🔴

  Рет қаралды 15,833

SWIRATWA ONLINE TV

SWIRATWA ONLINE TV

9 ай бұрын

VITA IMEANZA UPYA SHEIKH DIWANI NA MTOTO WA BACHU || MAULIDI YASOMWE

Пікірлер: 292
@user-mu1ge1nx5k
@user-mu1ge1nx5k 9 ай бұрын
Sheik diwani hapana sio hivo ,ushabike sio nzuri,ust saidi na sheik kubra hamna kitu, sheik Mohammed katufunga goali na hatuwazi kuiakumbua mpaka mwisho wa dunia, lakini Mimi moulidi basi,sheik Mohammed nimekualawa mm ahsant sana
@faridasaleh4982
@faridasaleh4982 9 ай бұрын
Kasome kwanza ndugu yangu maana sh diwani kitu anachokielezea anakijua ndo mana anaongea
@user-ws7fb8ph9q
@user-ws7fb8ph9q 9 ай бұрын
Sheikh muhammad bacho allah akujaliyemwishomwema sisitumejihoneyawenyewe musitulazimishe kupoteya nasijiyayahakitunahijuwa natumezidikuhelimika kupitiya sunnah na Quran
@bakarhaj9214
@bakarhaj9214 9 ай бұрын
Hongera sana shekh kwa kuweka samary ya mjadala na ushaur nzur
@shabaniumande
@shabaniumande 9 ай бұрын
Unakuja kujibu kuwa wanyama waliongea ao hawakuongea JIBU Tunasubiri jibu kama wanyama waliongea ao hawakuongea
@waterforlife9356
@waterforlife9356 9 ай бұрын
Mashallwah umekua muwazi sana Allah HAFIDHKUM
@AllyNgale
@AllyNgale 9 ай бұрын
Shekhe yusufu diwani uko vizuri saana Allah akulipe Kila la kheri Kwasababu hakuzingatia Allah alivyo mdhalilisha Kwa kukojolea kiti Kwasababu Bado mtoto wa bacho anaendelea na kukirashi mambo ya kheri Tunacho kisubiria Sasa ni mtoto wa bacho kujinyea kabisa
@loudcrytv8949
@loudcrytv8949 9 ай бұрын
Shekhe Bachu amewavuruga Sana Mashekhe. Yaani kwenye Mitandao yote ya kijamii ninaona ni watu wanatokwa jasho kulalamika Wala siyo kujibu hoja.. Sasa imebaki majigambo ya Usomi. Sasa Usomi huo si utumike kujibu hoja? BORA MNGENYAMAZA TU
@rashidmohd115
@rashidmohd115 9 ай бұрын
Sio km huoni na husikii hoja za kielimu zinazotumika kisheria ya kiislam kuulizwa bachu ktk hoja zke anazojenga lkn jiulize kwann bachu kisheria anakwepa kujibu hoja
@omarkioma3154
@omarkioma3154 9 ай бұрын
ASSALAAMU ALAIKUM. NYINYI MNAOJISEMA KUWA MNAJUA MBONA HAMTOI UFAFANUZI KWA HAYO YANAYOSEMWA NI UONGO KATIKA MAULID ILI UONEKANE NI UKWELI. DINI YA KIISLAMU MSINGI WAKE NI KITABU CHA ALLAAH NA MWENENDO WA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NA HAYO MAULID YAPO WAPI KATIKA MSINGI HIYO. TOENI UFAFANUZI KWA UFAFANUZI KWA WAISLAMU WAELEWE.
@omarmsomall3809
@omarmsomall3809 9 ай бұрын
Nyinyi hamuna elimu yenye manufaa mnaupoteza Umma muogopeni Allah mola wenu kesho mtaenda kuulizwa
@yassinm69
@yassinm69 9 ай бұрын
Huyu Bachu amewashinda elimu asilimia 99.9 acheni discussion ,tunataka majibu sio mbwembwe
@zainabshariff114
@zainabshariff114 9 ай бұрын
Allah akulipe kheyr shekh said
@abdallahsaid1127
@abdallahsaid1127 9 ай бұрын
Alhamdu Lillah mapovu yanawatoka mashekhe, tunataka kuthibitishiwa kwa dalili ni kweli wanyama walizungumza ilipoingia mimba ya mtume.
@zainabshariff114
@zainabshariff114 9 ай бұрын
Wanya wawe waliongea au hawKuongea inakuumia nn
@muniraally4091
@muniraally4091 9 ай бұрын
Duhh sheikh ulikaa kimyaaa sasa umepata kiki ebu nukuu jibu japo moja tuuu toka kwa said
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 9 ай бұрын
Watu wameshabaini porojo za sheik wazanzibar
@solomonsteve3749
@solomonsteve3749 9 ай бұрын
As/alykm warahmatullahi wabarakatuh Iman mtakua ktk afya njema. Jamaa tunahitaji kumuombea dua Mohamed bachu. KASHAANZA KUZUNGUMZA NA PAKA. HAYUPO SAWA. HIVI MTU AKIANZA KUZUNGUMZA NA PAKA ANALIWA SAWA?
@jordan.3109
@jordan.3109 9 ай бұрын
NYINYI MASHIA MUKISHINDWA MNAPENDA KUTOA POVU SANA.
@awatifomar5185
@awatifomar5185 9 ай бұрын
TWASHUKURU KWA KUIJUA HAKI BACHU ALLAH AKUHIFADHI
@ustadhmrishorunigangwe7024
@ustadhmrishorunigangwe7024 9 ай бұрын
Nime gundua wafuasi wengi wa Mawahabi hawana elimu watakao gundua bachu hana elimu ni yule ambae ana elimu angalau ya mutawaswitwat
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 9 ай бұрын
Sasa Yusuf Dıwani ! Unataka kutumbia kuwa Sharif Abulkadar ni MUONGO ? kuhusu Sabbas Kubra??
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc 3 ай бұрын
Mashaallah
@user-tq2iw7tl5p
@user-tq2iw7tl5p 9 ай бұрын
Www shkhe mavi kabisa
@iddimohamed254
@iddimohamed254 9 ай бұрын
We ulikua tanga ukachemsha usituletee huna lolote watafta kiki tu.
@IbraJuma-hm9vw
@IbraJuma-hm9vw 9 ай бұрын
Mutazidi. Kuongea.sana lkin . Jibu nikwmba bachu yupo sahihi.kwkuwa.hakun ktk.sheria.z kidin .dalili yoyote ya kuipnga .maulid. ya kwmba sio bidaa. 😅😅😅😅😅😅😅😅 shkhe unabwabwaja.tu .kama unaayaweza.itishaa. munaQasha😂😂😂😂😂😂😂
@nayef3903
@nayef3903 9 ай бұрын
Mawahabi hamujielewi unafiki mwingi hamuna elimu yoyote ushabiki pekee ndio mnayo
@abuuamourmuhamed1934
@abuuamourmuhamed1934 9 ай бұрын
@@nayef3903 hahahaaaa masufi twarika ahlu bidaa mumeanza lini kujielewa
@FAROUKMOHAMEDI
@FAROUKMOHAMEDI 9 ай бұрын
Sheikh tanga ulipewa nafasi mbona hujanufaisha uma
@omarmsomall3809
@omarmsomall3809 9 ай бұрын
Pigeni hivo vinanda ,matarumbeta ,mukiimba na kukatika viuno
@abuuamourmuhamed1934
@abuuamourmuhamed1934 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@bakarhaj9214
@bakarhaj9214 9 ай бұрын
Bachu jibu suala basi tuendelee na mjadala au huna majibu? Wambie wakusaidie
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 9 ай бұрын
MASHAALLAH
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 9 ай бұрын
Masha allah
@user-pl8zu4nv8r
@user-pl8zu4nv8r 9 ай бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli
@omarmsomall3809
@omarmsomall3809 9 ай бұрын
Kajiungeni na mashia maana wao wameandaa kombe la kumswalia Mtume swalla llaahu alayhi wasallam.
@assadyabdull5146
@assadyabdull5146 9 ай бұрын
Hutaki kombe weye ambae umesilimu jana
@abdallahally842
@abdallahally842 9 ай бұрын
Kasome
@rahmasaid7084
@rahmasaid7084 9 ай бұрын
Ww unae jiita shekh diwani kwanza kabisa ulikua na chuki na mhmd bachu ss ndio umepata la kusema lkn nataka nikwambie hao watu wakenya wanawacheka nyny mashekh wa tz wanawaambia hamuko vzr kwa ilmu ya dini na kudunia hukumbuki yule mbarawa mhmd khatimi alivyo msema kishki pia akamsema na bachu Tena hao ni mashekh wetu wakubwa utakuwa ww Tena unampongeza shekh said kwa lipi haswa alilolisema zaidi ya kurudia swali lake lisilo na maana ... Mm nampongeza Sana shekh wangu bachu Allah amlinde na hasaad zenu
@badiyo0016
@badiyo0016 9 ай бұрын
Ikiwa una Akili na fahamu mzuri na una usomi japo kidogo tu basi usingekosa kutambua sehemu alipo kamatwa huyo mtoto wenu bachu ambae hana hishima na wanazuoni walotangulia walomzidi ilimu na umri Lakini nyote ni sawa sawa tu hatuwezi kuwalaumu
@faizaa155
@faizaa155 9 ай бұрын
Ukweli unauma shaikh Mohamed bachu hajatukana mtu amesema maneno yaliokk ndani y kitabu ndio siyakweli km nyinyi niwasomi jibuni Acheni kuropokwa ukweli utabaki 19 zijibiwe
@salimmbwana6926
@salimmbwana6926 9 ай бұрын
Angalau mwiite mtoto wa Sheikh Nassoro Bachu.
@husseingitonga8921
@husseingitonga8921 9 ай бұрын
Nyinyi makurafi hamna chochote ila uwongo huwa hamjibu chochote ila fitnah.
@othmanabeidy4460
@othmanabeidy4460 9 ай бұрын
Munatetea Uovu barzanji na msuntududari hamna Aibu Acheni unafiq nyoyoni mwenu mnajua Ukweli
@idarusalwi7962
@idarusalwi7962 9 ай бұрын
SHEIKH diwani wewe wamfahamu sana Bachu ana Ujanja lkn wenzake mahabi hamuelewi kabissssa.
@nasarsulaiman9549
@nasarsulaiman9549 9 ай бұрын
oyaa we muuza madawa ya nguvu za kiume vipi wewe huna hata nishai basi nyundo 19 zimekuchanganyeni kweli
@muhyidinalinoor6249
@muhyidinalinoor6249 9 ай бұрын
MASUFI WASHIRIKINA....HAKUNA SHAKA NDANI YAKE....ENDENI WATU WA MAULIDI MKASILIMU
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p 9 ай бұрын
ww diwani wacha kupayuka haki iko wazi kabisa
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 9 ай бұрын
Na nyie ili muonekane mnasema kweli jibuni hoja zile 19 zilizopo ndani ya barzanji, sifa za uongo ziko nyingi sana mule ndani lakini nyie mnataka kulazimisha
@abdallahkiwaka5948
@abdallahkiwaka5948 9 ай бұрын
yaani inasikitisha sana swali ni je! wanyama walitamka kweli?mbona maelezo matamuu lakini waislam wanataka kufaham ilo.sio bachuuu bachu.mbona Sheikhe Abdallah Swareh Al Farsy alisema kuwa ndani ya barzanji kuna uongo?hamjawai sikia? .
@hamadmohammed9928
@hamadmohammed9928 9 ай бұрын
Ndio maana akaulizwa kuwa mtu akiweka hadithi munkar huitwa muongo angejibu angejua kuwa wanyama waliongea au la
@abdallahkiwaka5948
@abdallahkiwaka5948 9 ай бұрын
hivi hata ww msomi mzuri haufahamu kuwa anayekutwa na kitu cha wizi huitwa mwizi!.hii sii hoja hii Dini ni ya Mwenyezi Mungu kila kilichohitajika kimeshafundishwa na mtume(s a w) tusiwe wabishi jamani.
@abuhassan9552
@abuhassan9552 9 ай бұрын
Wewe ukiwa wamtambua Sqidi ni shekhe wako je wewe tukuhisabu ninani hata hujielewi saidi aliongea nini wata propaganda hamumuwezi Shekh Bachu Allah amuhifadhi
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 9 ай бұрын
Mawahabi wana tabu sana! Hawana ilmu kisha wajiona hakuna kama wao. Maulidi yataendelea Inshaa Allah hata wakichukia wenye kuchukia hatujali na chuki zao.
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 9 ай бұрын
Sheikh semeni ukweli acheni fitna bachu yuko sahihi swali lake ndogo tu . Je wanyama walizungmuza ?
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 9 ай бұрын
Ndioo sheikh wanyama wameongea njoo nkupe kitabuu we s ukasome
@ahmedattas2216
@ahmedattas2216 9 ай бұрын
Ndio, walizungumza! Kwani hujui kama wanyama wanaweza kuongea… kama hujui sema SIJUI!
@ahmedattas2216
@ahmedattas2216 9 ай бұрын
Ndio walizungumza, kwani hujui kama wanyama wanaweza kuzungumza? Kama hujui sema SIJUI!!!
@shabanibndaruwesh1810
@shabanibndaruwesh1810 8 ай бұрын
Kuna watu walimpinga mtume kabla yenu, shida mnamtafsiri mtume kwa maoni yenu mnadhani mlishindwalo nyinyi pia mtume hawezi nendeni darasani mkasome kwa mtume hayo madogo sn
@kingofshorts6824
@kingofshorts6824 9 ай бұрын
Mashalah sheikh kwa maarifa yako
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 9 ай бұрын
Subuhanallah angalieni comments zaa mawahabi wanatukana tu allah awaingoze
@omarmsomall3809
@omarmsomall3809 9 ай бұрын
Kalegezeni sauti kaleni mpunga wenu maana nyinyi mnasimamia maswlaahi-lbutwuuni.
@user-om7ov3ji3r
@user-om7ov3ji3r 9 ай бұрын
Wewe mwenye maarifa tupe jibu aloshindwa bachu sasa pale saidi ndokafanyanini mbona hajatowa elmu kwa masufi wadogo wakaelimika
@user-zp4wp5kg8g
@user-zp4wp5kg8g 9 ай бұрын
Yaan masuf mnatulingania kwenye kupiga gitaa
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 9 ай бұрын
Nyinyi mliitwa mashekh wa tiktok mbona hujamjibu shekh wa barzanji kenya ?
@YusraynatAlly-mo7sq
@YusraynatAlly-mo7sq 9 ай бұрын
Kiufupi katika siku niliyokuona kwamba huna ukweli ni leo hii
@user-zp4wp5kg8g
@user-zp4wp5kg8g 9 ай бұрын
Kwanza mutuambie masuf wa kenya wanasema c majaaz bali inafaa kutumia hadithi zaifu nyny masuf wa Tanzania munasema ni majaaz sasa kubalianeni masuf kwanza
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 9 ай бұрын
Kasome rafiki yangu Imam Ahmad Ibnu Hambal ametumia Hadithi Dhwaifu ktk baadhi ya vitabu vyake pia mutamwita muongo. Hata hao wanazuoni wenu kina Ibnu Mutymiya Hadithi zao nyingi ni Dhaifu nao pia ni waongo? Someni hamasa za Bachu hazitawailimisha
@user-uz8cr6qr6j
@user-uz8cr6qr6j 9 ай бұрын
HUYU SHEIKH DIWANI SASA ANAPELEKA MAMBO ZEHEMU NYINGINE ANALETA MAMBO YA UYANGA YANGA HAPA JE NA YEYE HAJUI KUWA AMEKOSEA KWANI HAPA SIYO MAHALA PAKE KABISA KUMBE NDIYO MAANA MUHAMMAD BACHU HUWA ANAKUTUKANA KUMBE NA WEWE MTUPU KABISAA UNA ULIKUWALO REKEBISHA UJINGA HUU
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 9 ай бұрын
Kweli kabisaa
@idrisjames9392
@idrisjames9392 9 ай бұрын
Na vip zile 19 shekh mbn km hazikij.....🤔
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 9 ай бұрын
Jizumbukuku la zama hizi ni muhammad bachu
@awatifomar5185
@awatifomar5185 9 ай бұрын
UZUSHIIIIIII TUUIIII HII NI DINI
@alaminbahero3604
@alaminbahero3604 9 ай бұрын
Huyo Yusuf diwani kwanza ni mjinga alafu hajielewi mpuzi sana
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj 9 ай бұрын
Yusuf Diwani ni mtoto sana afanye duatu apige pesa apite hivi!?
@abdallahally842
@abdallahally842 9 ай бұрын
Kasome
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 9 ай бұрын
Wewe ustadhi bure kabisha
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 9 ай бұрын
Wewe si ufanye munaqasha nae?unawasemea wengine
@yusufyusuf1395
@yusufyusuf1395 9 ай бұрын
Shkh Abdulqadir kamkataaa shkh Sabaas na kamsifu Ustadh Saidi ……kwa mantiq gani ??? Watu wa mantiq mutueleze
@Gamba177
@Gamba177 9 ай бұрын
Huyo mtoto Bachu anapenda sana kula urojo uliyochanganywa na bangi
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 9 ай бұрын
Acheni kejeli sana. Bachu elimu anayo ila hana maarifa na ukaidi mwingi mpaka anaharibu mambo.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 9 ай бұрын
Havuti bangi wala sigara.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 9 ай бұрын
Ila mkaidi tu
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 9 ай бұрын
Hata niqash ya Tanga bhachu hangetoboa ila hakukuwa na sheria.ndo alipo hepa swali la sabas akajitembeza
@user-md5tr1kg5s
@user-md5tr1kg5s 9 ай бұрын
Hahah unafurahisha khurafi ww😊
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 9 ай бұрын
Swala ni Moja tu masufi waache maulidi au wafe 😂😂
@user-me5do6nh2d
@user-me5do6nh2d 9 ай бұрын
Mshindetu ni umoja Ahlali suna walijama
@sheikhsalimsirajtv8332
@sheikhsalimsirajtv8332 9 ай бұрын
Ustadh Diwani kwa heshma na taadhima nakuomba ujibu hilo swal la ustadh saidi lililomshinda bachu,,na pia tupe elmu kuhusu wanyama kuongea kiarabu na kupeana bishara kua mimba ya mtume imeingia,,kama hutojibu na ww pia unapoteza watu bado tunaitaji elmu kujua tuache story ya wahabi ama ushabiki tupe elmu Ustadh Diwan
@jaaffarabuu6750
@jaaffarabuu6750 9 ай бұрын
kauze madawa
@user-ig6bw9lr5t
@user-ig6bw9lr5t 9 ай бұрын
km mnaekana sawa jtahdn msvunjiane heshm masheh zet
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 9 ай бұрын
Sheikh acha bid'aa
@nassleydady5783
@nassleydady5783 9 ай бұрын
Kwaiyo wanyama waliongea au hawakuongea ? Mbna swali dogo lakin mnajikosha
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 9 ай бұрын
Muulize aliyeleta hiyo hadithi, sisi tunanukuu tu.
@nassleydady5783
@nassleydady5783 9 ай бұрын
@@omaryjumas6327 nyinyi c ndio munasema ibada ndio mtuambie
@edyiddy4711
@edyiddy4711 9 ай бұрын
Wewe unaenukuu kwaakili zako wanyama waliongea?
@hameidseif7083
@hameidseif7083 9 ай бұрын
ah huna poiny
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 9 ай бұрын
Tumefuatılıa mınakasha yote Tumeelewaaa kumbe mnawafundsha qatu vitu ambavyo hata ninyi hamvijui. Maneno ya uongo ndan ya kitabu mpaka leo hamjatıelezaa yalee maneno ni ya KWELİ au Ya UONGO???
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 9 ай бұрын
Yani wwe shehke nimafiki unaongelea kiupinzani unaungaunga vipande vyamashe wamaulidi kuwatengenezea watu ukweli minaqasha yote iliyo fanyika tumeina mwanzo mwisho ongopea wasiojua hunaaibuwee mnafikikabisa
@zainabshariff114
@zainabshariff114 9 ай бұрын
Maulid itasomwa milele
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 9 ай бұрын
@@zainabshariff114 ndiomana ikaumbwa Pepo na moto kwa7bu sio wote wataenda Peponi nasio wote wataenda motoni
@ramasalimricha943
@ramasalimricha943 8 ай бұрын
Ahlul Hawa ndivyo walivyo.
@nassleydady5783
@nassleydady5783 9 ай бұрын
Ww ndio ucongee asaaaaa wazee wa majaaazzzz nyinyi kilakit majaz hatukupata chochote zaid ya majz
@abuusumaiyamiburanipba
@abuusumaiyamiburanipba 9 ай бұрын
Munajifaharisha kwa eliminate ya lugha wakati hatamakafiri wakiarabu wanaijua lugha ya kiarabu kuliko hata nyinyi masufi,muhimu ni tauhid ndio inayo pelekea ucha mungu, masufi hamugopi hata mafsadi yanayo one kana wazi wazi kwenye sherehe za maulid,
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 9 ай бұрын
Bro nyinyi muna Tauhid ipi maanake nyinyi mawahabi Tauhid mumeigawanya tupe Aya ya Quran au Hadithi kigawanyo cha Tauhid
@hamisikanyama984
@hamisikanyama984 8 ай бұрын
Mawahabi Wala hawasumbui Kwanza ni hizbul yahudiyah Wana fanyakazi zamayahuei huku wakijivika kilemba chauislam
@hajihajihaji8351
@hajihajihaji8351 9 ай бұрын
1:52 1:54 1:55
@user-hx2yq6xy2u
@user-hx2yq6xy2u 9 ай бұрын
Huyu ndio hamna kitu kabisaa .
@lemalisipilali
@lemalisipilali 9 ай бұрын
Boss wako Apase sauti lakini diwani wewe ni sawa kama umbwa aliyo kosa boss wake hakika Kusilimu kwako kama Ulisilimu bure tena Akili yako kama ya mtoto mdog
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 9 ай бұрын
Acha upotovu
@princehalawa_official7980
@princehalawa_official7980 9 ай бұрын
Ni ujinga na upuuzi waisalam wenyewe tunagombana na kujibizana hivi hamjuwi kama mnawapa kichwa maadui wa uislam acheni upuuzi yapo mambo mengi ya kujadili ili dini yetu iende mbele na sio muanze kujibizana ujinga nyinyi nyote muna makosa rudini kwa Mtume mutaupata mwenendo wa uislam
@allymwanga8253
@allymwanga8253 9 ай бұрын
Waisilam tunakwenda wapi jamani
@user-dg9pn5tl2d
@user-dg9pn5tl2d 9 ай бұрын
USIWE HIVYO NDUGU YANGU DIWANI WALLAHI TUMEJUWA UKWELI UPO WAPI HATUWEZI KUTUDANGANYA TENA,WEWE NA HUYO SABAS HAMUTAMBULIWI MAMBRUI KABISA WALA HAMUJULIKANI MUMESOMA WAPI WALA MASHEIKH WENU NI WAPI
@yusufyusuf1395
@yusufyusuf1395 9 ай бұрын
Nakubaliana na Wewe kuwa munaaqasha wa Mombasa ulikuwa sawa na wa Tanga I’ll tu Nilitarajia uje umuuulize shkh Abdulqadir kwa nini kamkejeli na kumkataaa shkh Sabaas na kaja kumsifu Ustadh Saidi ???
@user-bu4du5kn2k
@user-bu4du5kn2k 8 ай бұрын
: Mawahabi acheni upotofu ikubalini haki jamani
@uledihassan6065
@uledihassan6065 9 ай бұрын
Sisi tumeelimika, wewe diwani huna ujualo
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 9 ай бұрын
Kama wampenda mtume weka ndevu umekaa kama embe
@faizaa155
@faizaa155 9 ай бұрын
Hamujajibu n hamutawezakujibu
@amiramour857
@amiramour857 9 ай бұрын
Wewe shekhe unasema sasa hivii acha uzuchi
@mohamedimcheni2068
@mohamedimcheni2068 9 ай бұрын
Mawahabi mijinga sana
@faizaa155
@faizaa155 9 ай бұрын
Hamunalipya mwenzako amenyamaza n ww usiharibu hewa
@asrymohd6690
@asrymohd6690 9 ай бұрын
Diwani ulikuwepo tanga ulishindwa
@abubakarbakari7042
@abubakarbakari7042 9 ай бұрын
Mimi ni muwahabi napinga maulidi lkn huyu mtoto Hana elimu ilikua aseme sijui na sisi tuelimike tupate tujue na mengine
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 9 ай бұрын
Ikiwa maneno hayo yamesemwa na mtu X au Y, tuambieni ni ya kweli? Wanyama walisema nk. Bachu ni mtu na anaudhaifu wake. Muhimu jibuni hoja msimjibu Bachu. Hayo maneno yalisemwa pia na Sheikh Salehe Farsy
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 9 ай бұрын
Na nyinyi mawahabi si mututhibishie huo ni uongo kwa mnasaba upi
@jambu966
@jambu966 9 ай бұрын
Usitupoze bundle.
@user-uf6jm4jr7r
@user-uf6jm4jr7r 6 ай бұрын
Kuweni na tahadhari na ahlu lbidaa watu ambao wanao linda maslahi yao mambo ambayo hawana dalili nayo ,tusikubali jambo lili
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 9 ай бұрын
Nyie mulikuwa munabishana na mtu asokuwa na elimu
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 9 ай бұрын
Hahahaha hamna kituu saidy hamna kiutuu
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 9 ай бұрын
Achani polojo masufi hamna lolote
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 9 ай бұрын
SHEKHE HAO MAWAHABI ACHANA NAO WATAKUPOTEZEA MUDA KSB BIDAA WANAZOFANYA WAO HAZINA TATIZO ILA TUKIFANYA SISI WANATUKATATA BIDAA ZAO AMBAZO HAZINA AYA WALA HADITHI ALAU YA MUNKAR 1. MASHINDANO YA QURAN 2. KHUTBA ZA IJUMAA KWA KISWAHILI 3. KUSALI WAKIWA WAMEKAMATA MSAHAFU NA KUUTIZAMA 4. KUWAJENGEA WANAWAKE MSIKITINI VYUMBA AU SEHEMU MAALUM ZA KUSALIA 5. KUSOMA JUZUU NZIMA KTK SALA YA TARAWEIKH TOENI DALILI YA AYA NA HADITHI JAPO YA MUNKAR
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 9 ай бұрын
SHEKHE WANGU WACHA NIKUONGEZE YA HII PIA NDIO UZUSHI MBAYA MBOVU MCHAFU ZAIDI 6. KUIGAWANYA TAUHID
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 9 ай бұрын
Mawahabi mwaigawanya Tauhid. Sisi Tutamsifu Mtume S.A.W mpaka kiyama
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 9 ай бұрын
Muhamadi bachu 19-0-0 Al majaazi wal kubra and Said wal munkar Endelea kuwasulubu masufi makhulafi wezi Wa michele ya mayatima
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 9 ай бұрын
Bachu First 11 Tarzan kikojozi
@user-md5tr1kg5s
@user-md5tr1kg5s 9 ай бұрын
Hahah maskin najua mnahangaika sana nafsi nabado mwakahuu mtabak kwenye malid wenyew
Jawaabta Sheekh Dirir Faqriga Lagag Baxaa Guurka
2:41
WACDI Islamic Channel
Рет қаралды 2,7 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 113 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 56 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
LABARINA SEASON 9 EPISODE 12
1:14:58
Saira Movies
Рет қаралды 676 М.
SIRI YAKO NDIO NGUVU YAKO - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
14:26
Kalamutz
Рет қаралды 15 М.
Why close yo eyes and pray?
5:41
Sh. Hassan The Researcher
Рет қаралды 67
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 378 М.
LIVE DARSAH MASJID GHUFEILY MOMBASA KENYA
AHLUL ATHAR MEDIA
Рет қаралды 20
BALAA LA ARAFA HUSENI MADRASAT NURUFAHAMIA {Dufu ndogo}
26:13
TWARI ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 113 МЛН