🔴

  Рет қаралды 260,032

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

🔴#LIVE​​​​​: TAJIRI ALIYEJIJENGEA KABURI LA BILIONI AFARIKI, MTOTO ASIMULIA - "KAMJENGEA NA MKEWE"
Takribani miaka minne iliyopita, mwaka 2018, tukio lisilo la kawaida lilivipamba vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi! Lilikuwa ni tukio la mganga wa jadi, Anthony Lumuliko Mwinami almaarufu Dokta Mwandulami, mkazi wa Kijiji cha Wangama, Kata ya Mtwango mkoani Njombe kuzungumzia kuhusu ujenzi wa kaburi ambalo mwenyewe alitaka atakapofikwa na mauti, azikwe hapo!
Kwa mujibu wa maelezo yake, Mwandulami alieleza kwamba ameamua kujenga kaburi hilo lenye ghorofa moja na urefu wa mita 12 kwenda chini, sehemu ya mapumziko pamoja na sehemu watakapozikwa wake zake watatu, ili watakapozikwa, kumbukumbu zake ziendelee kubakia vizazi na vizazi, kwa sababu kazi aliyokuwa anaifanya kwa jamii, ilikuwa kubwa na inayohitaji kuenziwa. Si yeye pekee aliyepanga kuzikwa kwenye kaburi hilo, bali pia, wake zake watatu!
Waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari, vya ndani na nje ya nchi, walifunga safari mpaka katika kijiji hicho, kujionea kilichokuwa kinaendelea kwa sababu si kawaida kwa watu wengi kujiandalia makaburi ambayo watazikwa watakapofikwa na umauti.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 313
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 3 жыл бұрын
Du!!! Innalilah wa Inna ilaihi rajuul,, nashukuru mungu kwakunipa neema ya uislamu,
@ambakisyejeremia4204
@ambakisyejeremia4204 3 жыл бұрын
Daaaa nakukumbuka Ndg yang Tulivokutana Hospital ya Ikonda Njombe. Pindi na muguza Baba uliweza nipatia kiasi chapesa ilikiweze kusapot kuguza Babayang
@lolodasu7345
@lolodasu7345 3 жыл бұрын
Intelligent people who fought for the whole Southern Africa to be independent we dont forget we Salute you Tanzanian
@esthernakawule7009
@esthernakawule7009 3 жыл бұрын
Thx 4 da show
@mpingasamwel5088
@mpingasamwel5088 Жыл бұрын
Pumzika kwa aman mzee mwndulami ulikuwa rafiki yangu, babu yangu,baba yangu vilevile kama kaka nafasi hizi zote ulifiti kwangu. Nitakukumbu daima.
@florentinefmmkenda3902
@florentinefmmkenda3902 3 жыл бұрын
Safi. Mungu ampokee pumzikoni yeye aijua imani na matendo yake. Kuwa na wake watatu wanaojuana na kujulikana ni uhalisia zaidi wa mwanaume kuliko unafiki wa kujionesha kuwa na mke mmoja tu ingali utitiri wa michepuko. Hivyo mtu anoonekana kama vile ni mwema kwa vile anajitahidi kuwa na unafiki wa hali ya juu.
@lolodasu7345
@lolodasu7345 3 жыл бұрын
Why our people leaving so young? Is so painful long live children of Africa . So sad I can understand 1/4 of Kiswahili bkoz it has mixed of alk Bantu African Languages. Rest in Peace.
@dominicjulius3108
@dominicjulius3108 3 жыл бұрын
Tamaduni za waislael kujijengea makubuli
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Poleni wafiwa mbeleyake nyuma yetu
@adesankaandre9434
@adesankaandre9434 3 жыл бұрын
kabur la thamani halimpeleki mtu mbinguni, maskini alijiandalia sehemu ya kuhifadhi mwili unaooza padala ya roho. Mungu ampokee mbinguni mbinguni
@annamwampashe9811
@annamwampashe9811 3 жыл бұрын
Duh
@martinkiberenge4405
@martinkiberenge4405 3 жыл бұрын
He died as a hero,who never scared of dying while others don't like to see even coffin.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 3 жыл бұрын
Hatari sana
@twinaweloyceissack6076
@twinaweloyceissack6076 3 жыл бұрын
Mzee Mtaragala Chirangi
@aminamambi5307
@aminamambi5307 3 жыл бұрын
Mbn inaonekana mtoto wake mkubwa halafu baba mdogo
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 3 жыл бұрын
Duuh
@lolodasu7345
@lolodasu7345 3 жыл бұрын
Why all our intelligent people leaving Earth so Early they cant even be 80 years why why why do painful
@veronikamkuwele9072
@veronikamkuwele9072 3 жыл бұрын
Mganga alisema hivi mpk litakapo kamilika namiundombinu yake ligarimu bilion moja sasa mnaobisha jengeni la kwenu tuone
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Mtoto wa malehemu hb😋😋
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Amelala anapostahili watu wenye imani juu ya Mungu wanajua yupo wapi basi
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3 МЛН
They brought witchcraft to our wedding  | Tuko TV
41:36
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 271 М.
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,7 МЛН
MTU HAI AJICHIMBIA KABURI LAKE NA WAKE ZAKE
2:19
TBConline
Рет қаралды 29 М.
Master's in Bioethics and Medical Humanities Information Session
1:01:49
CWRU Department of Bioethics
Рет қаралды 4 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН