No video

A-Z UKWELI WA SAKATA LA SIMBA USAJILI WA AWESU / KMC WANG'AKA / KESI YAFIKISHWA TFF KUPITISHA RUNGU

  Рет қаралды 21,111

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@georgerobert9995
@georgerobert9995 Ай бұрын
Niliwahi kuongea ujio wa magori ktk kamati ya usajili ya simba ndio chanzo cha kuharibu tartibu za soka hata wakt yupo nssf mambo yalikua hovyo
@EduardzorikiErnest
@EduardzorikiErnest Ай бұрын
Simba nguvu moja
@PeterHamim
@PeterHamim Ай бұрын
Wasafi mngewasikikiza simba na mchezaji mwenyewe ili muweze kubance msitoe hukumu ya upande mmoja wa k mc
@andrewmuya7212
@andrewmuya7212 Ай бұрын
Niko pamoja na wewe.Wasafi wanakulupa bila kubalansi
@charleslinhege690
@charleslinhege690 Ай бұрын
Mbona hujaulizia position ya Simba kuhusu usajili wa Awesu. Umewasikia KMC bila shaka
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Ай бұрын
Mnazungumzia utaratibu upi ikiwa nyinyi wenyewe mnasikiliza upande mmoja na mnaanza kuhukumu? Kwa nn msiwapigie na Simba nao mkawasikiliza?
@SaadaOmary-c4e
@SaadaOmary-c4e Ай бұрын
Simba n matapeli,wizi wala ngada
@yahyafadhil1654
@yahyafadhil1654 Ай бұрын
Tutapiga kelele lakn mambo haya yana umafia mwingi na utakujakuona linaisha kimya kimy
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m Ай бұрын
Ao simba awana akiri kira cku wana iba wachezaji wa tim nyingine awana era ya kuvunja mkataba wezi aoooo
@AGNESSVERONIKA-y7w
@AGNESSVERONIKA-y7w Ай бұрын
Ngoja nikurudishe shule kwanza ndio uje kuropoka,,,sio akiri ni akili,, sio awana ni hawana na sio era n hela ,,wezi haoo,,sio aoo mjnga mmoja hivi umeamka na njaa unakuja kuropoka ropoka😢
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 Ай бұрын
Nyie wasafi mnazidi kupoteza mvuto kwa sababu huwa mnapendelea kwani mnasikiliza upande mmoja tu badala ya kubalance story
@yahyafadhil1654
@yahyafadhil1654 Ай бұрын
Hapo kunashida inawezekana huyu mchezaji alikuwa anatakiwa na timu nyengine
@shilladickson3852
@shilladickson3852 Ай бұрын
Ya magoma hamkuyakomalia...hapo imeuma uwesu kwenda simba
@aziziwailu7531
@aziziwailu7531 Ай бұрын
Acheni unafiki jana wameweka magoma day
@user-ip2vy4rg8x
@user-ip2vy4rg8x Ай бұрын
Wanamambo ya kizamani
@moudyhamisi2641
@moudyhamisi2641 Ай бұрын
Hawa WCB Miyayusho sana kuhusu Yanga na kesi yao kimyaaaa
@aziziwailu7531
@aziziwailu7531 Ай бұрын
Jana magoma day
@EsterKindoli
@EsterKindoli Ай бұрын
😂😂😂😂jana na leo wameongea mbona? Magoma jana kaongea na Leo wazee wa yanga baadh
@charlesnchimbi8510
@charlesnchimbi8510 Ай бұрын
Yani hili timu linazoa zoa tu bila hata weledi kila siku kesi za wizi halitaki kwenda kuvunja mkataba linawatumia wachezaji husiku ili wawapate bure😂😂😂
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 9 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 41 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 29 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 16 МЛН
SIMU YA TAJIRI 'MO' DEWJI KMC COMPLEX
2:19
Sportvia Media
Рет қаралды 860
SNAKE BOY | ep 34 | SEASON TWO
30:24
CLAM VEVO
Рет қаралды 45 М.
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 9 МЛН