LULU AJIBU HABARI ZA KUMFUMANIA MAJIZZO

  Рет қаралды 111,075

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Mitandao ya kijamii imewapa wengi uhuru wa kuandika mengi, mengine ni kweli mengine sio kweli, leo Mwigizaji Elizaberth Michael (Lulu) ametumia muda wake kujibu maswali ya wengi kuhusu habari za kumfumania Mume wake ambae ni Majizzo.

Пікірлер: 76
@MaureenPeter-pv4ev
@MaureenPeter-pv4ev 10 ай бұрын
Very courageous lady,,,I just recall her during the advertisement of the film ,,,'Ripple of Tears '
@devotaminga9352
@devotaminga9352 2 жыл бұрын
Nakupenda sanaaaa lulu kwa kua unajielewa sanaaa Mungu azidi kuwatunza wewe na mumeo na watoto wenu🙏
@odethamathayo8468
@odethamathayo8468 2 жыл бұрын
Safu sana lulu kama hayo unayoongea unayaishi utadumu kwenye ndoa yako kila mwanamke anadream awe na mume ambaye hajazaa nje ila hata wanaume naamini wanapenda wawe na watoto wote na mama mmoja ila yote hutokea ktk harakati za maisha na inapotokea huna budi kulikabiri kwa moyo thabiti maana hakuna binadamu aliye kamilika
@elizabethebambo9475
@elizabethebambo9475 2 жыл бұрын
Elizabeth Mama uko vizuri uwe na matashi mema nakupenda jinsi ulivyo Mwenyezi Mungu akusimamie acha nao hao wanafuatilia maisha ya watu pambana kivyako Mama
@minmaxc485
@minmaxc485 2 жыл бұрын
Umekua kiakili sasa good, matured enough watu hubadilika
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@zuu741
@zuu741 2 жыл бұрын
Napenda Sana unavyoweza kujieleza uko vizur wamfanya mtu akueleww
@christineobunde4665
@christineobunde4665 2 жыл бұрын
Elizabeth you so brave!!!!!!!
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 2 жыл бұрын
Very true dear
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 2 жыл бұрын
Wooooww hongera sana
@sporahsende4187
@sporahsende4187 2 жыл бұрын
Kama hujui kua anamadem wengne jitahd ucjue maana ukijua2 utakua umelipua bomu moyon mwako
@ladymoretaboraprincess6190
@ladymoretaboraprincess6190 2 жыл бұрын
Unaakili Lulu I love you mdgoangu.
@fideaojuku
@fideaojuku Жыл бұрын
Safi sana Lulu upo vizur,hakuna mkamilifu kwa kweli
@jeniphachristian2131
@jeniphachristian2131 2 жыл бұрын
Mdogo mwenye upeo mkubwa😘
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 2 жыл бұрын
Bilashaka umetisha kwamajibu 👌🏿👏🏾👏🏾👏🏾🙌🏾💕💕💕
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@sacg9783
@sacg9783 2 жыл бұрын
Hongera zAko mdg wangu na wajina wangu pia
@sesiliamwambepo7136
@sesiliamwambepo7136 2 жыл бұрын
Nice i love you
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 2 жыл бұрын
Sema huyu dada anaakili sana
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Kweli ume mature.hongera sana dada yetu.endelea kujifunza vitu vizuri na hatimaye utafika mbali sana.
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Upo sahihi Sana Lulu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
@@sweetluc2660 sana
@glorygodwin8044
@glorygodwin8044 2 жыл бұрын
Nakupenda
@mwanah3643
@mwanah3643 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@joetemba6376
@joetemba6376 2 жыл бұрын
Point
@nurumaugila3795
@nurumaugila3795 2 жыл бұрын
👏👏👏
@dosianasimon312
@dosianasimon312 2 жыл бұрын
Kuwa na akiba ya maneno mdogo wangu
@jeniphermushy627
@jeniphermushy627 2 жыл бұрын
kwel kabisa lulu
@dorahwillson1807
@dorahwillson1807 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukpatia hekima
@evaemmanuel524
@evaemmanuel524 2 жыл бұрын
Lulu usichokijua ni kama usku wa ngiza eee mungu nifundishe kunyamaza
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@sintyasswayne9695
@sintyasswayne9695 2 жыл бұрын
Wivu mbay jamen🤣🤣🤣 wat wanatesek huk lulu songa mbele wanyooshe🤣🤣🤣
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 2 жыл бұрын
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥🇹🇿🇹🇿🇰🇪🔥*
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@daslamonline4665
@daslamonline4665 2 жыл бұрын
Safi
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@magechuwa804
@magechuwa804 2 жыл бұрын
Wanaume ndivyowalivyo mama yao mmoja
@longinemuhumba3804
@longinemuhumba3804 2 жыл бұрын
Salute ✌✌❤
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 2 жыл бұрын
👏👏👏👏🙏
@elionorahkiwale7159
@elionorahkiwale7159 2 жыл бұрын
Q
@joycesichone4121
@joycesichone4121 2 жыл бұрын
Umefanana na Hamisa Mobeto.....hivi nyinyi in mapacha
@mikaelndimila4013
@mikaelndimila4013 Жыл бұрын
Mvalishe basi na mumeo awe ana pendeza kila siku Mashat meusi
@abbynyagawa9692
@abbynyagawa9692 Жыл бұрын
Lulu ni dhahabu ndo maan anakumban nameng kwasababu ana karam yaoekee
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
hakuna tajiri asiye chepuka nawambia wote wana mchepuko
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 2 жыл бұрын
Sio tajir tuu ata maskini wapo wengi wao wanaheshim wakezao
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😅😅😅 kuchepuka hakuna jinsia wala uwezo ni akili ya mtu Zaid kumuomba Mungu hifadh maana wanawake muda woote tuko uchi eti twaenda na wakat unategemea nn hapo
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Kuchepuka sio utajiri ni tabia. Na wapo matajiri wasiochepuka Sema wewe kwakuwa hujawa tajiri unasema nikiwa tajiri lazima nichepuke. So unalazimisha kila mtu awe kama unavowaza wewe
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Exactly hiyo lazima
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Sio tajir tuu hata maskin pia
@lida457
@lida457 2 жыл бұрын
Angalia pens lakichaa KZfaq ni tamthilia mpya bongo
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Umenifunza kitu
@safianurdin3060
@safianurdin3060 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mdg nitavaa viatu hivyo
@fredymwengela6763
@fredymwengela6763 2 жыл бұрын
Msela wako amepata mke una akili sana mdogo wangu
@thomastemu9938
@thomastemu9938 2 жыл бұрын
Jela ndio imemfundisha sio yye
@kabulamhembe1024
@kabulamhembe1024 2 жыл бұрын
Sisi wanawake hatuna watoto wa Nje sababu tunauwezo wa kutoa mimba,lkn kiuhalisia tungekuwa nao kama utitiri kuliko wanaume hivyo kuolewa na mwanaume mwenye watoto ni sawa
@beautycaren7257
@beautycaren7257 2 жыл бұрын
Kweli
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Haswa wala siyo kosa Mi mladi a niambie tu kabla ya kuanza Mahusiano
@kabulamhembe1024
@kabulamhembe1024 2 жыл бұрын
@@sweetluc2660 binafsi nlijua ukweli nkiwa na ujauzito wa miezi miwili nkavumilia tu
@ashamohamed5031
@ashamohamed5031 2 жыл бұрын
Kingereza hujui lulu embu hyo mambo ya lugha muachie hamisa
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 жыл бұрын
😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Hamisa ana juwa 😂😂😂💦😂💦
@ruuh5149
@ruuh5149 2 жыл бұрын
@@faudhiasalum7279 hy hamis yy mwenyew ht ajui kt kbx yn
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Jamani wote ni wabongo tuwa spt chuki za bure
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujioneee aiseee kzfaq.info/love/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@joycesichone4121
@joycesichone4121 2 жыл бұрын
Umefanana na Hamisa Mobeto.....hivi nyinyi in mapacha
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 2 жыл бұрын
wali share mboo
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 90 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 19 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
🔴#LIVE PART: 1 SUMBAWANGA MUNICIPAL 2023 STREET VIEW
2:36
Rukwa Online TV
Рет қаралды 2,7 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 149 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 90 МЛН