengine hua yanazeeka vibaya kabisa
@salumhamisi22Ай бұрын
kwa vile anapingana na maslahi yako?
@rahmasaid9588Ай бұрын
mnafiki huyo si mwanachama tena
@almortabaz_TzАй бұрын
Hawala anafosi kuwa sawa na waife
@DeogratiusMwachali-uy1kxАй бұрын
Huyu mzee mbona kama anatuchanganya na anajichanganya mwenyewe
@yusuphabubakary2030Ай бұрын
magoma mwez ujao aachiwe amlipe aziz ki mshahara
@ramadhanihassani6825Ай бұрын
Anatumiwa na simba
@AndersonMokiwa-is5chАй бұрын
Kwa hivyo huyu mzee anataka hata sisi wananch tuende bungeni wote mana wabunge bekeyake ni kosa serikari inatubagua wananch hana akili huyu mzee
Sema kitenge kweny suala la Yanga humwambii kitu😅😅😅😅🙌🙌🙌
@bakariomarimndeme6059Ай бұрын
Naomba wizara husika iliangalie jambo hili huyu mzee ataka kuleta vurugu na kuondoa utulivu nchi uliokua nao,hembu serekali iliangalie hili kwanza tunakabiliwa na chaguzi serekali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka kesho jambo hili laweza kudhoofisha chaguzi zetu tunaomba utulivu Yanga ina watu wengi nchi nzima twataka utulivu twende kwenye chaguzi zetu kwa amani.
@geophreymchunguzi7144Ай бұрын
Kwa magoma ni wapi wanyanga tukamsalimie?
@karenlema4317Ай бұрын
Sasa tukienda wote kwenye mkutano tutatosha huko mkutano mkuu hii kali
@Khalfan-wp8wmАй бұрын
Mbn huyo kitenge akiguswa kwenye timu yake anakuwa mkalii msilete uyanga kwenye kipind
@antonjohn134Ай бұрын
Lingekuwa swala la Simba kitenge angekuwepo apo
@ramadhanihassani6825Ай бұрын
Kitenge umemuona maana ulikuwa unasema kitenge hayupo
@JoelMwakabanga-wk6zzАй бұрын
Magoma acha ujinga ulikuwa wapi mda wote huo
@JumaMigezoАй бұрын
Njaa mbaya
@juanhumphrey3510Ай бұрын
24:03 huyu mzee anachokitafuta atakipata mwache atuharibie timu
@johnsilima1629Ай бұрын
Hersi Aende tu huko kenya akaiongoze Gor mahia sisi kama yanga hatumtakii😢😢😢😢😢😢😢
@user-ho5qb7sc2oАй бұрын
Haiwezekani wote tuwe viongozi, Tunakuwa na viongozi wawakilishi , Wote tukiwa viongozi nitakuwaje?? Ni kitu hakiwezekani mtateseka sana
Bwanae hatuwezi kushiriki mikutano wote, kama hupendwi kaa kwa kutulia, haiwezekani wote ha tuwe viongozi kuwa viongozi jamani mzee mbaya ,Viongozi wanachaguliwa ukiona hujachaguliwa wakati wako haujafika huyu mzee asitukoroge
@PrincePalaluАй бұрын
Huyo Mzee anaonekana anataka madaraka bas mkabidhini yeye uraisi wa yanga huenda atanenepa
@peterkazeni2460Ай бұрын
hao wazeee watuachie timu yetuuu
@bullychandy6509Ай бұрын
Zamu ya watani kuteseka
@saidaltamimu7930Ай бұрын
Yanga haitesek Wala hakuna wakututesa
@HamidaKibwana-cz6yvАй бұрын
Haiwez tokea Kuna kitu kinatafutwa apo yanga Wana jambo lao
@jumannejuma5864Ай бұрын
Jumanne Juma Huyo mzee Magoma ametokea wapi lakini anataka atuhalibie timu yetu tunamuombea Mungu amchukue akapumzike mbinguni ok na apunguze njaa zake huyo
@user-zb2mj5nd5gАй бұрын
George Job, huyo mzee umempa maswari nondo hadi kachemsha kujibu, huyo mzee namuona kama virus tu ndani ya club kwani hawezi kufukuzwa kaw lazma
@JackKanyigoАй бұрын
Muulize huyo mzee..xaxa hivi tunasajiri yeye amechangia sh.ngap?..mpira kwa xaxa ni pesa,hao wazee wanaongangania wasikike tu bila kutoa hela wakae mbali..anataka maamuzi gani wakat hela hana
@RomboBoy-bl7qlАй бұрын
Kumbe uchawi upo kwel ndo naanza kuamini
@hozzashehozza9319Ай бұрын
ipo siku mtamuelewa tu huyu mzee tunaemtukana leo, hii ndo devide and rule. wape wachache uwezo wa kupiga kura ili uweze kuwacontrol wakuchague na kupitisha utakacho wewe, wa kuelewa na aelewe